Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Mechi na Man city Rashford angekuwa makini angefunga hat trick.
Hope mechi zijazo utafunga hat trick hasa Pogba akirudi na kucheza namba kumi maana ni mtengenezaji mzuri wa nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hope mechi zijazo utafunga hat trick hasa Pogba akirudi na kucheza namba kumi maana ni mtengenezaji mzuri wa nafasi
robin van persie ndiye mchezaji wa mwisho wa man utd kufunga hatrick na ilikuwa dhidi ya aston villa takribani miaka saba iliopita.
Sent using Jamii Forums mobile app