Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimefuatilia mechi ,zote 18 tulizocheza nashawishika kusema safu yetu ya ulinzi bado ina mapungufu.

Naangalia naona mechi mbili tu hatujaruhusu goli mechi na chelsea pamoja na Everton.

Mwanzo wa msimu niliassess timu nikaona kwa defence yetu ungeweza kupata goalless draw nyingi lakini haijawa hivi tumekuwa tukifungwa easy goal sana why ?

Defence yetu inamapungufu ambayo hatuyaoni, defence yetu ikishambuliwa inayield kirahisi sana na magoli yote tunafungwa kupitia katikati.
Since the start of last season, no player has made more errors leading to goals in the Premier League than David de Gea (6).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna haja ya kumpuzisha De Gea akacheza Romeo hata walau mechi mbili tukaona nae yukoje.?

Kwenye EUROPA League Romero ana 100% cleansheet why not start him in the epl too ?

Mechi 18 cleanshit 2 tu it is not right huyu jamaa possibly naye kashaanza kufuja.
Kuna kipindi OGS anaongea kama kusajili January sio lazima

Nadhani vipigo kama hivi vinaweza kumuamsha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mlevi anaendelea kusema,

The Italian said that unlike the likes of Liverpool and Man City – who are the absolute embodiment of their managers Jurgen Klopp and Pep Guardiola respectively – United lack an identity and don’t know how they want to play their football, highlighting United’s inability to get the best out of his client, Paul Pogba.
mlevi anaendelea kunywa

Is there a better midfielder (than Pogba) in the world? No!” he added. “If you come to that conclusion then the other conclusion is – now if you sell Paul Pogba would you buy a better one? No! Where is he? But if you create your identity then maybe you discover that Paul is ideal. If you, say, want to play with two holding midfielders then where does Paul play? In several positions.
Kuja kutahamaki kumbe ww ndiye mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom