Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

What a shit perfomance??

Are we going foward,stacking,or we are moving backward??..hatueleweki kabisa

Hii timu imejaa ujinga ujinga mwingi sana..

Kwenda kucheza europa msimu ujao tutashindwa mchana kweupe kabisa..

Ole anaona wachezaji wanacheza ushubwada,kenyewe kamekunja nne kanasugua tu magoti..Fuc.k
 
Sisi kama mashabiki wa Man U kwa sauti ya pamoja tunasema tumeridhika sana na kiwango cha Martial tunaomba kocha aendelee kumuacha hapohapo tena ikiwezekana awekwe full time.

Pia kwa kauli ya pamoja tunasikitishwa sana na unyanyapaa anaofanyiwa martial na maforward wengine hawampi mpira kabisa hatujaona Rashford akitoa mpira kwa Mkuu wetu huyu

Hivyo basi Tunaomba uongozi wa Team uzingatie ombi hili ambalo tunaamini kabisa ni strategic objective ya Kocha wetu Ole Gunnar Solskjaer

Cc: Man U Fans
Friends of Man U

Aione: Mourinho Jozee
 
december huenda ikaondoka na kichwa cha mtu asipokuwa makini, lakini hata kama mtu huyo ataondoka sidhani kama kuna jipya atakalokuja nalo huyo mwengine............

pochettino anao uwezo wa kumfanya martial awe mchezaji bora?
allegri anao uwezo wa kumfanya fred awe kiungo bora?

hilo ndio tatizo letu linaloendelea kutukabili kwa takribani miaka 7
kila kocha atakayekuja ataanza upya.
lack of football heritage
Fred shida yake nini??..tunataka achezeje??
 
Mechi ambayo unatakiwa ushinde unazipoteza kizembe kabisa.
december huenda ikaondoka na kichwa cha mtu asipokuwa makini, lakini hata kama mtu huyo ataondoka sidhani kama kuna jipya atakalokuja nalo huyo mwengine............

pochettino anao uwezo wa kumfanya martial awe mchezaji bora?
allegri anao uwezo wa kumfanya fred awe kiungo bora?
zidane anao uwezo wa kumfanya lingard afanane na isco kiuwezo?
ancelotti anao uwezo wa kumfanya perreira awe na sifa kama za ricardo kaka?

hilo ndio tatizo letu linaloendelea kutukabili kwa takribani miaka 7, kila kocha anayeondoka anawacha errors zisiweza kufutika bila ya kufanya usajili
kila kocha atakayekuja ataanza upya.
director of football anahitajika

lack of football heritage
 
Back
Top Bottom