milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
MNYAMA ALIONGEA HIVI MKAMTUKANA LEO KAWAPIGA KIDOLE CHA KATI NA JEZI KAVUA HAHAHAHAHAHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo kombe hamjalibeba more than 20years, hacha mtoe gunduYako isiyo ya kawaida ipo wapi? Na nyie wote ligi nzima mnaruhusu vipi timu ya kawaida inaongoza kwa points nyingi hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ndio kapewa au?
huo mpira kabla haujafika kwa huyo striker inapendeza zaidi kama utaanzia kutengenezwa nyuma.
timu zote zinazocheza mfumo wa 3-5-2 zinafaidika zaidi na huduma ya wingback.
rejea juventus ya antonio conte na massimiliano allegri na hata chelsea ya conte.
hao wingback wetu umewaona brother?
muda wote wapo nyuma hata kama hawajabanwa na maadui halafu tutegemee maajabu ya antonio martial?
sometimes tunawaonea bure hawa striker wetu.
Tusajili Kiungo wa nini wakati tunaye fundi wa Mpira PogbaLazima tusajili kiungo tena tungekuwa serious BF leo angecheza lakini tu napenda kuvuta mambo hadi zinabakia siku 2 au 1 ndio tunasajili




Angemuiga yule kiungo madrid
Mkuu ukiwa unaandika tumia akili basi! huyo pobga ni mzima?Tusajili Kiungo wa nini wakati tunaye fundi wa Mpira Pogba![]()