Breaking News

Marcus Rashford out for 2 to 3 months

Tungenunua/tungekuwa na striker in the first place mechi ya Wolves tusingemlazimishia kucheza hivyo asingeumia zaidi

In the second place kipindi yupo injured hiyo miezi tungekuwa na option ya striker mwingine

Nimeshabikia United miaka mingi sana, sijawahi kuona ina limited options ya strikers kama wakati huu

Martial ndio striker pekee (namba 9) Rashford mshambuliaji anayetoka pembeni na mtoto wa miaka 18 Greenwood

OGS amewahi kujitapa yeye siyo selfish, chochote anachofanya ni kwa maslahi ya timu (ukweli ni kwamba ni muoga kuiambia bodi anachotaka/anajipendekeza)

Ngoja tuone kwa hali ya sasa atafika wapi, mwache asiwe selfish kitakachomkuta baada ya Ed kumchoka asimlaumu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vvd.fabinho,allison?

Pogba,maguire,bissaka?

Hapo bado wakina martial na di maria ambao wa gharama sana ungekuwa usajili una klik basi tusingekuwa wa 6
Haha sijaifananisha liverpool ktk kuspend na manu mkubwa au husomi ukamaliza???
 
Bado tena gomes--- lindelof robertson-- shaw bei zao?

Liverpool wana kocha mzur sana hiv kweli nani angeweza kumtumia Georginio Wijnaldum na Milner? Hata henderson tu mara ngap mashabik wametaka auzwe kocha kakomaa?
Kwahiyo hoja yako iko wp mkubwa hapo

Liverpool ya kawaida???? Maana kunasiku ushawahi kuandika kitu kama hiki.
 
Mashabiki wa manure wanasema liver anashinda kwa bahati😂😂😂😂

Mechi 58 liver wamefungwa mechi moja tu kwenye league... UEFA wamebeba, Supercup wamebeba, club world cup wamebeba, .. Msimu uliopita kwenye ligi wamemaliza nafasi ya pili wakuachwa kwa piont moja tu...... Msimu huu wanaongoza ligi kwa tofauti ya points 16, bado wana mechi ya kiporo..... UEFA hatua ya makundi wamemaliza wakiwa wanaongoza kundi....

Mane ni mchezaji bora Africa
Virgili beki bora duniani
Allison kipa bora duniani
Henderson mchezaji bora wa uingereza

Katika wachezaji 20 bora duniani wa FIFA.. Saba wametoka liverpool

Kocha bora duniani ni wa liverpool

......

Alafu anajitokeza shabiki mmoja wa Man u kutoka uko nanjilinji.. Anakuambia liverpool inashinda kwa bahati
 
Haha sijaifananisha liverpool ktk kuspend na manu mkubwa au husomi ukamaliza???

Nakwambia na narudia kocha ni bora sana nimesoma na kuelewa ndio ilikuwa point ya msingi kwa jinsi gan kaifanya liverpool kuwa bomba maana nimekwambia hata kama klopp kafumua timu bado hakuingia sokoni kufanya usajili wa manchester city au wa sisi united

Kamfanya hata mane na salah kuwa tishio alifanya hayo akiwa dortmund wachezaj waliotoka kwenye mikono yake wangi walipotea ila yeye aliwatumia poa sana ni lewandosk tu alietoka kwa klopp akaendelea na moto
 
Kwahiyo hoja yako iko wp mkubwa hapo

Liverpool ya kawaida???? Maana kunasiku ushawahi kuandika kitu kama hiki.

Point yangu klopp ni kila kitu liverpool sifikirii kama kuna timu ulaya haipend kuwa nawe wachezaj wa kawaida kuwageuza kuwa top
 
Mashabiki wa manure wanasema liver anashinda kwa bahati

Mechi 58 liver wamefungwa mechi moja tu kwenye league... UEFA wamebeba, Supercup wamebeba, club world cup wamebeba, .. Msimu uliopita kwenye ligi wamemaliza nafasi ya pili wakuachwa kwa piont moja tu...... Msimu huu wanaongoza ligi kwa tofauti ya points 16, bado wana mechi ya kiporo..... UEFA hatua ya makundi wamemaliza wakiwa wanaongoza kundi....

Mane ni mchezaji bora Africa
Virgili beki bora duniani
Allison kipa bora duniani
Henderson mchezaji bora wa uingereza

Katika wachezaji 20 bora duniani wa FIFA.. Saba wametoka liverpool

Kocha bora duniani ni wa liverpool

......

Alafu anajitokeza shabiki mmoja wa Man u kutoka uko nanjilinji.. Anakuambia liverpool inashinda kwa bahati

Leicester city alichukua epl kwamba alikuwa ni timu bora Epl? Upepo ukikubali hamna kinachokataa mjifunze hilo Ugiriki kachukua euro 2004 uliona players wake? Porto kachukua uefa na zenit kachukua uefa super cup kwa kumfunga mancheter united 2008

Manchater united 2016/17 tulikuwa wa pili na tumechukua europa tulikuwa bora sana msimu huo chini ya mourinho liverpool walimaliza wa nne walikuwa hovyo ambao walicheza final ya uefa?

Kwa sasa liverpool anafanya vizur ni rahisi zaidi kuja na hizo justfication zako
 
Sasa mnaposema Rashford Na McSauce wameacha pengo na huwa hawana impact pale Anfield vipi City waliomkosa Sane anaewawezeaga Liverpool Na beki kisiki Aymeric Laporte?

Sent using Jamii Forums mobile app

We jamaa bana et hawana impact pale anfield as if wamecheza mech 10 wakatoka kapa huoni kama tayar walishajenga combination ya kuifanya timu kuwa imara kidogo? Ni sawa na uongee kwamba salah hata angekaa bench ni sawa tu kwa kuwa hajawah kuwa na impact ktk mech za united iwe kwenu wa kwetu
 
IMG_7489.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leicester city alichukua epl kwamba alikuwa ni timu bora Epl? Upepo ukikubali hamna kinachokataa mjifunze hilo Ugiriki kachukua euro 2004 uliona players wake? Porto kachukua uefa na zenit kachukua uefa super cup kwa kumfunga mancheter united 2008

Manchater united 2016/17 tulikuwa wa pili na tumechukua europa tulikuwa bora sana msimu huo chini ya mourinho liverpool walimaliza wa nne walikuwa hovyo ambao walicheza final ya uefa?

Kwa sasa liverpool anafanya vizur ni rahisi zaidi kuja na hizo justfication zako
unajua maana ya bahati? Yani uchukue makombe matatu makubwa kawa bahati? Yani usifungwe mechi 57 hiyo ni bahati?

Niambie timu iliyochukua makombe manne ndani ya misimu miwili kwa bahati!
 
Leicester city alichukua epl kwamba alikuwa ni timu bora Epl? Upepo ukikubali hamna kinachokataa mjifunze hilo Ugiriki kachukua euro 2004 uliona players wake? Porto kachukua uefa na zenit kachukua uefa super cup kwa kumfunga mancheter united 2008

Manchater united 2016/17 tulikuwa wa pili na tumechukua europa tulikuwa bora sana msimu huo chini ya mourinho liverpool walimaliza wa nne walikuwa hovyo ambao walicheza final ya uefa?

Kwa sasa liverpool anafanya vizur ni rahisi zaidi kuja na hizo justfication zako

Kuna msemo wa bahati huja kwa mwerevu, kama mtu ametazama au amefatilia mpira kwa kipindi kirefu ataelewa kwamba bahati inakuja baada ya ubora.

Bahati ambayo inakuja bila ubora ni ya mara moja tu, na haiwezi kuwa ya mechi 10 ndani ya msimu mmoja. Ila ukishakuwa bora kila unaweza kuziona bahati hata mara 10 ndani ya msimu mmoja.

Mfano, ukisema Liverpool ilikuwa na bahati kutotoa draw vs Wolves, Tottenham, Leicester game ya kwanza, Sheffield, Aston Villa nk.

Tulio iona Man Utd ya 1998/99 tutakubaliana kwamba ilikuwa na bahati sana, lakini ilikuwa bora sana pia.

Then kuna Invincibles Arsenal, ile kumaliza bila kupoteza iliambatana na bahati, lakini ubora ilikuwa kitu cha kwanza.
 
ENGLAND.MAURICIO Pochettino ameripotiwa amempa masharti Ed Woodward kama anamhitaji aende kuwa kocha mpya wa Manchester United.
Kocha huyo Muargentina, Pochettino aliyefutwa kazi huko Tottenham Hotspur amemwambia Woodward kama anataka aende kuwa kocha wa Man United basi ahakikishe apewa nguvu kubwa ikiwamo uamuzi wa wachezaji wa kuwasajili.
Pochettino amekuwa akipewa nafasi kubwa ya kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa klabu hiyo ya Old Trafford.
Kwa sasa Man United ipo chini ya Ole Gunnar Solskjaer, lakini haitashangaza kama atafunguliwa milango ya kutokea kama atashindwa kuisaidia timu kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Pochettino ameripotiwa yupo tayari kuchukua mikoba hiyo, lakini kama tu masharti yake yatafuatwa. Pochettino anamtaka Woodward asiwe na kauli ya mwisho kwenye suala la usajili kutokana na kuwa na rekodi ya kufanya dili za hovyo miaka ya karibuni.
Mwaandishi wa TalkSPORT, Phil Brown alisema: “Nilichoambiwa ni kwamba Man United wamekuwa wakizungumza na Pochettino kwa wiki kadhaa sasa. Hataki kazi ya kuinoa timu hiyo kwa sasa hadi mwisho wa msimu. Lakini, hataki pia kama masharti yake hayatazingatiwa.
“Hivi vitu viliambiwa na mtu maarufu, ambaye nimekuwa nikimwaamini kwa asilimia 100. Ameniambia dili la Pochettino kwenda Man United haliwezi kutokea kwa sasa hadi mwisho wa msimu. Pochettino hana wakala na Ed Woodward si mtu anaweza kuonekana tu hadharani hovyo.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom