Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Upo sahihi kabisa Mkuu
Kutokufunga mechi moja hakuwezi kumfanya aonekane mbovu.
Haaland ni complete player tena goal poacher mzuri sana.
Yawezekana jana hakufanya kitu kutokana na ubora wa Liverpool ya jana.
Liverpool walimzuia Messi asifunge hapo Anfield na hakufurukuta je nae ni mbovu ?
