Mcheki beki wenu mliemchukua kwa milioni 80 mkuuDuh...... Jamaa umenichekeshesha, badala ya kutoa mifano ya mabeki au viungo mahiri waliokuwa hawapitiki (kama Canavaro, Vidic, Terry) unantajia viungo na washanbuliaji kupigwa chenga ukielewa kabisa wao kuzuia sio strength yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemcheki Jude Bellingham,huyu dogo ana uwezo,kucheza vile kwa umri alionao sio mchezo..tumsajili then tumwache hape Birmingham aendelee kukomaa
Kutochukua champions league ni jambo moja na kuikimbia champions league ni jambo jengine. Na mtu kama De lima ana world cup ambayo ni bora zaidi kuliko champions league pamoja na Huyo Canavaro.Kuchukua Champions league sio kigezo cha mafanikio kwenye soka Ronaldo de Lima,Buffon,Bergkamp,Cannavaro,Nistelrooy,Rivaldo,Ballack hawajawahi kuchukua Champions league lakini ni wachezaji waliofanikiwa sana kuliko hata waliochukua Champions League .
Kama Pogba angekuwa yuko against na anayosema Raiola angekuwa tayari kashamfukuza na kutafuta wakala mwingine licha ya drama za Raiola its clear Pogba hataki kucheza tena United na alishasema na sasa sio mtoto tena na ndio maana OGS kaamua kumpa u-captain Maquire
Wapo wachezaji wengi wameshindwa ku-fullfill their potential na wakala wao hakuwa Raiola (Anderson,Ryan Babel,Robinho,Adriano,Alexandre Pato,Ravel Morison,Javier Saviola,Ricardo Quaresma)
Timu za EPL sasa hivi zimegoma kupigwaHuyu dogo from Birmingham city tunaweza msajiri this january na muelekeo wa timu kwasasa vijana very considered
About Bruno, Sporting Lisbon wanam'value £60 wakat kina Matt Judge na kundi lake wanamuona wa £40, kwa mtazamo wangu hili dili linakufa kama kwa Halland
Timu za mpira kwasasa ziwekeze kwenye academy kuliko wakat wowoteView attachment 1330957
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchawi huo! Arsenal atafikaje huko?Man U nafasi ya nane inahusu msimu huu ahhahahahah
1.Liver
2.Man City
3.Spurs
4.Chelsea/Leicester
5.Leicester/Chelsea
6.Arsenal
7.Wolves
8.Manchester a.k.a England United
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha!!!
Saa 05:15 usikuHivi mechi ipo saa ngapi?
Maana freebasics inanifanya nisitazame app Kama vile LiveScore na Besoccer.
Namuhurumia sana ROMERO, bora aende zake hata Tottenham au timu nyingine pale EPLHapana, kwasasa abaki palepale kwa mkopo akomae, man utd pressure kubwa sana, mrithi wa De Gea after 2 or 3 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwape pesa na LINGARD OLE GUNNAR bureNimemcheki Jude Bellingham,huyu dogo ana uwezo,kucheza vile kwa umri alionao sio mchezo..tumsajili then tumwache hape Birmingham aendelee kukomaa
Hadi watoto wameanza kugoma kusaini?Hanibal Mejbri? Bado sana ana miaka kama 16 hivi. Ila yule dogo ni balaa baada ya miaka 2 ama 3 nategemea kuwa 1st eleven.
Na tetesi Gomez amekataa kusign mkataba hivyo huwenda mwisho wa msimu akaondoka.
Factor gani inasababisha England kusiwe na wachezaji wazuri au wasiibuke wachezaji wazuri kwa sasa na nchi nyingine iwe tofauti??Sidhani England kuna vipaji vya wachezaji kwa sasa labda mabeki,ukiangalia highlight za Youtube hakuna mchezaji mbaya
Gomez muda mrefu sana Barca wanamtaka Mkuu, kwa uchezaji wake sitamlaumu akienda huko,