D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
mjomba maguire anaongoza kikosi cha kusukuma wenzake
mjomba maguire anaongoza kikosi cha kusukuma wenzake
Maguire tuliamini anatakuwa anafanya kile alichokuwa anakifanya world cup..lakini siku hizi kila tukipiga kona tunaishia kucheza faulo
mjomba maguire anaongoza kikosi cha kusukuma wenzake
angalau jana alifanikiwa kupiga mpira kwa kichwa😀😀😀
Maguire tuliamini anatakuwa anafanya kile alichokuwa anakifanya world cup..lakini siku hizi kila tukipiga kona tunaishia kucheza faulo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wetu wanadharau mechi hivyo wanaenda uwanjani hawapo tayari kupambana.
Mbinu za mwalimu lazima ziwe complimented na quality ya wachezaji individually and collectively.
Wachezaji wetu final third wanakuwa too predictable kiasi kwamba wanashindwa cha kufanya wanapokuwa blocked.
Attacking midfield yetu inapwaya kwenye kuunlock defences za timu zinazojilinda kwa low blocks
Tunashindwa kutumia deadball kupata magoli kwa timu kama hizi unapaswa kupata magoli kwa njia nyingi.
Huwa najiuliza hivi Man united siku hizi hawafanyii mazoezi kona na indirect free kicks maana wanavyozicheza ni kama wachezaji wa dondo.
Kuhusu tactics mwalimu anajitahidi ila quality ya wachezaji kwenye maeneo mengi inamwangusha.
Kwenye mechi tunazopaswa kushambulia sioni sababu ya kumchezesha Wan Bissaka badala ya Dalot ambaye anauwezo mzuri wa kushambulia na kutengeneza nafasi.
Pendekezo Maguire aache kwenda kucheza kona hakuna anachokifanya zaidi ya kuwapoteza wenzake tu na kuharibu shambulizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye mechi tunazoona tunaweza ku dominate, tumpange Dalot ndipo penyewe mkuu
Pia, kwenye mechi za aina hiyo hiyo, tumpange Greenwood badala ya Lingard maana ka Lingard kanajitahidi ku press tukiwa hatuna mpira, lakini tukiwa tunampira he is not that good
Kwahiyo kwenye mechi ambazo tunampira kwa % kubwa tuchezeshe pure attacking minded player kama Greenwood & Co.
Mambo kama haya OGS anapaswa kuyaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wan Bisaka "I like to tackle ….." Huyu mwamba mawinga wakimjulia watavuna penalties mpaka washangae
Nafikri Ole ni muoga sana kutake risks au yawezekana yeye mazoezini anaona tofauti na Sisi ambao tunaangalia timu ikiwa inacheza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaacha lini kumtetea OLE.Wachezaji wetu wanadharau mechi hivyo wanaenda uwanjani hawapo tayari kupambana.
Mbinu za mwalimu lazima ziwe complimented na quality ya wachezaji individually and collectively.
Wachezaji wetu final third wanakuwa too predictable kiasi kwamba wanashindwa cha kufanya wanapokuwa blocked.
Attacking midfield yetu inapwaya kwenye kuunlock defences za timu zinazojilinda kwa low blocks
Tunashindwa kutumia deadball kupata magoli kwa timu kama hizi unapaswa kupata magoli kwa njia nyingi.
Huwa najiuliza hivi Man united siku hizi hawafanyii mazoezi kona na indirect free kicks maana wanavyozicheza ni kama wachezaji wa dondo.
Kuhusu tactics mwalimu anajitahidi ila quality ya wachezaji kwenye maeneo mengi inamwangusha.
Kwenye mechi tunazopaswa kushambulia sioni sababu ya kumchezesha Wan Bissaka badala ya Dalot ambaye anauwezo mzuri wa kushambulia na kutengeneza nafasi.
Pendekezo Maguire aache kwenda kucheza kona hakuna anachokifanya zaidi ya kuwapoteza wenzake tu na kuharibu shambulizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo shida ya kuwa na kocha mchanga.Ndio anapaswa kutumia experience ya mazoezini na kwenye mechi ili afanye maamuzi sahihi
Anachofanya ni insanity, jambo hilo analirudia kwa kutegemea matokeo tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire mwili wake una uzito wa 100kg. Ndio beki mzito epl, Akiruka mwili wake unasomba watu, hata kwenye kujeuka haraka anashindwa kwa uzito wa mwili wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu, Hivi kuzifunga timu Kama crystal palace, Huddersfield, Cardif, Southampton, Newcastle,na hawa Watford. Inahitaji usajiri mpya??Ogs ameshindwa kutupa matokeo mazuri kwa kikosi hiki alichonacho.
ogs hawezi kufukuzwa kazi kwa sababu bado ana tiketi muhimu ya kombe la europa.
ogs hawezi kubeba ubingwa wa europe kwa kikosi hiki alichonacho, kuna sevilla, benfica, inter milan n.k
kwa mwendo huu ogs hawezi kupata nafasi ya nne kwa kikosi hiki alichonacho, baada ya kuwafunga man city tulitegemea ule ugonjwa wa kupoteza point dhidi ya timu ndogo utaondoka kwa sababu ya hamasa na ari iliojengeka ndani ya taasisi yetu baada ya ushindi.
ili ogs apate nafasi ya nne na europe ni lazima asajili wachezaji wawili hadi watatu.
ili kibarua cha Ogs kiendelee kuwepo ni lazima atupe ubingwa wa europe au nafasi ya nne.
dirisha la usajili linakaribia, kazi kwake bwana olee.
juzi amesema kurudi kwa pogba, tuanzebe, matic kutaongeza ubora wa kikosi, akimaanisha hakuna ulazima wa kwenda sokoni
david moyes alifukuzwa kazi baada ya timu kujihakikishia kukosa tiketi ya kucheza UEFA
Na ndio maana huyo kashida 8