Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii team inafungwa magoli mepesi sana wachezaji awana nguvu ya ku pambana kabisa mechi nyepesi ila wachezaji poor itachukua ata miaka 10 kwa aina ya wachezaji awa kuirudisha Manchester United katika kuwa timu ya ushindani
Ila pia kina Maguire pale nyuma wanashindwa kusoma mchezo na kwenda nao fasta fasta.wamezubaa sana ..mfano Fred ni mtu na mwisho na ni mfupi,Dele mrefu..pale ingebidi mtu mmoja akave pale..na sio mara ya kwanza kufungwa goli la aina hii
 
6th...
Screenshot_20191205-002435_All%20Goals.jpeg
 
Tumeshinda kimasihara aisee

Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence

Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
 
Fred..Frediiii..Jamaa kanifurahisha sana,amewachakaza sana pale katikati

Rashford kashindwaje kupiga hatrick dakika za mwisho kwenye ile chance aliyoipata??

Bissaka inabidi apigwe ngumi ya kifua na aambiwe "changamka wewe!!"..maana kuna muda anakuwa too sloppy
 
Tumeshinda kimasihara aisee

Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence

Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
Shida ni kwamba, mechi ndogo ni nyingi, hii ndio sababu Chelsea. Hadi sasa yuko juu yetu kwa 6 points.
 
Tumeshinda kimasihara aisee

Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence

Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
Nahofia akirudi pogba nani atapisha hapo maana Scott na Fred wako poa sana aseee....labda asogee kama 10
 
Back
Top Bottom