Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Binafsi naamini Man Utd ni watu wenye uwezo wa kubattle kwenye transfer market, kama kocha akiamua kuwa strict kwamba namhitaji huyu na huyu ili nifanye vizuri ni very obvious kwamba atapewa wachezaji hao.

Changamoto kwa coaches ambao hawaja prove ni kujaribu kubalance mahesabu kwa kununua low price players ili akinunua kama 6 watatu wakafanya vizuri basi anakuwa pressure siyo kubwa.

Tulikutana na case ya namna hiyo kwa Brendan Rodgers, baada ya kumuuza Suarez, badala ya kutafuta mchezaji wa caliber ya Suarez alienda kuzoa kina Balloteli, Rickie Lambert, Can, Lallana, Danny Ings, Lazar Markovic, Moreno nk. Kati ya zaidi ya 18 aliowanunua baada ya Suarez kuondoka ni Gomez, Firmino na Milner ndo wamekuwa regulars first eleven. Which is poor rate.

Proven coaches ana demand mchezaji mmoja wa bei, ambaye anajua atabeba timu, na iki-backfire, ni in course of business. Ndo maana Klopp aliweza kutoa 75m kwa VVD, then 60+ kwa Alisson, and they have turned out to be the best. Wakati hiyo 140 Rodgers angenunua magarasha kama 8 hivi.

OGS bado sana, na ninaweza kusema hakuna atakapoipeleka hii timu, hana command.

Ila kweli kwenye usajili tupo vibaya sana hili linaweza kumferisha sana kocha wetu hata zidane safar hii katumia pesa timu yake imekaa sawa
 
Kwa maneno haya, naona kabisa OGS anajaribu kucheza na akili zetu kama alivyofanya last time.

Mwambieni tunaijua janja yake, we will prepare ourselves as if Rashford will be in.

Rashford kweli mgonjwa hata mech ya wolves ilimshinda wakat maguire alimaliza mech kama rashford akicheza basi sindano kapigwa za kutosha
 
Nimetoka kwenye Ban ya muda mrefu.. Now I'm Back again... Nilimiss hili group Sana..

Mambo ni mengi Sana sijui nianzie wapi kucomment ...

Ngoja nianze na Yule nduli Mou, niliwaambia hapa Mou Ni weakest coach kwasasa hahaha , naomba mtupe Takwimu zake akiwa Tottenham ... Na bado atapigwa tu hakuna namna. Kuna ule upepo wa kisulisuli uliwachukua mashabiki wa united mpaka Tottenham sijui wako katika Hali gani ...


Kocha wetu Mmasai kutoka kule karatu (Ole ) bado anaruka ruka tu, tuzidishe maombi ya mnyororo.


Arsenal the gunners , washika majembe hawa kutoka jiji la London hawana tofauti na Lipuli Fc .. Tabu iko pale pale Licha ya kubadili kocha ...



Man city ndio team Licha ya ubovu wao inaonesha fighting spirit ya kumchallenj Liverpool ...



Liverpool sitaki kusema lolote , nimeshachoma Sana ubani wapoteze game hata moja naona huyu ustadhi ananimalizia hela zangu tu kununulia udi ... Nasuburi miujiza.



GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rashford kweli mgonjwa hata mech ya wolves ilimshinda wakat maguire alimaliza mech kama rashford akicheza basi sindano kapigwa za kutosha

Niliiona ile game, unajua last time tumekuja kushtukia Rashford yuko kwenye kikosi. First understanding ilikuwa kwamba hatacheza.

Na ukiona hayo maelezo, ni kama situation ni game time decision, not totally ruled out.
 
Game ya mwisho dhidi ya Liverpool, jamaa anaangalia kama mshika kibendera atasaidia
Screenshot_20200118_124410_com.instagram.android.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakuu nyie mnaonaje kati ya huyu Bruno, na hawa waingereza, Maddison na Grealish.
Nani anafaa kwa hii Man u

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom