Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ana a lot of high profile mistakes,

Trust me, kosa la juzi halitakuwa la mwisho

Why Degea and not Romero, jibu ni simple huwa ni ngumu kum drop starter kwenye timu, hasa kwa makocha waoga waoga na wanaoogopa wachezaji kama OGS

Na mimi nikuulize, why Degea siku hizi baadhi ya mechi za Spain haanzi na anaanza Kepa (kwanini Degea siku hizi hana uhakika wa namba Spain)

Romero ana uwezo, na ame prove kwenye mechi nyingi kuwa ana uwezo

Kuna ule msimu ambao Degea alikuwa anataka kwenda Madrid, LVG alikuwa anamuanzisha Romero (mpaka Degea aliposaini mkataba mpya) na jamaa alidhibiti lango vizuri tu
Duh! Leo umeamua kumuwakia De gea,
Mtizamo wangu, kosa la jana ni la kawaida kama mwanadamu. Lakini pia usisahau, umaarufu wa De gea kama GK ni saves zake za maana kwa UNITED. Unadhani kwa nini si Romero?

Usiteme Big G kwa karanga za kuonja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi

Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.

Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.

First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??

Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
Akiwa Roy Keane sipati picha sekeseke litakalotokea chumba cha kubadilisha nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana a lot of high profile mistakes,

Trust me, kosa la juzi halitakuwa la mwisho

Why Degea and not Romero, jibu ni simple huwa ni ngumu kum drop starter kwenye timu, hasa kwa makocha waoga waoga na wanaoogopa wachezaji kama OGS

Na mimi nikuulize, why Degea siku hizi baadhi ya mechi za Spain haanzi na anaanza Kepa (kwanini Degea siku hizi hana uhakika wa namba Spain)

Romero ana uwezo, na ame prove kwenye mechi nyingi kuwa ana uwezo

Kuna ule msimu ambao Degea alikuwa anataka kwenda Madrid, LVG alikuwa anamuanzisha Romero (mpaka Degea aliposaini mkataba mpya) na jamaa alidhibiti lango vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ungese kwelikweli mechi kibao adake DDG, sijui kama tutachukua Yuropa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roy Keane nmbane sana majuzi hpa alimdongoa martial. Gary Neville akasema Martial ni mchezaji ambae akiwa form anaweza kutupa goli 25, Roy akasema itakuwa lini? Maana jamaa ameishapewa muda wa kutosha he is not good enough

Sent using Jamii Forums mobile app
Martial auzwe tu hana jipya.
Ikiwezekana arudishwe Monaco tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUKO kwenye Twitter kumenoga. Mashabiki wa Manchester United wameamua kuisambaza kwa kasi kubwa, hashtag ya “#OleOut” baada ya kikosi chao kuchapwa Mbili Bila na timu inayoburuza mkia kwenye ligi, Watford.
Mabao ya Ismaila Sarr na Troy Deeney, aliyefunga kwa penalti yalitosha kuifanya Watford kushinda mechi ytao ya pili msimu huu, lakini wakiendelea kusubiri mkiani kwennye msimamo wa Ligi Kuu England.
Mashabiki wa Man United wanamtaka kocha Ole Gunnar Solskjaer aondoke kwa sababu anawavuruga tu, hawamwelewi. Amekuwa mtu wa sura mbili. Solskjaer wa mechi kubwa na Solskjaer wa timu ndogo. Ni watu wawili tofauti kabisa. Kwenye Ligi Kuu England msimu huu, Man United imecheza mechi 18 hadi sasa, kwenye mechi hizo imeshinda sita, sare saba na vichapo vitano. Kwenye mechi zao walizochapwa, zote na timu ndogo. Kwenye sare saba alizopata kocha huyo msimu huu, mbili tu ndio za timu kubwa, Liverpool na Arsenal, lakini nyingine zote ni za timu ndogo. Hiyo ina maana, Man United imeboronga kwenye mechi 10 ilizocheza na timu ndogo. Wamevuna pointi tano tu katika mechi hizo. Kwenye ushindi wao wa mechi sita, mbili tu ndizo walizovuna kwenye mechi dhidi ya timu ndogo, hiyo inamaana katika mechi 12 walizocheza dhidi ya timu ndogo, wamevuna pointi 11 tu. Dhidi ya timu kubwa, Man United imeshinda mechi nne na kutoka sare mbili. Imezichapa Manchester City, Chelsea, Tottenham na Leicester City, wakivuna pointi 12 hizo na sare mbili dhidi ya Liverpool na Arsenal kufanya jumla ya pointi 14, ambazo wamevuna kwenye mechi dhidi ya timu kubwa. Hii inaonyesha Man United ya timu kubwa ni tofauti kabisa ya ya timu nndogo.
Kingine kitu cha ajabu kuhusu Solskjaer ni kwamba kwenye mechi sita ambazo wameshinda, ni moja tu waliyomiliki mpira zaidi ya asilimia 50, wakati walipoichapa Norwich City 3-1 na kumiliki mpira kwa asilimia 53.9. Walipoichapa Man City 2-1 walimiliki mpira kwa asilimia 28.1, Brighton 3-1 walimiliki kwa asilimia 42.7, Tottenham walipowachapa 2-1 walimiliki mpira kwa asilimia 46.6 na Leicester waliwachapa 1-0 na walimilii kwa asilimia 41.7 na Chelsea walipowapiga 4-0 walimiliki mpira kwa asilimia 46.3.
Ajabu kwenye mechi walizopigwa, zote United imemiliki mpira kwa asilimia nyingi, zaidi ya 50. Walipochapwa na Crystal Palace walimiliki mpira kwa asilimia 71.3, na West Ham walipolala 2-0 walimiliki kwa asilimia 53.5, dhidi ya Newcastle walipochapwa 1-0, walimiliki mpira kwa asilimia 68.1 na walichapwa 2-0 na Watford, United walimiliki mpira kwa asilimia 64.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukatili waliokua wanafanya hawa vijana ulisababisha nikalamba mchanga kuto wapenda hawa Mashetani...
Screenshot_20191223-131617~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi

Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.

Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.

First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??

Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
Pogba katengeneza chance tatu dk 13 mnataka awafanyie nini? Nachomsikitikia anacheza na wachezaji wa kawaida sana anamletea greenwood mguuni kugusa juu akashindwa
 
Punguza chuki kwa Pobga, He was our best player that day..

Pogba this Pogba that.. Imagine angekua ndio kafungisha au kakosa clear chances. Pogba is not our problem.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom