Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Basi mama yako, dada yako au mchepuko/mke wako!😀😀Povu kama lote,ila mimi sina shangazi mkuu.
(Chagua unayeona anafaa).
Basi mama yako, dada yako au mchepuko/mke wako!😀😀Povu kama lote,ila mimi sina shangazi mkuu.
Hata Msimu uliopita huyu mwamba alifungwa magoli mengi sana.
Msimu huu pia anafungwa goli nyingi mpaka sasa GD 4 tu what a shame !!
Lakini pamoja na mapungufu ya golikipa mimi nafikiri hata defence yetu ina mapungufu yake ambayo yanakuwa exposed zaidi tunapocheza na timu tunazozidharau.
Hivi Lindelof na Maguire nani anapaswa kuwa last defender nawaona wakipanda wote wanaenda mazima, wakihamia upande mmoja wote wanaenda mazima why ?
Hivi mbona Fullbacks zetu hazifanyi kazi yoyote tunapocheza na timu ndogo zinatupa mipira hovyo hovyo bila kuwa plan yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Instagram au fesibuku ukatukanane na vitoto vyenzako matusi ya darasa la pili,humu ni sports na kuna jokes za kisports na zimeshazoeleka,stress zako za maisha haziwezi kuisha kwa kutukana mtu usiyemjua tena vimatusi vya darasa la pili.Basi mama yako, dada yako au mchepuko/mke wako!
(Chagua unayeona anafaa).
Am sick tired of Wan Bissaka..hakuna la lamaa analolifanya zaidi ya tackling zake..hawezi hata kutoa pasi nzuri tukifika kwenye eneo la wapinzani,,..yaani hovyo hovyoHata Msimu uliopita huyu mwamba alifungwa magoli mengi sana.
Msimu huu pia anafungwa goli nyingi mpaka sasa GD 4 tu what a shame !!
Lakini pamoja na mapungufu ya golikipa mimi nafikiri hata defence yetu ina mapungufu yake ambayo yanakuwa exposed zaidi tunapocheza na timu tunazozidharau.
Hivi Lindelof na Maguire nani anapaswa kuwa last defender nawaona wakipanda wote wanaenda mazima, wakihamia upande mmoja wote wanaenda mazima why ?
Hivi mbona Fullbacks zetu hazifanyi kazi yoyote tunapocheza na timu ndogo zinatupa mipira hovyo hovyo bila kuwa plan yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenielewa vbaya mkuu sikumlenga mtu...uliowataja nawaheshimu sana humu ndani.japokuwa hatufahamiani lakini si ajabu unaweza kukuta humu ndani kuna watu walishabikia mpira miaka mingi iliopita kuliko hata wewe unayeonyesha dharau kwa sababu ya michango yao.
Mc cane ni kweli betting imekuingiza kwenye mpira?
PTER na wewe umeshabikia mpira kwa sababu ya mikeka?
halafu binadamu hatufanani kiumri
Am sick tired of Wan Bissaka..hakuna la lamaa analolifanya zaidi ya tackling zake..hawezi hata kutoa pasi nzuri tukifika kwenye eneo la wapinzani,,..yaani hovyo hovyo
Najiuliza hivi ni kwamba ndo uwezo wake au timu mbovu ndo inamfanya acheze vile..na ni nani wa kuifanya timu iwe nzuri wakati na yeye yupo kwenye timu??..
Jana timu nzima imecheza hovyo..
Kimsingi backline yetu haiwezi kabisa kubuild up mashambulizi..tunacheza very slow,back passes, na side passes..
Kuna siku nilisema tactically na technically bado sijauelewa uwezo wa OGS,..ndugu yangu PTER ukasema OGS ni mkali kwenye hilo eneo maana big six wote tumefanya vizuri,,sasa jamani tunashindwaje hata kuwafunga Watford walioko mkiani??..Na hawajashinda tokea April kwenye uwanja wao wa nyumbani..ila jana wameshinda..disgusting
hii mipira ya corner ni bora tumzawadie adui goal kickPendekezo Maguire aache kwenda kucheza kona hakuna anachokifanya zaidi ya kuwapoteza wenzake tu na kuharibu shambulizi
hii mipira ya corner ni bora tumzawadie adui goal kick