Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii team inafungwa magoli mepesi sana wachezaji awana nguvu ya ku pambana kabisa mechi nyepesi ila wachezaji poor itachukua ata miaka 10 kwa aina ya wachezaji awa kuirudisha Manchester United katika kuwa timu ya ushindani
 
1 - 1 tunashindwaje tumia nafasi vizuri dele Alli ameingia kambani
Kwenye Xg msimamo upo hivi

eBQxXAy_d.jpg


Tunafungwa magoli ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom