Jumapili Everton alale kieleweke
Mkuu ManUtd ya sasa ipo ktk mikono salama, itasajiri hata mchezaj wa 100pounds ila typical utd player, sio kina Mou na Lvg walituletea mizigo inayofikiria hela kuliko kuvuja jasho
Liverpool wanaanza kumnyatia Takumi Minamino January, wakati huo United haina playmaker wa kueleweka na imetulia tu.
Huyu Greenwood tumpe muda tu, huyu ni aina ya straiker za kisasa weka mbali na watoto, anafunga akiwa angle yeyote, RvP type
Hii timu yetu, ikipata wachezaji wanne wapya, moto utawaka
In OGS we trust
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vimebaki vipimo tu
Liverpool wanaanza kumnyatia Takumi Minamino January, wakati huo United haina playmaker wa kueleweka na imetulia tu.
Ajax ni balaa mkuu. Europa hamtoboi quata faino.Umesahau Kama Huyo Ajax nilimchabanga Fainal ya Europa, magoal murua ya Mick na Paul Pogba.
GGMU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raundi ya pili nakupiga vibaya sana.Tangu Chelsea ikumbane na vipigo vya United akili zako bado hazijakaa sawa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema reject wakati wewe upo ueropa!! Ajax utatoboa kweli..!!Kama kimeweza kupata matokeo kwa timu zote kubwa za EPL tutashinda hao reject wa UCL ?
Sent using Jamii Forums mobile app

Liverpool wanaanza kumnyatia Takumi Minamino January, wakati huo United haina playmaker wa kueleweka na imetulia tu.