Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angel Gomes kuna uwezekano Mkubwa akaondoka na Barcelona wamerudi tena kwa nguvu za kumuwania. Nadhani Barca kuna kitu kikubwa wanakiona kwa huyo dogo ma ndio maana msimu ulopita walikuwepo na huu wamerudi tena
 
Ole sio kocha bali mhamasishaji wa kuitafuta morali ya wachezaji. Tangu usajili wake alitutia mashaka kwa kuonekana kupendelea mazao ya academy au waingereza kuichezea united.

Pili,huoni mfumo au muunganiko wa utengenezaji mashambulizi zaidi ya asilimia kubwa kuwa magoli ya juhudi binafsi ya wachezaji (achilia mbali goli la Martial dhidi ya Cardiff mwaka jana),huoni la maana analofanya hapo.

Upangaji kikosi nao umekuwa wa mazoea zaidi,haiwezekani mechi dhidi ya city,Watford, westham kikosi ni kile kile,mbinu ni zile zile na mbaya zaidi mfumo pia haubadiliki.

Amekuwa na tabia ya kuogopa kuwafanyia mabadiliko wachezaji wenye majina makubwa kiasi mfano martial, rashford na pogba,au anakuwa hajui afanye nini.
Hadi sasa ana mwaka na zaidi lakini sioni jipya tunalolifanya chini ya huyu jamaa zaidi ya kupata ushindi usiotabirika tu. Wachezaji hawamuogopi kabisa,kiwango cha leo na kesho ni sawa sawa. Mbaya zaidi,makosa wanayoyaona watu wasio na taaluma kama yake,yeye bado anatudanganya kuwa mambo yako sawa. Mfano usajili wa kiungo na striker tangu majira ya joto,yeye anaongelea majeruhi wakirudi utakuwa sawa na usajili mpya. Hivi kweli tunategemea jipya toka kwa pogba na baily kuiimarisha united?
Atatufanya tustaafu mapema kuangalia mpira huyu jamaa,
Duuh Ogs anataka kutustafisha mapema, yaani now days sina raha na chama langu kabsa, mzee ferg alitudekeza sana enzi za glory days

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Canto...
Screenshot_20191225-173855.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
De Gea

Dalot Tuanzebe Maguire Williams

McTominay Fred Pogba

Greenwood Martial Rashford

Nampa james likizo kidogo he is out of his sharpness tunapokutana na timu ndogo..
 
Hii line up, ni nzuri pia, japo kwa sababu hiyo Martial anaweza kuwa ndio mtu sahihi kupumzishwa

Ila kwa kuwa Martial ana status yake tayari, anaweza kuonekana hagusiki

Uzuri wa James, atakusaidia offensively na defensively

Sababu ya msingi ya Martial kupumzishwa ni nini mkuu??..

Alivyoingia Pogba uliona walivyocheza??..

Simkubali Martial maana hajitumi lakini kwa kuangalia mechi iliyopita na kurudi kwa Pogba,sioni sababu ya kumdrop,labda tungoje tuone mechi hii na zijazo..
 
Mkuu, mimi kwangu akianza Martial bado sioni shida kiivyo,

Sababu ya Martial kusubiri, ni James kuanza, sababu ninaamini James ana offer kikubwa kuliko Martial

Pogba (akiwa form) anafanya Martial aonekane zaidi, Pogba (akiwa form) anaweza fanya mchezaji yoyote ang'are akiwemo James

Back
Top Bottom