Hawatak kusikia hili suala la bahat wanaamini wanaupiga mwingi balaa
Hawa ni wakawaida sana, aina ya soka la Klop anawafundisha wachezaji wake kukamia, ndio maana kule Dortmund baada ya misimu kadhaa ya kukamia wachezaji walipochoka akataka kuishusha timu daraja akafukuzwa, naiona Liverpool msimu ujao ikimaliza nj'e ya Top4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya jana mambo niliyogundua.

Man u ni timu kubwa sana licha ya ubovu ushangiliaji wa Liverpool na mashabiki wa timu nyingine utadhani sisi ndio tunafukuzana na Liverpool kwenye ubigwa.

Hawa mashabiki kelele nyingi humu baada ya kushinda wanajiona wajanja asee wakati wakati Pereira anakosa ile chance na martial anafumua juu viroho vilikuwa vinawadunda wakitaka kushinda waje kuchonga. Acheni unafiki.

Liverpool naweza kusema huu ni msimu wao kuna ushindi mwingine hadi unajiuliza how.

Ole kocha mbabaishaji wanaoperform mechi za nyuma unawapiga benchi refer Pereira, Brandon ile mechi ya Arsenal, jana Mata alitakiwa aanze.

Man u bado sana hasa kimbinu, japo mfumo wa jana niliupenda naomba autumie huo huo bana.

All in all hongera Liverpool mkishindwa kubeba ubingwa mtakuwa mafala sana.

Kwako ollachunga, Newcastle tuliwapiga 4 so koma kusema hatuwawezi, imekuwa tabia yako ukipigwa unasema hatuwawezi.

Tuangalie mechi ya City sasa hivi.
 
Bahati tu
Mane amemis chances ngapi
Salah chances ngapi
Unataka kusema Manchester United wali create chances nyingi kuliko Liverpool Mkuu,
Liverpool wame missed a lot of chances to score unasema wameshinda kwa Bahati.
huwa sometimes unajivutisha bangi kwa makusudi halafu ndio unaandika comment?

unapokuja mjadala unaoihusu liverpool unaandika vizuri sana kuliko professor kabudi.
 
Maguire hajam-mark VVD kwenye ile kona ya goal, dogo Williams na Fred ndio walikua karibu.

In the end VVD alipiga free header.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Screenshot_20200120-110627.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa liverpool wanataka tuone Liverpool ni very exceptional from mars labda.It just normal kushinda EPL ingawa naelewa 30 yrs it was a long wait.I admit mmekua na msimu mzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Liverpool is not exceptional, hiyo nakubaliana na wewe.

Lakini we all agree kwamba ana records ambazo anaziweka sasa hivi ambazo tunaambiwa haijawahi kutokea toka EPL ianze.

Na kama ni case ya kwamba Liverpool siyo exceptional kwa ubora, basi wapinzani wako exceptional kwa ubovu.

22 games, 64 points out of 66 haijawahi kutokea kwa ligi zote 5 kubwa Ulaya. The Invincibles ambao walimaliza ligi bila kufungwa mpaka muda huu walikuwa tayari wana droo 5.

Aint that enough kusema Liverpool have been exceptional at least for this period?
 
Very right, it's a matter of time

Ndio maana kuna watu wakimfananisha na SAF kama nakunywa maji naweza kupaliwa
Hawa ni wakawaida sana, aina ya soka la Klop anawafundisha wachezaji wake kukamia, ndio maana kule Dortmund baada ya misimu kadhaa ya kukamia wachezaji walipochoka akataka kuishusha timu daraja akafukuzwa, naiona Liverpool msimu ujao ikimaliza nj'e ya Top4

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimebaki mechi ngapi ligi iishe?
Liverpool is not exceptional, hiyo nakubaliana na wewe.

Lakini we all agree kwamba ana records ambazo anaziweka sasa hivi ambazo tunaambiwa haijawahi kutokea toka EPL ianze.

Na kama ni case ya kwamba Liverpool siyo exceptional kwa ubora, basi wapinzani wako exceptional kwa ubovu.

22 games, 64 points out of 66 haijawahi kutokea kwa ligi zote 5 kubwa Ulaya. The Invincibles ambao walimaliza ligi bila kufungwa mpaka muda huu walikuwa tayari wana droo 5.

Aint that enough kusema Liverpool have been exceptional at least for this period?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't rush.. good things came from watching and waiting

Niliitazama mechi ya jana kwa jicho la mtazamaji Neutral.

Baada ya first half nilibaki nikijiuliza je Man united walikosa mbinu sahihi kupambana na Liverpool au walikosa watu sahihi wa kupambana na Liverpool?

Ukiangalia kimbinu Man united hawakuzidiwa sana ndiyo maana walifanikiwa kuuzima ubora wa Trent Alexander Anorld na Andy Robertson.

Walifanikiwa kumfanya Sadio Mane na Firimino pamoja na Moh Salah kwa dakika zote 90 wawe wa kawaida ukiachilia mbali dakika 15 za first half na 15 za second half.

Kimsingi Liverpool siyo bora sana kwenye eneo Lao la kati ukilinganisha na maeneo mengine yote ya uwanja hivyo threat pekee za Liverpool zinatengenezwa pembeni na dead ballls.

Hatari nyingine ambayo unapaswa kuwapa Liverpool heshima ya kiwango cha juu ni kwenye second balls hapa United walifanikiwa kwa kiwango walau 58% ila kujisahau kwao kuliwafanya waadhibiwe goal la pili.

Kwa kujibu swali langu la kwanza ni kwamba United walifanikiwa kujilinda kupunguza magoli ila walishindwa kuwazuia Liverpool kufunga magoli kibaya zaidi walikosa pia maarifa ya kupata walau goal.

Kwenye hoja yangu ya pili juu ya watu sahihi wa kupambana na Liverpool hapa ndiyo ulikuwa ugonjwa mkubwa sana wa United.

United hawatishi katika eneo lolote lile la uwanja ukiondoa counter attacks za hapa na pale.

1 kiulinzi united wanakosa mengi sana kuanzia goal kipa na safu yake yote ya ulinzi.

2 kwenye kiungo cha ukabaji kuna mapungufu mengi sana ya kiufundi yanayoifanya timu ijikabe yenyewe hasa unapomkosa Mc Tominay na Pogba transition ya timu inakuwa mbovu na yakubahatisha tu.

3 safu ya ushambuliaji ya united ilikuwa haina watu sahihi wa kuifunga Liverpool na wala haikuwa threat kwa Liverpool kivyovyote vile.

Itoshe kusema kwamba mechi ya jana Man united walibebwa na bahati ya kutofungwa magoli mengi tu hasa dakika 15 za kipindi cha pili ambacho Liverpool walikuwa hatari sana na waliweza kuwashika United kila mahali.

Hivyo basi United kwa kiasi fulani walikosa mbinu sahihi za kuifunga Liverpool na pia kiasi kikubwa walikosa watu sahihi wa kuweza kuifunga Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom