Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo la kwanza la Manchester ni kocha

pili, Martial

tatu, Lindelof

usiku mwema
Nimefuatilia mechi ,zote 18 tulizocheza nashawishika kusema safu yetu ya ulinzi bado ina mapungufu.

Naangalia naona mechi mbili tu hatujaruhusu goli mechi na chelsea pamoja na Everton.

Mwanzo wa msimu niliassess timu nikaona kwa defence yetu ungeweza kupata goalless draw nyingi lakini haijawa hivi tumekuwa tukifungwa easy goal sana why ?

Defence yetu inamapungufu ambayo hatuyaoni, defence yetu ikishambuliwa inayield kirahisi sana na magoli yote tunafungwa kupitia katikati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefuatilia mechi ,zote 18 tulizocheza nashawishika kusema safu yetu ya ulinzi bado ina mapungufu.

Naangalia naona mechi mbili tu hatujaruhusu goli mechi na chelsea pamoja na Everton.

Mwanzo wa msimu niliassess timu nikaona kwa defence yetu ungeweza kupata goalless draw nyingi lakini haijawa hivi tumekuwa tukifungwa easy goal sana why ?

Defence yetu inamapungufu ambayo hatuyaoni, defence yetu ikishambuliwa inayield kirahisi sana na magoli yote tunafungwa kupitia katikati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado Mtachakatwa Mpaka Mnye..
 
Hapa ndio msemo wa nyani haoni kundule unapotumika

Yeye mwenyewe ana American mentality, money oriented kwenye kila dili

Unaambiwa anamshauri Haaland aanzie Leipzig au Dortmund kabla ya kwenda United ili apige "signing on fee" mara mbili

Huyu jamaa ni agent nisiyemkubali kabisa, kampotosha Deligt aende Juve badala ya Barca, not for football reasons lakini ni kwa financial influence

Akipigwa na njaa kidogo tu, timu zenye wachezaji wake lazima zipitie kwenye migogoro na hao wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri anaompa Haaland ni ushauri mzuri sana kwa career ya huyo dogo hizo ni timu zinazomfaa dogo kwa sasa sababu tayari hizo timu ziko stable na akienda huko ana uhakika kucheza na pressure ni ndogo ukilinganisha na United na recently wachezaji wengi waliosajiliwa na United wengi wamechemsha.Kwa kuwa ni shabiki wa United unaona sio sawa jamaa kumshauri aende Dortmund angalia Hakim & Sancho hawa walikosa nafasi Madrid na City now wamekuwa kwenye form baada ya kwenda Dortmund

Hakuna timu ambayo ilitoa hela nyingi kumsajili De Ligt (signing fee,bonus & salary) kuliko PSG,kama jamaa angetaka hela angempeleka huko
Then kwa sasa Barca ni timu mbovu na kocha mbovu ndio maana recently wachezaji waliosajiliwa karibuni Coutinho,Dembele walivyochemsha ,bila Messi Barca hawana timu.
 
IMG_7074.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Weak argument, laiora is very stupid agent on Earth.
mlevi anaendelea kunywa

Is there a better midfielder (than Pogba) in the world? No!” he added. “If you come to that conclusion then the other conclusion is – now if you sell Paul Pogba would you buy a better one? No! Where is he? But if you create your identity then maybe you discover that Paul is ideal. If you, say, want to play with two holding midfielders then where does Paul play? In several positions.
 
Huyu Degea haijaanza kufuja leo mkuu, huwa ana mistakes nyingi sana ambazo kila wakati huwa zinatafutiwa justification asilaumiwe

Nakumbuka msimu uliopita alimpa goli Messi la kifala, kuna mechi na Chelsea akampa Alonso goli la kizwazwa, watu wa kawa wanamtetea kuwa haja settle kiakili kwa sababu ya mazungumzo mkataba.

Hapo sijaongelea enzi zile amekuja premier, alikuwa anapigwa kiboya sana.

Sasa bora ingekuwa tunamng'ang'ania hivyo kwa kuwa hatuna kipa mwingine, lakini ukweli tuna kipa namba 2 mzuri pengine kuliko yeye

Hii ni hofu ya OGS tu, kama anavyoogopa kum sub Martial anapozingua, kama anavyoogopa kumpa makavu Pogba anavyaharibu

Unfortunately OGS anaendelea kujifunza kwa gharama ya maumivu ya mashabiki
Hivi hakuna haja ya kumpuzisha De Gea akacheza Romeo hata walau mechi mbili tukaona nae yukoje.?

Kwenye EUROPA League Romero ana 100% cleansheet why not start him in the epl too ?

Mechi 18 cleanshit 2 tu it is not right huyu jamaa possibly naye kashaanza kufuja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom