Mapema kuliko tulivyotazamia? View attachment 1276150
Acha roho mbaya mkuu.Hivi tunasubiri nini kumtimua huyu jamaa![]()
Ole hakupanga kikosi ili tushinde, tumeshafuzu na sasa anawapa tu uzoefu watoto.Ole anafurahisha bana, kipindi cha kwanza yupo benchi amekodoa na kuvuta vuta goti, kipindi cha pili hivyo hivyo tumepigwa mpaks Dk ya 80 ndio anainuka na kuhamasisha wapress pumbavu, dakika zote alikuwa wapi?
Ole hakupanga kikosi ili tushinde, tumeshafuzu na sasa anawapa tu uzoefu watoto.
Na Europa ni Tofauti na Uefa haijalishi umemaliza wa kwanza au wa pili kuna washindi wa 3 wa makundi toka Uefa unaweza pangwa na yoyote.
Ole Sabaya OUTKumbe asee! Ila naongelea mechi nyingi bana hata Sheffield anatakiwa ainuke awakemee Rashford na Martial wakileta uboya.
Na huyu Commando Jones.Jinga sana hilo jamaaa.
Dah zamani sanaaaaaa.Kulingana na mechi za ligi zilivyopangwa ni matarajio yetu kufika Mwishoni mwa Septemba tutakuwa tunaongoza ligi.
Timu tunazoanza nazo August hadi Septemba ni ujiiiiiiii
hata mimi sielewi kwa nini wadau wengi wanamchukia tahith chong, kiupande wangu namuona kama ni future asset kwa timu yeyote itakayofanikiwa kupata huduma yake.Anahitaji kujengewa confidence tu na team work otherwise ni mchezaji mzuri
Mlioangalia mechi msiache kutupa Positivities kwenye mechi dhidi ya Astana
Gomez hata mimi ananifurahisha sana uchezaji wake muda wote anawaza kutengeneza tu nafasi, nadra sana kumkuta anacheza back pass, ila nafkiri bado kwa premier league, Ngoja apate uzoefu huku huku kwenye cup games. Amecheza mechi zote ambazo yupo fit.View attachment 1276671
- garner na levitt kama upo uwezekano wa kuingia kikosi cha kwanza basi wapewe nafasi na si vibaya kama atapumzishwa andreas perreira kwa kipindi hiki ambacho scott ni majeruhi kwa dhumuni la kupewa nafasi mmoja wao kati ya hao wawili acheze pamoja na fred. Kama haiwezekani basi wapelekwe kwa mkopo japo wa miezi mitano nchini spain wapate kuzidi kujifunza ufundi wa kumiliki mpira eneo la kiungo na si kuwabakisha uingereza sehemu ambayo hawatajifunza chochote cha maana zaidi ya kuwa midfield waliojaa woga nafsini mwao. kama waingereza wanataka kufanikiwa kisoka basi wawapeleke wachezaji wao vijana kwenye ligi ya spain, bundesliga na uholanzi wapate kujifunza soka la kisasa na si mpira huu wa kucover space. paul scholes ndiye kiungo pekee wa kiengereza aliyecheza soka la ushindani kwa muda mrefu ambaye hakuwa na uoga wa kumiliki mpira eneo lolote lile haijalishi amezungukwa na adui kila upande. sijamtaja jack wilshere kwa maana yangu....... hao kina super captain gerrard na super frank lampard walikuwa hawamuwezi yule mzungu kichaa japokuwa kuna baadhi ya maeneo walimzidi sana.
- wachezaji wenye sifa kama alizonazo gomes haipendezi kuwachezesha eneo la kiungo wa pembeni, sehemu pekee itakayomfanya afurahie soka lake ni namba 10 mwenye jukumu la kushambulia tu na si kuhangaika kukaba, kwa mara nyengine tena kama itatokezea scott akarudi dimbani basi namba 10 itakuwa ni kichekesho kuendelea kumtumia andreas perreira aliyekwishafeli, tuna machaguo mawili muhimu wenye uwezo wa kutupa huduma zaidi ya ile anayoitoa perreira na machaguo hayo ni juan mata na angel gomes...... ole apunguze mapenzi yaliojaa upofu ndani yake, sijawahi kumuona mchezaji aliyekuza kiwango chake akiwa benchi bali kiwango na uzoefu huongezeka pindi mchezaji anapopewa nafasi ya kucheza mara kwa mara
- achana na yule mlinzi wa kulia anayeitwa Laird, aliyenivutia zaidi ni bwana mdogo aliyejifunga goli, anaitwa bernard........ ni ngumu sana kuamini ila yule dogo anamzidi tuanzebe kiutulivu....... tuanzebe ana tabia za eric bailly
mwanzoni andreas perreira alikuwa vizuri sana kipindi kile anacheza academy ila sijui ukubwani amekutwa na balaa gani.Gomez hata mimi ananifurahisha sana uchezaji wake muda wote anawaza kutengeneza tu nafasi, nadra sana kumkuta anacheza back pass, ila nafkiri bado kwa premier league, Ngoja apate uzoefu huku huku kwenye cup games. Amecheza mechi zote ambazo yupo fit.
Na Perreira ametolewa mkopo miaka miwili spain ila hajajifunza hilo soka la kispaniola, kuna wengine mkuu viwango vyao vipo hivyo tu.
Hivi tunasubiri nini kumtimua huyu jamaa![]()
hata mimi sielewi kwa nini wadau wengi wanamchukia tahith chong, kiupande wangu namuona kama ni future asset kwa timu yeyote itakayofanikiwa kupata huduma yake.
viongozi wakuu wa klabu wanapaswa kumpa mkataba mpya wa muda mrefu na baadae wampeleke kwa mkopo ligi kuu ya ujerumani, nadhani ndio sehemu sahihi zaidi itakayomuwezesha tahith kujijenga zaidi kisoka la ushindani hususani kimwili na kimbinu.
wajerumani wapo vizuri sana kwa miaka hii ya karibuni linapokuja suala la kukuza vipaji vya wachezaji.
Kinachomfanya Ole asichukiwe na wachezaji ni upole wake na....sababu hizo hapo juu zote zinamuhusu unai emery ndio maana alifukuzwa licha ya kufanana kimatokeo na OGS
- wachezaji wetu bado hawajachoshwa na uwepo wa OGS,
- sababu kubwa inayopelekea kufukuzwa kwa makocha wengi barani ulaya ni baadhi ya wachezaji kumwekea mgomo baridi kocha mkuu
- uongozi wa juu kuchoshwa na mwalimu...................... barcelona kwa mwaka wa tatu huu wameshindwa kufuzu fainali ya champions league lakini bado wameendelea kumuamini ernasto valverde licha ya mashabiki kukosa imani naye
- matokeo mabovu yanayoendana na speed ya muda, kama unataka ole atimuliwe basi omba dua zaidi mwezi huu wa december apoteze mechi mfululizo............................................... mara nyingi sana mwezi huu ndio hukumu ya makocha inapotolewa
KDB>>Pogba,interms of akili ya mchezo,upambanaji
Hands down..