Ngoja wolves wawabake LeoNyie mashabiki wa arsenal mnaoweka kelele humu tulieni, hamuoni ndugu yenu Aaron kashika adabu.
Kushinda mechi moja kelele
Alafu wanakutana Naye huku juzi alipingwa na Liverpool, Hivyo manyumbu lazima Nuno awakalie[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja wolves wawabake Leo
Kwani hii katokaje?Kocha wetu anashinda mech mbili ya tatu kichapo ya nne suluhu au kichapo anarudi tena kushinda mech mbili