Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu haina no 10..

Kirusi akipona apangwe hapo..Mctominay na Fred combo ishakolea kiasi fulani..

Tatizo ni kwamba hatuna namba 10,,so kirusi apangwe hapo afanye madoido yake..
Hiyo itafaa maana Fred ukimuondolea Scott anateseka sana mfano mechi zilizopita.
Fred+ Scott + Pogba nadhani italeta kitu
 
Tumeshinda kimasihara aisee

Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence

Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
Chelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTO
 
Ni matokeo ya kukosa plan B kwenye game hasa kwenye timu zinazocheza kwa kujilinda sana.

Kama tungekuwa na creative midfielder kama namba 10, na target man huko mbele matokeo yetu yangekuwa tofauti against midtable teams.

Tunahitaji walau midfielder mmoja na striker wawil timu itakuwa balanced kidogo.
Chelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTO
 
Kwa sehemu kubwa mpira wetu tunacheza counter attacking, na timu inafanikiwa tu kwa counter attacking kwa timu inayokuja kwako kukushambulia, maana wanaacha nafasi kubwa kutoka kwenye 18 yenu kwenda golini kwa mpinzani

Timu ndogo huwa hazishambulii sana, na nyingi zinapocheza na timu kubwa (kama United) huwa zinacheza pia counter attack. Kiufupi hizi timu huwa zinatumia style ya low block. Style ya low block hairuhusu counter attack (Uwanja unakuwa mdogo kwa wanariadha kama akina DJ, Martial na Rashy)

Ili uweze kuvunja defense ya timu ndogo inayopaki (inayocheza low block) unapaswa kuwa na watu watundu kama akina Hazard, Silva, Messi n.k. Au uwe na wapiga pasi zenye macho kama De Bruyne, Scholes, Pirlo n.k. Na hawa watu kwa sasa hatuna.

Mata katika kiwango chake angeweza kutusaidia, Pogba katika ubora wake anaweza kufanya hiyo kazi. Lakini kwa sasa wote hawawezi, mmoja umri umemtupa mkono, mwingine hana consistence.

Chelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTO
 
Back
Top Bottom