OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hii kibokoBefore you laugh at children who believe in Santa Claus, remember, there are people who still believe in Ole.
Sent using Jamii Forums mobile app


Wasi wasi wangu Halland asije kupewa pressure na media pamoja na mzigo mkubwa atakaobebeshwa.
Bado naamini kama tulimkosa Lewandoski basi huyu dogo akijua United ni Lewandoski nwingine.
Ukiwa atasajiliwa kisha akachezeshwa pamoja na Greenwood na Namba kumi mzuri huenda tukawa na Front three kali sana baada ya kina Rooney, Ronaldo na Tevez au ya kina Rooney, Van Persie na Luis Nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha mwenye akili angefanya mabadiliko baada ya kutoka mapumziko,ila huyu mbahatishaji anaona timu iko poa tu
Bi gea habi...


Sasa imebaki storeeeee storeeeee storeeeee.... by HemedyFor the Record, tuna 20 EPL. Pole yako wewe uliyetomb*a na sisi kwa miaka yote hiyo 20.
Sent using Jamii Forums mobile app