Ole sio kocha bali mhamasishaji wa kuitafuta morali ya wachezaji. Tangu usajili wake alitutia mashaka kwa kuonekana kupendelea mazao ya academy au waingereza kuichezea united.

Pili,huoni mfumo au muunganiko wa utengenezaji mashambulizi zaidi ya asilimia kubwa kuwa magoli ya juhudi binafsi ya wachezaji (achilia mbali goli la Martial dhidi ya Cardiff mwaka jana),huoni la maana analofanya hapo.

Upangaji kikosi nao umekuwa wa mazoea zaidi,haiwezekani mechi dhidi ya city,Watford, westham kikosi ni kile kile,mbinu ni zile zile na mbaya zaidi mfumo pia haubadiliki.

Amekuwa na tabia ya kuogopa kuwafanyia mabadiliko wachezaji wenye majina makubwa kiasi mfano martial, rashford na pogba,au anakuwa hajui afanye nini.
Hadi sasa ana mwaka na zaidi lakini sioni jipya tunalolifanya chini ya huyu jamaa zaidi ya kupata ushindi usiotabirika tu. Wachezaji hawamuogopi kabisa,kiwango cha leo na kesho ni sawa sawa. Mbaya zaidi,makosa wanayoyaona watu wasio na taaluma kama yake,yeye bado anatudanganya kuwa mambo yako sawa. Mfano usajili wa kiungo na striker tangu majira ya joto,yeye anaongelea majeruhi wakirudi utakuwa sawa na usajili mpya. Hivi kweli tunategemea jipya toka kwa pogba na baily kuiimarisha united?
Atatufanya tustaafu mapema kuangalia mpira huyu jamaa,
Ko mkuu unadhani hapendi kufanya subs au hakuna wa kuingia....anayeingia na anayetoka sawa tu.....
 
Wakuu jana nilikereka hata kuingia humu nilishindwa, timu haina morali kama wana mgomo wa mshahara, wanapoteza mipira, jana kila mtu alikua chini ya kiwango kuanzia no1 mpaka 11
Timu yetu ina matatizo makubwa sana
Kuna video Skysport wameirusha inamuonyesha G.Nevile na Mou kwenye chumba cha uchambuzi baada ya ile boko la DeGea wakisikitika
Mtazamo wangu tuna kikundi cha wachezaji wasiofaham nin maana ya kichezea ManUtd
Pogba karudi, tuone labda atawapandisha morali wenzie, ila tuna hali mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna watu wanasema pogba ni kirusi aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogs ameshindwa kutupa matokeo mazuri kwa kikosi hiki alichonacho.

ogs hawezi kufukuzwa kazi kwa sababu bado ana tiketi muhimu ya kombe la europa.

ogs hawezi kubeba ubingwa wa europe kwa kikosi hiki alichonacho, kuna sevilla, benfica, inter milan n.k

kwa mwendo huu ogs hawezi kupata nafasi ya nne kwa kikosi hiki alichonacho, baada ya kuwafunga man city tulitegemea ule ugonjwa wa kupoteza point dhidi ya timu ndogo utaondoka kwa sababu ya hamasa na ari iliojengeka ndani ya taasisi yetu baada ya ushindi.

ili ogs apate nafasi ya nne na europe ni lazima asajili wachezaji wawili hadi watatu.

ili kibarua cha Ogs kiendelee kuwepo ni lazima atupe ubingwa wa europe au nafasi ya nne.

dirisha la usajili linakaribia, kazi kwake bwana olee.

juzi amesema kurudi kwa pogba, tuanzebe, matic kutaongeza ubora wa kikosi, akimaanisha hakuna ulazima wa kwenda sokoni

david moyes alifukuzwa kazi baada ya timu kujihakikishia kukosa tiketi ya kucheza UEFA

jana AC milan amefungwa magoli matano.
mungu atunusuru na anguko lile
Yaani hata Europa hatuwezi kuchukua(kucompete properly)..like serious??...Yaani Ac Milan aliyepigwa tano jana na Atalanta naye tunamhofia..Basi inabidi hii timu ivunjwe kila mtu akafanye mambo yake
 
Duh! Leo umeamua kumuwakia De gea,
Mtizamo wangu, kosa la jana ni la kawaida kama mwanadamu. Lakini pia usisahau, umaarufu wa De gea kama GK ni saves zake za maana kwa UNITED. Unadhani kwa nini si Romero?

Usiteme Big G kwa karanga za kuonja.
Nakumbuka pia na saves za Romero, sio za Degea peke yake

Najaribu kukumbuka mistakes za Romero, kumbukumbu haiji

Halafu, mistakes huwa zipo tu, lakini zinapozidi lazima tuhoji kiwango cha mchezaji husika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko mkuu unadhani hapendi kufanya subs au hakuna wa kuingia....anayeingia na anayetoka sawa tu.....
Yote mawili ni sawa mkuu..hana watu na hataki kusajili ingawa pia anakuwa hawezi kubadilisha mbinu na wachezaji kulingana na adui anayekabiliana naye kwa wakati huo.
 
Kazi ya Lingard ni kupress,anafaa kwa timu kama city zinazoanzisha mashambulizi tokea nyuma,lakini siku ya mechi na westham unakuta naye yumo kikosini halafu mata/gomez wanaota baridi benchi...unabaki kuomba miujiza tushinde tu.
 
Ole hana plan. Hana uzoefu. Huwezi ku approach game vs Watford the same way una approach game vs City or Liverpool.

Timu ikishakua ina lay low kwenye zone yao, hakuna mbinu m'badala ya kuweza kuwa unblock, huwezi kupata goals kwa njia ile ile ya Counter Attack kwenye kila mechi.

Hatuwezi kunyumbulika sababu hatuna wachezaji wa aina hiyo zaidi ya Pogba (simueki Mata as yuko past his days) na hapo hapo Ole anatoa statements zinazoashiria hatuwezi kusajili January hii.

Hii inaonesha ni jinsi gani huyu mwamba anapiga pata potea na timu yetu, unless abadilike lakini hali itaendelea kuwa vivi hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogs ameshindwa kutupa matokeo mazuri kwa kikosi hiki alichonacho.

ogs hawezi kufukuzwa kazi kwa sababu bado ana tiketi muhimu ya kombe la europa.

ogs hawezi kubeba ubingwa wa europe kwa kikosi hiki alichonacho, kuna sevilla, benfica, inter milan n.k

kwa mwendo huu ogs hawezi kupata nafasi ya nne kwa kikosi hiki alichonacho, baada ya kuwafunga man city tulitegemea ule ugonjwa wa kupoteza point dhidi ya timu ndogo utaondoka kwa sababu ya hamasa na ari iliojengeka ndani ya taasisi yetu baada ya ushindi.

ili ogs apate nafasi ya nne na europe ni lazima asajili wachezaji wawili hadi watatu.

ili kibarua cha Ogs kiendelee kuwepo ni lazima atupe ubingwa wa europe au nafasi ya nne.

dirisha la usajili linakaribia, kazi kwake bwana olee.

juzi amesema kurudi kwa pogba, tuanzebe, matic kutaongeza ubora wa kikosi, akimaanisha hakuna ulazima wa kwenda sokoni

david moyes alifukuzwa kazi baada ya timu kujihakikishia kukosa tiketi ya kucheza UEFA

jana AC milan amefungwa magoli matano.
mungu atunusuru na anguko lile
Yule "jini" aliyekuwaga Liverpool FC ndiyo yupo Man U sasahivi, itawachukua miaka kibao sana kurudi kwenye ule ubora wa enzi za Ferguson.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tokea jana nina mzuka wa kumtetea ole gunnar solskjaer................... si vibaya kuwa kigeugeu wa fikra
ukiachana na ishu ya mwalimu na madhaifu yake
sababu nyengine kubwa ya kufanya vibaya ni baadhi ya wachezaji kutokuwa makini (umakini una maana nyingi sana)
swali la kujiuliza mbona mechi kubwa tunapata matokeo mazuri haliyakuwa mwalimu ndiye yule yule.

mbona mechi kubwa wachezaji wanaonyesha nidhamu ya mchezo muda wote?

najua baadhi yetu nikiwemo na mimi tumeshikilia dhana ile ile ya kwamba game plan ya mechi kubwa ni tofauti (tukijificha kwenye hoja ile ya timu kubwa zinacheza mpira wa wazi ndio maana tunazifunga)
hivi jose mourinho anacheza mpira wa wazi?

kuna wachezaji ndani ya klabu wameshafundishwa na makocha watatu hadi wanne lakini viwango vyao havijabadilika.... sidhani kama OGS ana miujiza ya kumbadilisha lingard awe level moja na kovasic matteo

mfano mdogo umemuona scott mctominay alivyocheza juzi, je anafanana na mctominay yule aliyecheza dhidi ya kelvin de bruyne wiki mbili zilizopita....... hivi scott alishawahi kufanyiwa substitution kwenye kikosi chetu?

umemuona luke shaw alivyo, nitajisikia aibu kuja kuwaambia watoto wangu ya kwamba sikumbuki mechi ambayo bwana yule alitengeneza nafasi ya goli, bora yule mwenzake analeta uhai kwenye eneo la ulinzi.

juzi mwalimu alijitahidi kufanya substitution mapema na muhimu kiufundi tofauti na mechi ya everton lakini mchezaji pekee aliyeonyesha uhai na utofauti ni paul pogba...

tutamuondoa ogs then tutamleta yule muhuni allegri au pochettino naamini pombe itakuwa ndio ile ile.

nitampinga tena OGS endapo atashindwa kusajili wachezaji japo wawili hadi watatu dirisha hili watakao ongeza nguvu ndani ya kikosi tulichonacho kwa sababu hawa waliopo wameshashindwa kutupa matokeo mazuri kwenye mechi ndogo.

bado nafasi ya 4 ipo wazi
ubingwa wa europa upo wazi
===============================
--unamweka benchi martial na mdogo wake rashford mpaka wanaamua kufuga rasta
--unawafanyia rotation ya lazima kati ya maguire na lindeloff (natumai rojo na bailly watarudi kama zamani)
--david degea akifanya tena mistake unampeleka kwa mkopo sheffield united
--lingard unampeleka everton kwa paundi millioni 20 ( wale wahuni wanapata pesa ya bure kutoka kwa tajiri wao)
--juan mata unamfanya balozi wa nyumba 10
--daniel james asipopunguza mbio zembe unampeleka formular 1, kazi yake kujichosha ujinga.
--phil jones unampeleka crystal palace japo bure, yule kocha wao anapenda wachezaji wa kiingereza
--scott akiendelea kudunda ovyo uwanjani unamrudisha academy na nafasi yake unampa levitt na garner
-- matic unampeleka italy kwa wazee wenzake

bangi za usiku
Sio kazi rahsi kufanya hayo maamuz kama unavyofikria
 
Nakumbuka wakati Messi anajulikana kwenye ulimwengu wa soka kuna watu walisema huyu jamaa mabeki wakimjulia atakuwa anaruka ruka, lakini sasa hivi karibu anastaafu bado hakuna aliyemjulia

Ninachotaka kusema, tackling is his quality.... You can't take that away from him

Nakubali hawezi ku win tackles zote anazofanya, but still ata win majority of them

Pia nakubali kufanya tackle kama zile ndani ya 18 yard ni immaturity, amejifunza, atarekebisha, bahati nzuri OGS mwenyewe ameliongelea hilo jana

Huwezi kumjulia CR7 kwenye kumdhibiti kupiga vichwa au mashuti yake, huwezi kumjulia Ibra Cadabra enzi zake kumdhibiti asipige magoli ya tiki taka.

Hazard alivyochezewa man to man na Harrera watu walidhani amejuliwa, lakini baada ya hiyo mechi ameendelea na ubora wake wa ku dribble na kuwapita mabeki kama wamesimama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mechi hiyo hiyo maeneo hayo hayo alifanya hivyo hivyo akafanikiwa ,sasa watamlazimisha delay ataacha mwenyewe tu ,tupo hapa kukumbushana
 
Yote mawili ni sawa mkuu..hana watu na hataki kusajili ingawa pia anakuwa hawezi kubadilisha mbinu na wachezaji kulingana na adui anayekabiliana naye kwa wakati huo.
angekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi

Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.

Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.

First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??

Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
 
Mkuu umeandika kwa hasira sana,pole sana.
Ole anakera sana na watoto wake pale united.
 
Ogs ameshindwa kutupa matokeo mazuri kwa kikosi hiki alichonacho.

ogs hawezi kufukuzwa kazi kwa sababu bado ana tiketi muhimu ya kombe la europa.

ogs hawezi kubeba ubingwa wa europe kwa kikosi hiki alichonacho, kuna sevilla, benfica, inter milan n.k

kwa mwendo huu ogs hawezi kupata nafasi ya nne kwa kikosi hiki alichonacho, baada ya kuwafunga man city tulitegemea ule ugonjwa wa kupoteza point dhidi ya timu ndogo utaondoka kwa sababu ya hamasa na ari iliojengeka ndani ya taasisi yetu baada ya ushindi.

ili ogs apate nafasi ya nne na europe ni lazima asajili wachezaji wawili hadi watatu.

ili kibarua cha Ogs kiendelee kuwepo ni lazima atupe ubingwa wa europe au nafasi ya nne.

dirisha la usajili linakaribia, kazi kwake bwana olee.

juzi amesema kurudi kwa pogba, tuanzebe, matic kutaongeza ubora wa kikosi, akimaanisha hakuna ulazima wa kwenda sokoni

david moyes alifukuzwa kazi baada ya timu kujihakikishia kukosa tiketi ya kucheza UEFA

jana AC milan amefungwa magoli matano.
mungu atunusuru na anguko lile
Mkuu chini ya ole na jinsi timu inavyocheza hapa hakuna cha Top four wala ubingwa wa Europa trust me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom