Naona una kichwa kizito sana cha kuelewa mambo
Unaposema Klop amefundisha miaka 5 una maanisha kuwa kazi ya ukocha ameianzia pale Liverpool Uingereza? Klop carrier ya ukocha hakuanzia Liverpool, ameshashusha daraja sana timu huko Ujerumani
Nimeamini kuwa mpira umeanza kujua juzi juzi, unasema eti SAF amefundisha timu moja pekee, hakutaka kutoka kwenye comfort zone
Nimeshasema kuwa SAF wakati anachukua timu ilikuwa na hali mbaya (ilikuwa ya 19 kwenye msimamo wa ligi) sasa hiyo comfort zone unayoiongelea ni ipi? na hata baadae ilipokuwa ni comfort zone, si ni yeye ndio alifanya kuwa comfort zone. Kipindi SAF anachukua timu, ina makombe 7 tu vya Ligi Kuu Uingereza na Liverpool ana makombe 18 (ambapo mpaka leo hawajaongeza hata moja). Kabla ya SAF kuchukua kombe miaka ya 1990 United walikuwa hawajachukua kombe tangu miaka ya 1960, leo uje ufananishe na mshusha timu madaraja
Tu assume kukaa Man Utd ni comfort zone, mbona waliokuja wameshindwa kuwa comfortable kwenye hiyo comfort zone, kama yeye alivyo maintain kwa miaka yote ya Utawala wake? Muulize Moyes, LVG, Jose kama Manchester United ni comfort zone
Nimefahamu kuwa wewe umeanza kujua mpira jana, unasema eti timu ni 2 mbili ndio zilikuwa zimeshika Utawala wa uingereza, na ningekuuliza ungetaja United na Liverpool kitu ambacho sicho,kiufupi HUJUI unachoandika na ndio maana hapa nitakuelimisha kwa mara ya mwisho.
Wakati SAF anaingia kwenye game pale Uingereza kwa miaka hiyo timu zilizokuwa zinachukua sana makombe zilikuwa ni Aston Villa, Everton , Liverpool, Leeds n.k. Sasa Unaposema ni mbili zilizokuwa zimeshika ligi sijui una maana gani, maana miaka ya 1990 hadi Blackburn ilikuwa ya moto
Halafu kukaa timu moja sio weakness, ni strength kijana, unadhani kuna ma meneja wangapi wanaweza kukaa timu moja muda mrefu kiasi hicho, timu itakaa na wewe muda mrefu sio kwa sababu inapenda sura ya kocha bali delverly. SAF ame deliver miaka yote hiyo ndio maana amefundisha miaka yote hiyo
Mwisho narudia kukuelewesha kuwa, kumfananisha SAF na huyo Klop ni uchizi uliotukuka, maana hapo unaongelea mbigu na ardhi au White House na Magogoni House
wewe ndio huelewi hata unachoongea...... huyo babu wako vikombe vyote hivyo alivichukua akiwa utd ndani ya miaka 25....... 25 YEARS mfululizo kwenye timu moja!.....
ni upuuzi kuanza kumfananisha Klop mwenye miaka pungufu ya 5, na mtu aliekaa miaka 25, na hio cycle uliyoonesha hata babu yako angeweza kupitia kama angeondoka utd (his comfort zone)!.......…
alafu pia ni upuuzi mkubwa kuanza kulinganisha mtu aliefundisha kukiwa na timu 2 tu zenye ushindani ndani ya ligi na mtu anaefundisha kukiwa na timu 6 zenye ushindani..... hakua mjinga kuachia kiti maana alijua timu nyingi zinaanza kuwa bora!.....
lastly, usirudie tena kuleta ulinganisho wa aina hii, atleast linganisha vitu toka generation moja..... ukitaka kuleta vya zaman basi anzia na kina bob huko ndio wanafanana
Sent using
Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app