Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza
Hatukupi
Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza
Martial amekuwa tena dhahabuKama Tominay yupo basi atleast tunaweza Fanya kitu.....ingawa kumkosa mvivu martial.....ni utata tu.
Hatukupi
Hahaha mashabiki wa Liverpool baada ya maumivu ya 20+ years naona hiki ndiyo kipindi mnafuraha kuliko wakati wowote
mtafute chief mkwawaMwenye link ya kustream mechi yetu wadau
Mfumo gani?
Ila hii timu imeisha kwakweli hasa ukiangalia wachezeaji walio bench..so sad kwakweli
Mfumo gani?
HahahahahahahaMwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza
Mbele anakaa greenwood au benteke?4 2 3 1
Unadhani nani wa kumreplace mkuu alivyoumia tulipata tabu sana kufunga alivyorudi alileta uhai kidogo.....japo kiujumla mi hovyo tu.Martial amekuwa tena dhahabu
Squad depth yetu kweli tiatia maji
Leo ushindi mwanana...Tominay karudi pale kati, na ule mzigo Martial hata benchi haupo, Mungu mkubwa.Naona sikihizi umeridhika na kiwango cha Martial.
Ila kumbuka Kuwa washabiki wenzako wa Man United wanashauti munapoongoza usiweke Msimamo (Table).
🙂🙂🙂🙂Leo ushindi mwanana...Tominay karudi pale kati, na ule mzigo Martial hata benchi haupo, Mungu mkubwa.