mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Unaposema Ed ndio aliowajri Lvg n Mou unakosea, kuhusu kuwajiri Lvg na Mou ni bodi nzima ndio inapendekeza Manager awe nani, Ed ni Makamu Mwenyekiti kwa cheo chake inamlazimu kutangaza maamuzi ya bodiEd Woodward ndio aliwaajiri kina LVG na Mourinho ambao wewe unasema hawana DNA ya kuifundisha United
Other big clubs in Europe Director of Football(Technical People,I OGS angefaa sana kuwa DOF badala ya Manager) wa United ndio wanahusika na kuajiri makocha na ku-approve usajili wa wachezaji
Ndio maana hata wakibadilisha makocha wachezaji wengi wanaendelea kuwa productive kwa makocha wapya
Ed ni kama Senzo wa Simba, bodi maamuzi wanayofanya na yeye akiwemo, anayatangaza maamuzi kwa press
Sent using Jamii Forums mobile app

