Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yupo sema majeraha yamemwandama. After all kama kina Fred na McTominay wakiwa fit hana matumizi,.

Dirisha dogo Man united waachie pesa wamsajili Donny Van de Beek ni versatile aje acheze namba 10 kama kirusi ataondoka this january.
Kirusi kuondoka ngumu, Utd inam'value pound mil 100 - 120 na tuna mkataba nae,
Hakuna timu inayofika ilo dau, jambo la muhimu n kusajir attacking midfilder mkal mnyumbulifu ili agombee namba na kirusi
 
Kirusi kuondoka ngumu, Utd inam'value pound mil 100 - 120 na tuna mkataba nae,
Hakuna timu inayofika ilo dau, la muhimu n kusajir attacking midfilder mkal mnyumbulifu ili agombee namba na kirusi
Kwenye hiyo blue sikujua Kama timu kama PSG, Real Madrid na Barcelona hawawezi kufikia dau la kirusi.
 
Kwenye hiyo blue sikujua Kama timu kama PSG, Real Madrid na Barcelona hawawezi kufikia dau la kirusi.
I mean hana thamani iyo ndio maana hakuna timu iliyoleta offer, kiufupi pale OT we lack of quality midfilder ndio maana tunamkuza sana kirusi na yeye kashafaham ilo anaturingia hatuna cha kumfanya, ebu aende bernabeu au catalunya kama ataleta ufala wake wa kupaka marangi nywele

Ndio maama napendekeza OGS alete attacking milfilder kali ili agombee namba na kirusi, hapo ndio tutamuweza
 
According to Young, huwa anakuwa mwekundu wakiwa vyumba vya kubadilishia nguo
Ole hana tabia ya kukandia au kutumia lugha yenye ambiguity kwa wachezaji wake, napenda anavyo wakumbatia wachezaji wake kila baada ya game.

Angalia anavyomzungumzia pogba..inawezekana akamuuza bila hata kumtupia neno ovu. Hakumpenda fellain na Sanchez na lukalu sio kwa sabb hawajui,lkn kwa sabb ya ufaza, kama mafaza vile. Ole hamfanyii mtu kazi, anafanya kile anachikiamini

Ni muongeaji sio mlalamikaji. Ole hana stress hicho kinamfanya asipanic hovyo. Kingine ole hana komedy hata kidogo. Utani ule wa kawaidaaa sana. Ni kama Ferguson.
By so doing hata wachezaji wake hawana na hataki upuuz wa mazoea mabaya, pogba anapenda upuuuzi, anachezacheza lkn angekuwa na sura ya ole angekuwa mtu bora duniani
 
#mufc have decided they won't be going for Mario Mandzukic due to his lack of match sharpness. With Mandzukic no longer a target, United appear to be focusing their efforts on securing the signature of Erling Haaland.

Nani anaemjua huyu Erling Haaland??
 
Nimemcheki hapa kwenye gemu yao dhidi ya Liver..hajafanya kitu chochote exceptional cha mtu kushtuka..anafunga magoli ndio,,lakini ndo level tunazohitaji??

Na naskia Scout team ya United imeenda tena uwanjani kumcheki

Anyway tunaweza kugamble tu
 
Tatizo la Watu wanaangalia ufungaji wa Ligi za mchangani ikisha wanaufananisha na EPL
 
Utakuwa umetoka jela jana bila shaka
#mufc have decided they won't be going for Mario Mandzukic due to his lack of match sharpness. With Mandzukic no longer a target, United appear to be focusing their efforts on securing the signature of Erling Haaland.

Nani anaemjua huyu Erling Haaland??
 
Kutokufunga mechi moja hakuwezi kumfanya aonekane mbovu.

Haaland ni complete player tena goal poacher mzuri sana.

Yawezekana jana hakufanya kitu kutokana na ubora wa Liverpool ya jana.

Liverpool walimzuia Messi asifunge hapo Anfield na hakufurukuta je nae ni mbovu ?
Nimemcheki hapa kwenye gemu yao dhidi ya Liver..hajafanya kitu chochote exceptional cha mtu kushtuka..anafunga magoli ndio,,lakini ndo level tunazohitaji??

Na naskia Scout team ya United imeenda tena uwanjani kumcheki

Anyway tunaweza kugamble tu
 
Tumewaletea Ajax, Soulzbarg, Lile, Genk, Inter Milan, na wengine wa kushato ..iyo Europa hata robot fainali hamtoboi hakika..

Kila la kheri Chelsea
 
Phil Jones our center back.Namkubali Sana huyu jamaa
 
Attachments

  • FB_IMG_15760012933085267.jpg
    FB_IMG_15760012933085267.jpg
    37.4 KB · Views: 7
Amefunga game zote (isipokuwa jana) za UCL ikiwemo dhidi ya Liverpool inayocheza EPL "ligi ngumu"

Anaongoza ufungaji kwenye ligi yao na UCL

Mchezaji yoyote anaweza kuwa na bad game, hata CR7, hata Messi

Mimi sijabahatika kumuona mechi ya jana, lakini nadhani tusimuhukumu kwa kumwangalia kwenye mechi moja

CR7 alitokea Ureno, Benzema alitokea League One, Zlatan alitokea Sweden, Mbape yupo League One. Ninajaribu kusema tusimuhukumu kwa ligi anayo toka au kum judge kwa mechi chache tunazomuona

Namuona kama ni aina ya mchezaji ambaye kwenye game akipotea, anapotea kweli (technically sio mzuri sana) lakini kwenye kazi ya kufunga yupo vizuri

Back
Top Bottom