Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nawatetea makocha wangu hio mizigo mingi imeletwa na Ed.
Ed ni moja ya tatizo ila Lvg na Mou matatizo yao yalikua makubwa

Ugomvi wa Ed na Mou kwenye usajiri, Ed anamshutumu Mou sio mtu sahih kukabidhiwa fungu la usajiri, anasajir wachezaj aged na sio aina ya ManUtd, pia hao hao anashindwa watumia, refer bailly, micktaryan, sanchez, fred, lukaku bolingo
Mou alitaka kumleta Perusic mwenye 29 old kwa pesa nying, Ed alimgomea

Mou katuaribia hadi ratio ya mishahara pale OT, wachezaj aliokua anawaleta anawapa mikataba minono mpaka inaleta mtafaruku dressing room, kila mchezaj kwenye renew contract anataka mzigo kama wa fulani
Namuona OGS akirudisha falsafa za pale Carington, refer alivyozuia usajir wa Diabala, refer new signing alizo fanya this season, Maguire ana miezi minne tu teyar is our captain, leader, play for the badge

OGS is a Alex Furgusons type, usishangae june kirusi pogba kuingizwa sokoni, anamlea now bcoz hana many options pale kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou hajamsajili fred wala Sanchez mbona hilo ameshalisema siku nyingi, na perisic ni winger alikuwa anahitajika, unamruhusu kocha asajili striker wa kusimama mbele (lukaku) ila unamkatalia asilete winger wa kumlisha unategemea nini?

Na mou alithibitisha kuwa yeye ni mtu sahihi point 81 amefikisha ambazo ni record toka fergie aondoke sawa na point ambazo miaka mingine mtu anachukua ubingwa japo wachezaji wake wengine hakupewa.

Maamuzi mengi aliyotaka kufanya mou tunakuja kuyafanya baadae kwa cost kubwa zaidi.
 
Unasema reject wakati wewe upo ueropa!! Ajax utatoboa kweli..!!

Naona ukipambana sana msimu ushiriki tena Europa..

Kila la kheri Chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu iliyopo Europa haina ubavu wa kuhijitumua kwa mwingine,

Setting tu ndio muhimu. Mechi ya juzi 4-0 wale wadutch walikuwa wabishi sana.

Setting tu ndio iliwaumiza. Hata man akijiseti vby atapigwa na yyt,akijiseti vzr atashinda tu. Uzur wa man utd wana experience ya mashindano makubwa. Sio kama wengin wana inexperienced players all over
 
Mou hajamsajili fred wala Sanchez mbona hilo ameshalisema siku nyingi, na perisic ni winger alikuwa anahitajika, unamruhusu kocha asajili striker wa kusimama mbele (lukaku) ila unamkatalia asilete winger wa kumlisha unategemea nini?

Na mou alithibitisha kuwa yeye ni mtu sahihi point 81 amefikisha ambazo ni record toka fergie aondoke sawa na point ambazo miaka mingine mtu anachukua ubingwa japo wachezaji wake wengine hakupewa.

Maamuzi mengi aliyotaka kufanya mou tunakuja kuyafanya baadae kwa cost kubwa zaidi.
Tusimtupie tu Lawama Ed Woodward..Makocha nao wanachemsha..

Yaani Sanchez asajiliwe bila kocha kumtaka how??..na alivyokuja tu Martial kapelekwa Right flank ili kum-accomodate Sanchez..unasemaje sasa kuwa Mourinho hakumuhitaji??

Lazima tukubali kuwa makocha nao wanaplay part na sio kila kitu Ed Woordward

Ole amemsajili James unaona kweli huyu dogo ni mpambanaji na anacontribute vizuri kila mechi..Maguire amekuwa hadi Captain..Bissaka naye so far so good..sasa kwenye hii transfer window mbona Ed halalamikiwi??
 
Duuuh kama sanchez na fred hawakusajiriwa na Mou,

1. Nani kawasajiri?

2. Nani aliyependekeza usajir wao?

Kuhusu perisic ni umri mkubwa, unatoa zaidi ya 40pounds kwa 29 years old, endapo ungekua wew n Ed ungekubali kuidhinisha malipo?

Sera ya Utd ni kuwatumia vijana wa academy na endapo kusajiri basi ni vijana wa umri mdogo ili wadumu na club kwa muda mrefu, hii ndio falsafa ya Utd tangu enzi na enzi na OGS ndio anaifata kwasasa

Huyu Mkwawa anaitaji maombi, eti sanchez na fred hawakuletwa na Mou

Mou katibua hadi ratio za mishahara, leo kila mtu pale dressing room anataka kulipwa sawa na sanchez
OGS ndio maana kamtoa kwa mkopo ili kuleta umoja dressing room

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then Van Gaal was right kwa sababu katika wachezaji wote LVG alisajili hakuna mchezaji aliyekuwa above 25 except Bastian na Falcao tu.
Duuuh kama sanchez na fred hawakusajiriwa na Mou,

1. Nani kawasajiri?

2. Nani aliyependekeza usajir wao?

Kuhusu perisic ni umri mkubwa, unatoa zaidi ya 40pounds kwa 29 years old, endapo ungekua wew n Ed ungekubali kuidhinisha malipo?

Sera ya Utd ni kuwatumia vijana wa academy na endapo kusajiri basi ni vijana wa umri mdogo ili wadumu na club kwa muda mrefu, hii ndio falsafa ya Utd tangu enzi na enzi na OGS ndio anaifata kwasasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole anaweza kuwa sio bingwa kwenye tactics and techniques lakini kwenye swala la usajili na kuleta utulivu kwenye timu amefanikiwa..
Huyu Mkwawa anaitaji maombi, eti sanchez na fred hawakuletwa na Mou

Mou katibua hadi ratio za mishahara, leo kila mtu pale dressing room anataka kulipwa sawa na sanchez
OGS ndio maana kamtoa kwa mkopo ili kuleta umoja dressing room

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20191214-140705.png
 
Do you know Cantona,Blanc,Van Der Sar,Larsson,Sheringham ,RVP Ferguson aliwasajili wakiwa na umri gani ?
 
Ukiangalia big games zote Ole alifanikiwa tactically.

Kwenye game ndogo pia anacontrol the game lakini timu yake inakosa creative players kuunlock timu zinazodefend with low blocks.

Kila manager ana strength na weakness zake Klopp mwenyewe hashambulii kupitia katikati hivyo ukimkamata pembeni the game is over.

Pep anateswa na timu zinazoshambulia kwa Counter attack na zinazoshambulia from the wings.

Mourinho anatumia zonal marking lakini anateswa na timu zinazofanya spreading attack kama wanavyocheza bayern, Man city na chelsea.

Mimi bado naendelea kumpa 60% kwenye tactics and techniques hasa ukizingatia alikuwa hit na injuries nyingi from the start, imagine Guardiola amepata injury moja tu kastruggle kwanini tusiendelee kumpa benefit of doubt ?
Ole anaweza kuwa sio bingwa kwenye tactics and techniques lakini kwenye swala la usajili na kuleta utulivu kwenye timu amefanikiwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mkwawa anaitaji maombi, eti sanchez na fred hawakuletwa na Mou

Mou katibua hadi ratio za mishahara, leo kila mtu pale dressing room anataka kulipwa sawa na sanchez
OGS ndio maana kamtoa kwa mkopo ili kuleta umoja dressing room

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaye-negotiate na ku-approve mikataba ya wachezaji ni Woodward sio kocha na aliona cheap option kwa sababu hakutoa fedha kumsajili Sanchez (it was swap deal with Mikhy) na Sanchez alikuwa mchezaji anayeuza jezi
 
Back
Top Bottom