Kabla ya yote kwanza,Habari yako.
Maguire hajam-mark VVD kwenye ile kona ya goal, dogo Williams na Fred ndio walikua karibu.
In the end VVD alipiga free header.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa km ni dhaifu si mjitoe kwenye ligi mpk mtakapokua strong ndio mrudi.waachieni wapambanaji Watford hio nafasi
Haikua na maana, ilikua dk ya 93, tuko nyuma goli moja. Angepewa red, ange miss the next three matches, wakati baada ya japo ni kipenga cha full time.
Alifanya uamuzi sahihi naona kwa upande wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nyie mmebakiza kuongea ujinga as if watu iyo timu hawakuipna fagason huyuhuyu aliye kuwa anaonga marefa (web) mbona aikuwai kufikisha point japo 95....It true hii looserpool ya kawaida mno, huwezi ifananisha na Great Manchester United ya Sir Alex, jinsi Manchester ilivyo mbovu ilipaswa looserpool washinde goli hata 8 - 0
Yaani hata Sir Alex uko alipo anashangaa kwann looserpool wanaongoza ligi? Nafikiri mwisho wa dunia umekaribia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Arsenal uliona mbali kumbeNaisevu hii Comment saa 3 ntakukumbusha hauna kikosi cha kumfunga LIVERPOOL narudia hauna hicho kikosi tena ANFIELD
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi nasubiria mnavyompiga Klopp nje ndani hahahahaila mkuu toka lvg aje 2014 mwaka wa 6 huu na zaidi ya mechi 12 hawa jamaa wametufunga mara 1 tu tena kipindi kile tuna mgogoro wa Mou, mechi kama 12 draw ndio wanashangilia, misimu miwili mfululizo tuliwapiga nje ndani.
Ndio maana tumewakomesha kwa kuwagonga viwili najua imekuuma hiyo
Usisahau pia kumtafutia Phil Jones timu huko Championship
Kuuza na kununua wachezaji ni marketing and i guess that is part of his job too
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole Punguani wa akiliKuna mchezaji sijui anaitwa greenwood,mbona hajapangwa leo?