Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ahsante kwa kutuzawadia point 4 msimu huu.
Screenshot_20200102-090343.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini akose options? kwanini hakutaka kusajili? kaondoka Fellaini, kaondoka Herrera, kwanini hakusajili?

Pogba kataka kuondoka, kwanini hakuleta mbadala?



Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii timu yetu mkuu, nakosa hata cha kuzungumza, alafu mbona kina scholes, nevile, fednand wapo kimya? Kipind cha Mou na Lvg walikua wanakosoa kila wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hapo kweli kazi unayo
Mechi zetu 8 zijazo, kwa trend hii ya uchezaji, mwezi huu utakuwa mgumu sana

Wolves (Away) - 04, Januari

Manchester City (Home) - 07,Januari

Norwich City (Home) - 11, Januari

Liverpool (Away) - 19, Januari

Burnley (Home) - 22, Januari

Manchester City (Away) - 29, Januari

Wolves (Home) - 01, Februari

Chelsea (Away) - 17, Februari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi zetu 8 zijazo, kwa trend hii ya uchezaji, mwezi huu utakuwa mgumu sana

Wolves (Away) - 04, Januari

Manchester City (Home) - 07,Januari

Norwich City (Home) - 11, Januari

Liverpool (Away) - 19, Januari

Burnley (Home) - 22, Januari

Manchester City (Away) - 29, Januari

Wolves (Home) - 01, Februari

Chelsea (Away) - 17, Februari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa aina ya timu niliyoishudia jana, morali chini, no game plan, Ogs plan A inapo'fail ndio basi game over
Mpaka 18 Jan habari za Ogs out itakua imeshika kasi hata pale Streightford End

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole kocha hovyo James ndio arsenal walikuwa wanamlenga sana na msumbufu kwao, cha ajabu anatolewa unaacha Rashford wanaoburuza mpira hadi unapotea.

Sasa iwe hivi Rashford akizingua Greenwood anaingia James anahamia kushoto.

Nimekereka na Chance za mwanzoni hasa ile ya Lingard kubuluza mpira uliopigwa kimakosa na beki.
 
Hv ulishawahi kumuona Ferguson akicheka pale United inapopoteza?Ferguson alikuwa anaonyesha hisia fulani ambazo zilikuwa zinaonyesha wazi amekasirika.Alikuwa mpaka analaumu waamuzi na kutoa lugha kali.Alishawahi kusema kwenye press conference 'nashangaa leo mwamuzi alikuwa hawezi kukimbia kwenda na kasi ya mchezo.Nadhani alikuwa ameshiba sana lunch.'

Alipigwa faini na kufungiwa mechi alipotoa hii kauli.Labda ndio maana watu wengi mpaka leo wanaamini kwamba United ilikuwa inabebwa na waamuzi lakini press conference ndiyo inatoa picha halisi ya aina gani ya kocha aliyepo kwenye timu.

Ole Gunnar Solskjaer jana kwenye press conference alionyesha wazi kwamba anaishukuru 'mizimu 'iliyompa bahati ya kuwa kocha wa timu kubwa kama United.Alisema 'pamoja na kupoteza tulicheza vizuri 'huku akitabasamu.Tena sio kwa tabasamu la kawaida kawaida tu. Tabasamu lile wazungu wanaloita 'genuine smile kama anavyoonekana kwenye picha hapo chini.

Usingeweza kuona kitu kama hiki kutoka kwa Ferguson.Siku ambayo United ingepoteza dhidi ya Arsenal ungemuona tu akiwa amefura macho mekundu 'kwa kweli tulikuwa ovyo sana leo tumeruhusu magoli rahisi sana'.Lakini asingeweza kuongea hivyo huku akiwa anatabasamu wakati ametoka kufungwa na Arsenal.United mara nyingi huifunga Arsenal iwe Emirates au Old Trafford.

Ole Gunnar Solskjaer ana bahati kubwa kuifundisha United. Ni kijana wa Carrington.Ni United 'through and through na anapokaa kwenye bench washabiki wote wanajifeel wapo na mtu mwenye damu ya United Lakini ni muhimu awe halisi na asiwe kama muigizaji mbele ya vyombo vya habari.
FB_IMG_1577951828720.jpeg
 
Ole amekariri

Akikutana na timu yoyote, tactics ni zile zile, counter attacking

Kwenye sub, team ikishindwa kupata goli, toa DJ, weka Greenwood, bila kujali fomu ya wachezaji wa mbele kwa siku hiyo

Timu ikiongoza comfortably, toa Rashford weka mwingine

Ole kocha hovyo James ndio arsenal walikuwa wanamlenga sana na msumbufu kwao, cha ajabu anatolewa unaacha Rashford wanaoburuza mpira hadi unapotea.

Sasa iwe hivi Rashford akizingua Greenwood anaingia James anahamia kushoto.

Nimekereka na Chance za mwanzoni hasa ile ya Lingard kubuluza mpira uliopigwa kimakosa na beki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last season tulichukua 4 points...
This season the same 4 points...
Next season tunachukua zote 6...
Mwanitesa united kamshindwa Asenali sasa..
Zilisaidia nini? Huna tofaut na mshabiki wa hii timu anafurahia kuifunga chelsea na man city kisha unafungwa na arsenal na watford

Lampard kachukua point 6 ndani ya top six solskjaer kachukua point 11 ndani ya top 6 liverpool kaambulia point kwa united rudi kwenye msimamo sasa

Sasa ligi inageuka arsenal kuchukua point 4 za united mei out of top 4 huzuni
 
Back
Top Bottom