interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Kwamba ni fortress, hakuna yoyote anayetoka na ushindi. YEYOTE.kwamba Anfield kuna goli la opponent tu
Kamuulize Messikwamba Anfield kuna goli la opponent tu
Tena tumemfunga nyumbani kwakeKuna mtu anajiita Cash Money, shabiki wa Chelsea kule kalambwa pande za huku matokeo yanamuumiza
Nakumbuka nilisema kwa uchezaji wa Man U ni rahisi kuzifunga timu kubwa kuliko timu ndogo, akasema muifunge na Man City sasa
Sasa mwiteni na mmwambie tumefunga na hiyo Man City yake anayoigopa
Alafu atakuja hapa mtu aseme Ole hivi, mara Ole vile... huyu ndo kocha atakayeturudisha kwenye enzi zetu. Ole twende babaaaa. Sisi tunaelewa kazi yakoooo
Sasa mpira mzuri utakusaidia nini kwenye mechi kubwa kama ile unayohitaji kuondoka na points 3 muhimu. Mwisho wa dk 90 watu wanaangalia ubao unasomaje. Alaf mpira mzuri ndo huleta matokeo chanya, au tupe kwanza maana ya mpira mzuri tujue unamaanisha nini!!!Jamaa wananfurahisha sana wanavyoshangilia humu ndani
Wameshinda ndio ila wamecheza mpira mbovu mnoo
Shida mi napenda ukweli sana mkuu
Nawashukuru wametusaidia liva kuongeza gap
Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau
Wiki hii imekua raha sana kwetu Red Army! Wan-derwall Bissaka leo alimfanya Raheem kitu mbaya sana! Hadi jamaa akahama upande.
Ole hafiki Xmas, game za spur na city ambazo ndo zinafuata kupata point 2 itakuwa miujiza..... Sasa can u think of utd
16 epl games; less than 20 points
Hiki kikombe siamini kama kimetupita kwa kutwepa namna hiiJumatano mna Mourinho
Weekend mna Pep
Yajayo yanafurahisha
Game na Bonemouth, Aston villa na Shelfield tulizichezea tungekuwa tumeshamtoa chelsea hapo juu
Ngoja niachane na wewe mkuuSasa mpira mzuri utakusaidia nini kwenye mechi kubwa kama ile unayohitaji kuondoka na points 3 muhimu. Mwisho wa dk 90 watu wanaangalia ubao unasomaje. Alaf mpira mzuri ndo huleta matokeo chanya, au tupe kwanza maana ya mpira mzuri tujue unamaanisha nini!!!
Kusema ukweli ari ya upambanaji ipo juu mno kwa United kwa sasa....√Embu tuwe serious jamani,Fred ameimprove sana..na Workrate yake siyo mchezo..ukimweka na McSouce (The Mad Dog) basi ni burudani kabisa..kuna pasi kampa Rashford,ebhana eheee!! ilikuwa tamu sana
√AWB is a rock..najua wengi tupo concerned na mchango wake wakati wa kushambulia,lakini tukumbuke primary work ya defender ni kukaba na AWB anafanya hii kazi kwa level za juu sana..my MOTM IMO
√James,a kid from championship playing like a 27 mature guy..na niulize huyu dogo hachoki??..2nd half amerudi kumsaidia AWB na Sterling akamalizwa ujanja wake
√Rashford analeta matumaini
√ Kumuona Fergie akitabasamu ni kitu poa sana
√ Wale mashabiki uchwara wa city waliomrushia vitu Fred na kuonyesha ishara za kibaguzi inabidi wamenywe ipasavyo..washenzi kabisa..na tumewatia,shenzi zao
Next ni Everton,..wana interim coach wao kama chizi vile wakifunga..hopefully tutawabamiza pale OT
GGMU
SanteLeo man u mnakula gor 5 pale etihad
Polen sanaa
Ofa Ofa Ofa, Kipa no 1 wa Chelsea Kepa anatolewa bure kabisa bila pesa yoyote ya usajili
Kumbuka huo Ni ushindi wake wa kwanza baada ya kipigo Cha kukata na shoka pale O.TWahuni wa Mourinho hatupendi kujigamba kwa maonesho kama Man Utd, tayari Tottenham Hotspur kashamlamba mtu 5-0 huko
Kipigo cha penalty ya kujiangusha, hata ushindi dhidi ya man city unashida, sielewi VAR inakataa vipi penalty za wazi,Kumbuka huo Ni ushindi wake wa kwanza baada ya kipigo Cha kukata na shoka pale O.T
Kwahiyo mkuu, ulitegemea to dominate possession vs Man city ???Ngoja niachane na wewe mkuu
Ndo maana sijakujibu jna... Nmeimark hii reply yako