Nimejaribu kupitia huu uzi toka jana naona mashabiki wa manchester united tunawaponda liver mara tunasema sijui liver anabahatisha mara klopp anawafundisha liver kukamia game so ni one season wonder,,,,,, hii kitu inaumiza na inaonesha Manchester hatuna cha kujivunia zaidi ya kuongea point dhaifu kuwakera Liverpool.... Kifupi tumeshindwa kila kitu na liverpool.......

mimi binafsi nina naona Liverpool kushinda ubingwa msimu huu ni jambo jema hata kwetu maana vuguvugu la kuona uelekeo wa timu litazidi kurindima..... Liverpool katika hii miaka 2 hii amecheza champions league final mara 2 amechukua moja na anaenda kubeba EPL msimu huu, sisi tumekalia rebuild wakati hata mambo madogo ya kuzingatia kwenye rebuild hatuna

Timu inayofanya rebuild inaonekana tu mbona inter wanafanya rebuild huku wanakichafua, mbona bvb wakianza kwa kucheza mpira mzuri wanapoianza rebuild yao, city na liver rebuild yao ilipewa go ahead kwa sababu ya kuonesha improvement katika idara tofauti....

Owky kama mpira umetushinda basi hata tucheze mpira mzuri basi ila ndo hata pasi 3 za uhakika hatuwezi kupiga, .Nimeanza kuona wazi humu watu wanamlaumu James hilo sio kosa lake ni kosa la Ole na bado ataumbuka sana Kama Mou hawezi watumia wachezaji kabisa anategemea individual brilliance ya mchezaji mwisho kina James wamekosa option uwanjani wanakimbia tu......

Rebuild ndani ya Manchester ilifanywa na Van gal tu tukaona hata mpira tunacheza..... Naona kabisa tunaenda sambamba na Napoli huu ujinga lazima utatucost, mzee wa DNA ameuza Lukaku, Sanchez, akaropoka oooooh am happy with this squad sahizi asimlaumu Ed, huu ni ujinga anajua martial Kupwa kujaa ila hachukui tahadhari.......

Mbona mou tulimkandia sana solskjaer ni nani mpaka tuwe na imani nae, Hana pakujificha maana timu kubwa zimeamua kutuadhibu hatutafika kokote likocha mda wote come on come on.....zitatusaidia nini katika game ambayo tactics ni muhimu.....

Owky tupo short ya viungo washambuliaji, ujinga wa kumuweka pereira wakati Mata yupo nje na yupo form ulitarajia nini.... It's like aliingia kubahatisha game plan kama itafanya kazi...... Game nyingi sana unaona kabisa game plan imefeli kocha hachamge chochote zaidi ya kusema come on come on..... sub zenyewe zinaanzia dakioa 65 huko na kusubiria miujiza but kimkakati tunakuwa tumeishafungwa.....

Msumeno wa Mou utumike kwa Ole, Ulegend hautusaidii chochote Ole ndio kocha wa kwanza wa Manchester United toka aondoke Sir Alex alieweza kuwaruhusu Liverpool kutwaa EPL....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi Liverpool siyo bora sana kwenye eneo Lao la kati ukilinganisha na maeneo mengine yote ya uwanja hivyo threat pekee za Liverpool zinatengenezwa pembeni na dead ballls.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nice observation.

Liverpool wanakuwa very limited katikati Henderson akicheza namba 6, Henderson hana skills za kupasua mids za wapinzani au kulink kati yake na attacking mids, atakachofanya ni kucheza safe passes za pembeni na za nyuma, so kama wapinzani wana mid inayoweza kupress, very likely watasumbua.

Game yenu, ya Tottenham, Sheffield na Wolves zote tumeteseka sana katikati. Ukiacha game ambazo Keita alicheza, unaona kabisa flow ya game inavyokuwa nyepesi katikati.

Fabinho akiwepo, Henderson anakuwa deployed mbele, na Fabinho anaweza kutuma mipira ikaenda mbele bila shida, na anakaba pia. So, Henderson mipira ikimkuta mbele anakuwa hawezi kupiga pasi kurudi nyuma.

I imagine Midfield yenye Fabinho, Keita na Wijnadlum, hii siyo ya kawaida.
 
Niliitazama mechi ya jana kwa jicho la mtazamaji Neutral.

Baada ya first half nilibaki nikijiuliza je Man united walikosa mbinu sahihi kupambana na Liverpool au walikosa watu sahihi wa kupambana na Liverpool?

Ukiangalia kimbinu Man united hawakuzidiwa sana ndiyo maana walifanikiwa kuuzima ubora wa Trent Alexander Anorld na Andy Robertson.

Walifanikiwa kumfanya Sadio Mane na Firimino pamoja na Moh Salah kwa dakika zote 90 wawe wa kawaida ukiachilia mbali dakika 15 za first half na 15 za second half.

Kimsingi Liverpool siyo bora sana kwenye eneo Lao la kati ukilinganisha na maeneo mengine yote ya uwanja hivyo threat pekee za Liverpool zinatengenezwa pembeni na dead ballls.

Hatari nyingine ambayo unapaswa kuwapa Liverpool heshima ya kiwango cha juu ni kwenye second balls hapa United walifanikiwa kwa kiwango walau 58% ila kujisahau kwao kuliwafanya waadhibiwe goal la pili.

Kwa kujibu swali langu la kwanza ni kwamba United walifanikiwa kujilinda kupunguza magoli ila walishindwa kuwazuia Liverpool kufunga magoli kibaya zaidi walikosa pia maarifa ya kupata walau goal.

Kwenye hoja yangu ya pili juu ya watu sahihi wa kupambana na Liverpool hapa ndiyo ulikuwa ugonjwa mkubwa sana wa United.

United hawatishi katika eneo lolote lile la uwanja ukiondoa counter attacks za hapa na pale.

1 kiulinzi united wanakosa mengi sana kuanzia goal kipa na safu yake yote ya ulinzi.

2 kwenye kiungo cha ukabaji kuna mapungufu mengi sana ya kiufundi yanayoifanya timu ijikabe yenyewe hasa unapomkosa Mc Tominay na Pogba transition ya timu inakuwa mbovu na yakubahatisha tu.

3 safu ya ushambuliaji ya united ilikuwa haina watu sahihi wa kuifunga Liverpool na wala haikuwa threat kwa Liverpool kivyovyote vile.

Itoshe kusema kwamba mechi ya jana Man united walibebwa na bahati ya kutofungwa magoli mengi tu hasa dakika 15 za kipindi cha pili ambacho Liverpool walikuwa hatari sana na waliweza kuwashika United kila mahali.

Hivyo basi United kwa kiasi fulani walikosa mbinu sahihi za kuifunga Liverpool na pia kiasi kikubwa walikosa watu sahihi wa kuweza kuifunga Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea vizuri sana, mimi nimeanza kutazama mechi za liver na utd tokea 2004 hivi, sijawahi kuiona mechi rahisi kati ya hizi timu regardless ya position zao kwenye ligi au squad zao!.......

kwaio, kifupi ni kwamba mechi aina ya ile ya jana sio kipimo sahihi cha kuwapima wachezaji, mara nyingi form ya wachezaji huwa sio factor kwenye kuamua matokeo!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good analysis.

Mimi naamini man united jana kama wangekuwa serious wasingejisumbua kutafuta kupita pembeni walipaswa kuexploit midfield ya Liverpool katikati huku ambayo possibly ingefanya makosa.

Kama Fabinho na Keita hayupo hapo kati ndiyo eneo pekee Liverpool inakuwa na explootable weakness ( ukiwa na watu sahihi lakini)

Maeneo mengine Liverpool wako strong sana kupishana nao ni kujitafutia dhahama ya kufungwa magoli mengi au kuteswa sana.

But all in all kucheza na Liverpool kwa sasa lazima uwe prepared mentally and physically they are so good in killing games.
Nice observation.

Liverpool wanakuwa very limited katikati Henderson akicheza namba 6, Henderson hana skills za kupasua mids za wapinzani au kulink kati yake na attacking mids, atakachofanya ni kucheza safe passes za pembeni na za nyuma, so kama wapinzani wana mid inayoweza kupress, very likely watasumbua.

Game yenu, ya Tottenham, Sheffield na Wolves zote tumeteseka sana katikati. Ukiacha game ambazo Keita alicheza, unaona kabisa flow ya game inavyokuwa nyepesi katikati.

Fabinho akiwepo, Henderson anakuwa deployed mbele, na Fabinho anaweza kutuma mipira ikaenda mbele bila shida, na anakaba pia. So, Henderson mipira ikimkuta mbele anakuwa hawezi kupiga pasi kurudi nyuma.

I imagine Midfield yenye Fabinho, Keita na Wijnadlum, hii siyo ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kupitia huu uzi toka jana naona mashabiki wa manchester united tunawaponda liver mara tunasema sijui liver anabahatisha mara klopp anawafundisha liver kukamia game so ni one season wonder,,,,,, hii kitu inaumiza na inaonesha Manchester hatuna cha kujivunia zaidi ya kuongea point dhaifu kuwakera Liverpool.... Kifupi tumeshindwa kila kitu na liverpool.......

mimi binafsi nina naona Liverpool kushinda ubingwa msimu huu ni jambo jema hata kwetu maana vuguvugu la kuona uelekeo wa timu litazidi kurindima..... Liverpool katika hii miaka 2 hii amecheza champions league final mara 2 amechukua moja na anaenda kubeba EPL msimu huu, sisi tumekalia rebuild wakati hata mambo madogo ya kuzingatia kwenye rebuild hatuna

Timu inayofanya rebuild inaonekana tu mbona inter wanafanya rebuild huku wanakichafua, mbona bvb wakianza kwa kucheza mpira mzuri wanapoianza rebuild yao, city na liver rebuild yao ilipewa go ahead kwa sababu ya kuonesha improvement katika idara tofauti....

Owky kama mpira umetushinda basi hata tucheze mpira mzuri basi ila ndo hata pasi 3 za uhakika hatuwezi kupiga, .Nimeanza kuona wazi humu watu wanamlaumu James hilo sio kosa lake ni kosa la Ole na bado ataumbuka sana Kama Mou hawezi watumia wachezaji kabisa anategemea individual brilliance ya mchezaji mwisho kina James wamekosa option uwanjani wanakimbia tu......

Rebuild ndani ya Manchester ilifanywa na Van gal tu tukaona hata mpira tunacheza..... Naona kabisa tunaenda sambamba na Napoli huu ujinga lazima utatucost, mzee wa DNA ameuza Lukaku, Sanchez, akaropoka oooooh am happy with this squad sahizi asimlaumu Ed, huu ni ujinga anajua martial Kupwa kujaa ila hachukui tahadhari.......

Mbona mou tulimkandia sana solskjaer ni nani mpaka tuwe na imani nae, Hana pakujificha maana timu kubwa zimeamua kutuadhibu hatutafika kokote likocha mda wote come on come on.....zitatusaidia nini katika game ambayo tactics ni muhimu.....

Owky tupo short ya viungo washambuliaji, ujinga wa kumuweka pereira wakati Mata yupo nje na yupo form ulitarajia nini.... It's like aliingia kubahatisha game plan kama itafanya kazi...... Game nyingi sana unaona kabisa game plan imefeli kocha hachamge chochote zaidi ya kusema come on come on..... sub zenyewe zinaanzia dakioa 65 huko na kusubiria miujiza but kimkakati tunakuwa tumeishafungwa.....

Msumeno wa Mou utumike kwa Ole, Ulegend hautusaidii chochote Ole ndio kocha wa kwanza wa Manchester United toka aondoke Sir Alex alieweza kuwaruhusu Liverpool kutwaa EPL....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukwel humuweka huru na huu ni ukwel mchungu kwa baadhi ya washabiki wa Man u wajuaji
 
kwamba SAF ni bora zaidi?...... 25yrs only 2 cl cups to show!

pia kumbuka huyu saf wako alikaa almost 6 yrs ndio akapata taji lake la kwanza utd!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ulinganisho poor haswa. Mtu aliyekuwa na timu kwa misimu ishirini na kumfananisha na mtu aliye kwenye timu kwa misimu isiyozidi mitano. Huyo SAF amesonta hapo Man utd mpaka kuja kuona kombe lake la kwanza tayari mtoto amezaliwa na kuanza shule. They have nothing to brag for at this time. To feel comfortable they have to go back to refer to SAF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mwenzenu anahitaji majibu.
Screenshot_20200120-125117.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kupitia huu uzi toka jana naona mashabiki wa manchester united tunawaponda liver mara tunasema sijui liver anabahatisha mara klopp anawafundisha liver kukamia game so ni one season wonder,,,,,, hii kitu inaumiza na inaonesha Manchester hatuna cha kujivunia zaidi ya kuongea point dhaifu kuwakera Liverpool.... Kifupi tumeshindwa kila kitu na liverpool.......

mimi binafsi nina naona Liverpool kushinda ubingwa msimu huu ni jambo jema hata kwetu maana vuguvugu la kuona uelekeo wa timu litazidi kurindima..... Liverpool katika hii miaka 2 hii amecheza champions league final mara 2 amechukua moja na anaenda kubeba EPL msimu huu, sisi tumekalia rebuild wakati hata mambo madogo ya kuzingatia kwenye rebuild hatuna

Timu inayofanya rebuild inaonekana tu mbona inter wanafanya rebuild huku wanakichafua, mbona bvb wakianza kwa kucheza mpira mzuri wanapoianza rebuild yao, city na liver rebuild yao ilipewa go ahead kwa sababu ya kuonesha improvement katika idara tofauti....

Owky kama mpira umetushinda basi hata tucheze mpira mzuri basi ila ndo hata pasi 3 za uhakika hatuwezi kupiga, .Nimeanza kuona wazi humu watu wanamlaumu James hilo sio kosa lake ni kosa la Ole na bado ataumbuka sana Kama Mou hawezi watumia wachezaji kabisa anategemea individual brilliance ya mchezaji mwisho kina James wamekosa option uwanjani wanakimbia tu......

Rebuild ndani ya Manchester ilifanywa na Van gal tu tukaona hata mpira tunacheza..... Naona kabisa tunaenda sambamba na Napoli huu ujinga lazima utatucost, mzee wa DNA ameuza Lukaku, Sanchez, akaropoka oooooh am happy with this squad sahizi asimlaumu Ed, huu ni ujinga anajua martial Kupwa kujaa ila hachukui tahadhari.......

Mbona mou tulimkandia sana solskjaer ni nani mpaka tuwe na imani nae, Hana pakujificha maana timu kubwa zimeamua kutuadhibu hatutafika kokote likocha mda wote come on come on.....zitatusaidia nini katika game ambayo tactics ni muhimu.....

Owky tupo short ya viungo washambuliaji, ujinga wa kumuweka pereira wakati Mata yupo nje na yupo form ulitarajia nini.... It's like aliingia kubahatisha game plan kama itafanya kazi...... Game nyingi sana unaona kabisa game plan imefeli kocha hachamge chochote zaidi ya kusema come on come on..... sub zenyewe zinaanzia dakioa 65 huko na kusubiria miujiza but kimkakati tunakuwa tumeishafungwa.....

Msumeno wa Mou utumike kwa Ole, Ulegend hautusaidii chochote Ole ndio kocha wa kwanza wa Manchester United toka aondoke Sir Alex alieweza kuwaruhusu Liverpool kutwaa EPL....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wako Ole akifukuzwa leo, kocha gani unaona ni sahihi kukabidhiwa timu kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwenyewe hapo umeandika SAF unajua hiyo S ya kwanza ina maana gani?

SAF amechukua UCL mara 2, Klop amechukua mara ngapi?

Huyo SAF wangu alikaa almost miaka 6 bila kuchukua kombe, unajua alichukua timu ikiwa ya ngapi kwenye msimamo? Ilikuwa ya 19, na tangu hapo timu haijawahi kuyumba mpaka anaondoka.

Huyo Klop wako unajua alishaishusha Mainze daraja na hakuweza kupandisha akatimuliwa? Unajua alipokuwa anapeleka Dortmund kabla ya kutimuliwa? Unajua circle yake ya kiufundishaji? Anachukua timu > Anayumbisha timu > Anaweka Stability kwenye timu (kwa kushinda vikombe viwili vitatu) kwa miaka isiyozidi 2 > Anaanza kuishusha > Anafukuzwa

Unamfananisha Klop ambaye hana hata makombe 10 na SAF mwenye makombe 38, kati ya hayo 13 ni premier, 2 ni UCL?

Embu acha kumfananisha babu wa watu na vitu vya kijinga

Back
Top Bottom