Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Kwani hili jukwaa lina mipaka yakeEndeleeni kukaa kwenye majukwaa ya watu mpaka mkome
Vipi matokeo kiongoziJones ndani ya Nyumba,Martial on the Bench,Lingardinyo on that no10 role.Here we go
Man ni timu nzuri ikishafungwa. Nadhani liongezwe la 3Nakumbuka yule babu anaitwa Harry Rednap ligi kabla haijaanza alifanya uchambuzi sky sport akapendekeza manchester united ifanye usajiri wa wachezaji saba kuziba mapungufu, na akaonya endapo Ogs hacposajiri idadi iyo tutakua na msimu mgumu sana, mim sikumuelewa kabsa yule babu, leo nakumbuka maneno yake
Wakati naandika hii text tunafungwa la pili, duuh
Tunaweza kula mkono hii game
Washabiki wa liverpool na asernal tuwaombe watufundishe mbinu za sisi fans wa utd ya kuwa wavumilivu, wao waliwezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepigwa 3 debruyneNamuangalia OGS anaonekana kama haelewi nini kinaendelea uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
LA 3 aseeNakumbuka yule babu anaitwa Harry Rednap ligi kabla haijaanza alifanya uchambuzi sky sport akapendekeza manchester united ifanye usajiri wa wachezaji saba kuziba mapungufu, na akaonya endapo Ogs hacposajiri idadi iyo tutakua na msimu mgumu sana, mim sikumuelewa kabsa yule babu, leo nakumbuka maneno yake
Wakati naandika hii text tunafungwa la pili, duuh
Tunaweza kula mkono hii game
Washabiki wa liverpool na asernal tuwaombe watufundishe mbinu za sisi fans wa utd ya kuwa wavumilivu, wao waliwezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yetu mbovu sana wala ucpoteze muda kuja kubeza hapa, sis fans wa utd tunafaham hatuna timu hapa, tuna kikundi ambacho hakiwezi pata namba hata leicester city