Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inabidi tushinde mechi za kawaida hizi comfortably..atleast ndo atawin trust yangu
 
Klopp,Jose & Pep they are class above OGS they have won almost everything in different top Europe league.Pep alifanya mistake kubwa kutosajili CB baada ya kumkosa Maguire its better City kucheza pungufu kuliko kumchezesha Fernandinho as CB badala ya DM yule jamaa ndio alikuwa ana-balance timu,DM is most important players to the team (Kante,Casemiro,Busquets,Brozovic,Ndidi,Fernandinho) hawa wakikosekana kwenye timu ndio utaona pengo leo

Klopp alivyokuwa anacheza Dortmund na anavyocheza Liverpool kuna mabadiliko makubwa sana kule alikuwa na pure no 9 Lewandowski huku Firmino ni false 9
 
Do you know Cantona,Blanc,Van Der Sar,Larsson,Sheringham ,RVP Ferguson aliwasajili wakiwa na umri gani ?
Hao aliwasajiri for short term archiements, eg Rvp alikuja kutupa ubingwa, Larson alipewa nusu msimu kupisha striker wetu walikua majeruhi, all in all sera ya ferguson ilikua kukuza academy + kusajir wachezaj umri mdogo, eg rooney, cr7, ferdinand, de gea etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ed now amenywea kidogo lakini mission yake siku zote ilikuwa ni kuifanya man U iwe kama galactico madrid ndio maana akiona mchezaji yoyote mwenye jina alikuwa anamsajili kwa price yoyote.

Mou alimtaka perisic badala ya sanchez hio sio siri na target zake nyingi zilikataliwa ikiwemo usajili wa maguire.
Hii ni report tu


Na kwa mdomo wake mwenyewe Ed alikiri hilo hivyo sio tetesi tu.

Ili mchezaji asajiliwe man utd lazima kuna step apitie ikiwemo mascout, recruitment team, team ya Ed na kocha mwenyewe, hao mabwana wakubwa wengine wakikataa ujue kocha hampati huyo mchezaji.

Ole kidogo amepata bahati maana Awb kama tetesi ni za kweli hajapigiwa kura amepita moja kwa moja.

Kuna Article moja ya kulipia nitaiquote hapa inaelezea vizuri mambo ya usajili yanavyofanyika Man U.

 
Na mishahara mlaumu hiki kichwa matt judge yeye ndio negotiation zote za mambo ya hela anafanya.

 
Kwa hio mkuu unaona ni sawa timu kubwa kama Man U kukaa miaka 7 bila winga asilia ni sahihi? Lvg kamtaka Robben katolewa Nje, Mou perisic hakumpata na hata ole hakuna uhakika kama atapewa Target yake ya kulia.

Na for the sake of discussion tufanye perisic ni mkubwa je huyo sanchez aliesajiliwa badala yake ni mtoto?

Kubali kataa Ed hajamtaka perisic kwasababu ya Business reasons, perisic hana mvuto wa kibiashara na kuuza jezi kama sanchez. Ndio maana hata ukifuatilia speech ya Ed badala ya usajili aliongelea tu jinsi walivyovunja record za fb na tweeter za likes na retweets,

Na unatumia vijana wa academy wakiwepo, unaweza kuniambia kwa lvg ama mou kulikuwa na mtoto gani wa academy winga wa kulia ambae alikuwa akipokezana na mata? Lvg aliwapa sana nafasi watoto ila hio winga hata yeye ilimsumbua ndio maana akawa anamchezesha no 10 wing ya kulia.
 
Do you know Cantona,Blanc,Van Der Sar,Larsson,Sheringham ,RVP Ferguson aliwasajili wakiwa na umri gani ?
Ferg hakuwa anajaza wazee kwa pamoja na kuwafanya tegemeo Bali alikuwa akiongeza mtu mzima ambaye ni exception na asiye na cost kubwa. Mou yeye Mara nyingi hajali mambo ya muda mrefu huwa anajiangalia yeye tu na si vinginevyo. Mou kwa dirisha moja la usajili alitaka awe na Sanchez, perisic,matic na zlatani kama asingesumbuliwa na majeruhi
 
Ferg hakuwa anajaza wazee kwa pamoja na kuwafanya tegemeo Bali alikuwa akiongeza mtu mzima ambaye ni exception na asiye na cost kubwa. Mou yeye Mara nyingi hajali mambo ya muda mrefu huwa anajiangalia yeye tu na si vinginevyo
FYI-Sanchez ni mchezaji aliyesajiliwa na Woodward wachezaji wengi aliowasajili Mourinho United walikuwa below 25 years , Dalot(19),Baily(22) ,Pogba (23),Lindelof(23),(Lukaku(24) ,Fred(25),Mikhy (27),Sanchez (29),Matic (29) ,Zlatan (35)
Wazee gani ambao Mourinho aliwasajili United na kuwafanya tegemeo?
 
Unaposema Sanchez kasajiriwa na Ed uwa una maana gan mkuu?
Si Mou alipendekeza ndio maana Ed akamsajiri.
Au una maana Utd uwa inasajiri mchezaji bila pendekezo la Manager kama zilivyo Simba na Yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu unauliza wachezaj gan wazee Mou aliwasajir akawafanya tegemeo! Wakat kwenye iyo list yako umewaweka Zlatan, Sanchez, Matic, hawa si kipind cha Mou walikua panga pangua 1st eleven mkuu
 
Hata kwenye tactics ole yupo vizuri, tactic zake vs makocha wakubwa kama klop, mou na pep zimeonesha kwamba anajua anachofanya,

Tuna tatizo la uzoefu tu sasa hivi tunafungwa magoli ambayo kikawaida hata timu ndogo hawawezi kufungwa.
Hapa kwenye swala la OGS tumpe muda manager wetu no matter tutamaliza nafasi ya ngap!
In OGS we trust
GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lvg alimsajiri Depay kwa pesa kubwa kuwa winger no7, what happen?
Lvg alipewa support kubwa sana na Ed pengine kuliko makocha wote waliofuata ila alituletea wachezaj ambao is not Utd DNA refers to DI Maria, Depay, Falcao, Blind, nachoweza msifu Lvg watoto aliowapandisha from academy like Rashford
Mou ndio sitaki kumsikia kabsa, ndio alikuja kituvuruga na makisirani yake ya kununiana na key players, na hata pale Spurs ataondoka kwa aibu, lets wait n see

In OGS we trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema Sanchez kasajiriwa na Ed uwa una maana gan mkuu?
Si Mou alipendekeza ndio maana Ed akamsajiri.
Au una maana Utd uwa inasajiri mchezaji bila pendekezo la Manager kama zilivyo Simba na Yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mou alimpendekeza Perisic wakati wa summer Ed akamgomea ,msimu ukaanza Mikhytaryan akaflop Jose was desperate kumuondoa ilivyofika January Sanchez akagoma kuongeza mkataba Arsenal Ed aka-propose swap deal (Mikhy & Sanchez)
The deal was good for business(Ed) because he didnt pay anything and Sanchez alikuwa anauza jezi sana na baada ya Sanchez kusajiliwa.Mwaka huu Ed alikiri kwamba alifanya mistake kwenye usajili wa Sanchez
 
Unaposema Sanchez kasajiriwa na Ed uwa una maana gan mkuu?
Si Mou alipendekeza ndio maana Ed akamsajiri.
Au una maana Utd uwa inasajiri mchezaji bila pendekezo la Manager kama zilivyo Simba na Yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mou alimpendekeza Perisic wakati wa summer Ed akamgomea ,msimu ukaanza Mikhytaryan akaflop Jose was desperate kumuondoa ilivyofika January Sanchez akagoma kuongeza mkataba Arsenal Ed aka-propose swap deal (Mikhy & Sanchez)
The deal was good for business(Ed) because he didnt pay anything and Sanchez alikuwa anauza jezi sana na baada ya Sanchez kusajiliwa
Haya ndio aliongea Woodward first quarter baada ya Sanchez kusajiliwa
View attachment 1102930
mozila firefox
 
Ed Woodward ndio aliwaajiri kina LVG na Mourinho ambao wewe unasema hawana DNA ya kuifundisha United
Other big clubs in Europe Director of Football(Technical People,I OGS angefaa sana kuwa DOF badala ya Manager) wa United ndio wanahusika na kuajiri makocha na ku-approve usajili wa wachezaji
Ndio maana hata wakibadilisha makocha wachezaji wengi wanaendelea kuwa productive kwa makocha wapya
 
Na wewe depay unamuonaje? Mauzo meeengi alishika nafasi ya tatu kwenye kuuza jezi nyuma ya Messi na Ronaldo alimpita hadi neymar, watu kama Hao ukimtajia tu Ed ujue wanakuja, ndio watu anaowapenda.

Na depay anacheza kushoto sawa na martial, Rashord, sanchez, young, di maria etc hatukuwa na uhaba wa mtu wa kushoto, siku zote upande ule wa kulia wa Mata ndio wenye tatizo toka Valencia na Nani mmoja awe beki na mwengine aondoke mpaka leo hakujazibwa.

Na Blind pekee kwenye hio list ndio alikuwa mchezaji wa LVG kina Falcao, Di maria na masuper star wengine alisukumiziwa tu. Na Martial alifit pia requirement za LVG pamoja na Bastian.

Lvg siku zote anafanya kazi na Ma dof wazuri wonders zake Ajax, barcelona na hata Bayern tunazijua, angalia World cup beki martins Indi ila akafanya vizuri sana mpaka alivyomaliza sub ikawa ndio mwisho wake.
 
Huu mjadala naumaliza hapa mkuu, kama Ed anaweza sajiri mchezaji bila ya pendekezo la Manager basi ManUtd kuna tatizo kubwa sana, japo sihamini kama Ed ana uwezo wa kusajiri mchezaji bila pendekezo la Manager
Kwa mtazamo wako its means David Gill alikuwa ana uwezo wa kusajiri mchezaji bila ya pendekezo la Sir Alex

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…