Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu leo baada ya kufungwa goli la Pili zimeibuka picha inaonesha Ed Woodward na Sir Alex wakiexchange words ila ni upande mmoja hv kama ed Woodward anamkaripia au kumuelekeza kwa hasira Ferguson..... Wazee wa kusaka taarifa wameanza kuwa ed pale alikuwa anamlaumu solskjaer kuwa anazingua na jana mienendo mzuri kama vipi afukuzwe wanasema elekea Ferguson akamtupia lawama Ed juu ya harakati za usajili kiujumla.....

Sasa Wakuu Issue hii haijakaa vizuri inaonekana Ed anaendelea kukosa imani na Solskjaer maana mwanzoni alikuwa anaenda nae sawa ila sahizi hali ni tofauti....ole ajiangalie sana maana jikoni sio moto unafuka mambo ya project yanaweza mtokea puani muda sio mrefu...
 
wakata Martial yupo timu yako ilipelekewa chuma moja first half wakati huo timu yako shot on target ni moja
No, kilichofanya tuwafunge goli tatu za haraka ni baada ya wo kutuacha tuuchezee mpira na ndipo tulipo peleka pressure kubwa.

Kumtoa martial kuliwapa nafasi Sheffield kutushambulia zaidi maana tulishapunguza idadi ya watu pale mbele na kuamua kuwaacha wao wacheze mpira na kutushambulia zaidi.
 
Acheni zenu nyie Lalana alivowasawazishia goli siku ile mbona mlishangilia kwani haikua draw? Au mkishangilia nyie ni sawa ila sisi sio sawa, kuna scenario za mechi zinakufanya ufurahie hata ile alama 1 uliyoipata than kupata nothing
Kama kuna Mshabiki wa Liverpool aliyetupatia draw kwa timu mbovu kama Manchester United huyo atakuwa na matatizo ya akili.
 
Nawakumbusha tu msimamo wa epl kwa udhamini wa timu yenye beki bora EPL

20 points behind the Liverpool for 13 matches
Screenshot_20191124-220739.jpeg
 
Liverpool tumeshinda mechi 12 za EPL mpaka sasa Michezo ambayo ni sawa na mechi walizoshinda MANCHESTER UNITED + ARSENAL + TOTTENHAM
Next ni Brighton Karibuni ANFIELD kwa burudani yeyote atakayobeba jipendekeza kwa Majogoo tutalqla nae mbele.
 
Back
Top Bottom