Si tunaambiwa OGS ana DNA ya United na ndio anaifundisha now
Licha ya wengi kumchukia huwa nampenda sana Raiola kwenye kutafuta pesa na huwa anaongea facts na anajua kutafuta wachezaji wazuri kuwa client wake
teh teh tulia bwana belo
hii serikali ya awamu ya nne inayoongozwa na mtakatifu OGS inachukiwa na itaendelea kuchukiwa na mawakala uchwara pamoja na wapambe wao walioozoea kuishi kama malaika hapo mwanzoni...
hawa mawakala walikula sana tunu za taifa (miaka 6 iliopita) hivyo basi kitendo cha kuingia madarakani OGS kimepelekea mianya yote ya kula hela chafu kuzibwa na kwa sasa gharama za kuendeshea klabu zimepungua sanaaa kufuatia kuondolewa kwa watumishi hewa kama lukaku, herrera, fellaini, sanchezi piano.
hebu tufikirieni jamani hawa mawakala uchwara
wametuibia kwenye usajili wa fred
wametuibia kwenye usajili wa lukaku
wametuibia kwenye usajili wa mkhitaryan
wametuibia kwenye usajili wa matic
wametuibia kwenye usajili wa depay
wametuibia kwenye usajili wa dimaria
japokuwa watumishi wakuu ndio wale wale lakini:
now Mungu ametuletea OGS, mwanadamu anayeongoza kampeni ya kuwabatiza mawakala kwa moto wa gesi, miaka hii miwili jamani tukazeni kamba na kama itawezekana tulale na njaa bila ya hata kunywa maji kwa sababu tunapambana na mabeberu wachimvi lakini msimu ujao rasmi tutashuhudia manchester united tulioizoea.
haaland usajili wake kwishney kwa sababu tunaye bwana mdogo kutoka academy ana mbio kuliko rooney
bruno fernandez kwishney kwa sababu tunaye garner anapiga rula kuliko zeru zeru kichaa wa man city
99.999% fulli DNA ya manchester united ipo njiani inakujaaaa....
kazeni kamba za kiunoo
ndege ya mafanikio inakujaa