Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ilinishangaza sana, jana nilipoona kaanza Phil Jones nikasema lazima atoe assist ya kutuchomesha, kila akienda kukaba lazima adondoke au licheze faulo jinga sana lile jamaa.

Ole mwenyewe sijui alikuwa na plan ipi kuanza na three defenders wakati timu anayokutana ni underdog.
Ni kutokujiamini tu.
 
Defender gani anayejielewa anaweza kucheza namna hii?
tapatalk_1574662491949.jpeg
View attachment 1271888
tapatalk_1574662475194.jpeg
 
Pole mkuu, ila huoni kama VAR ipo kwa ajili ya Liverpool na Spurs

Goli la kwanza la Sheffield, japo Jones ana mchango wake, lakini yule forward wa Sheffield alimsukuma kiaina. That was a foul VAR were to be consulted. Goli la kusawizisha la Sheffield pia lina walakini.

mimi nimsamehe solskjaer? mtu aliefanya nipoteze mil 3 laki 779 kweli nimsamehe? nmeumia sana fvck him.....
 
Imagine leo mashabiki wa timu nyingine wanaamini Man Utd kaishapigwa halafu baadae wanaona hata draw inatosha

Nikumbushe tu, hawa Sheffield walimpiga Arsenane, wakampiga Spurs, wakapigwa na Liverpool goli moja ambapo na kipa alitoa zawadi
Maisha ni kama Gwalide ukiambiwa nyuma geuka wa Mwisho ana kuwa kwanza wa Kwanza anakuwa wa Mwisho...
.Imagine leo hii Manchester United Fans wana Celebrates a draw with Sheffield United.
 
Kuku ni Kuku, jogoo jina
Liverpool tumeshinda mechi 12 za EPL mpaka sasa Michezo ambayo ni sawa na mechi walizoshinda MANCHESTER UNITED + ARSENAL + TOTTENHAM
Next ni Brighton Karibuni ANFIELD kwa burudani yeyote atakayobeba jipendekeza kwa Majogoo tutalqla nae mbele.
 
VAR haichezi mpira uwanjani.

Kwani Phil Jones hakuwa na option yoyote ya kucheza ule mpira mpaka adondoke kwa simple push kama ile ?

Goli la Pili Maguire alizembea kuucheza ule mpira matukio kadhaa niliyoyafuatilia yanMaguire he is not good on one vs one situation.
Pole mkuu, ila huoni kama VAR ipo kwa ajili ya Liverpool na Spurs

Goli la kwanza la Sheffield, japo Jones ana mchango wake, lakini yule forward wa Sheffield alimsukuma kiaina. That was a foul VAR were to be consulted. Goli la kusawizisha la Sheffield pia lina walakini.
 
Hatupaswi kujilinganisha na Arsenal na Tottenham their dreams are different from ours.

They are London babies and we are Man United.

They are used to defeats from low profile teams.

Tunapaswa kupata ushindi kwenye hivi vitimu vidogo vidogo ili tunapokutana na title contenders tuwe na confidence na motivation to fight hata ikitokea you loose points hauachwi mbali sana.

The technical bench should know this unless they want to be sacked before chrismass.

I bet the next three games will kick them out from their job.
Imagine leo mashabiki wa timu nyingine wanaamini Man Utd kaishapigwa halafu baadae wanaona hata draw inatosha

Nikumbushe tu, hawa Sheffield walimpiga Arsenane, wakampiga Spurs, wakapigwa na Liverpool goli moja ambapo na kipa alitoa zawadi
 
Mkuu umesoma vizuri nilichoandika hapo? Nimesema Jones partly amesababisha tufungwe. Nifafanue, Kwanza amesababisha forward awe on side, wakati back line yake ilikuwa mbele kabisa, pili ame guard mpira kiboya, tatu alikuwa ana option ya kutoa mpira nje lakini akaamua ku guard

VAR sio mtu, inajulikana. Ni mfumo mzima. VAR ni kuanzia kuamua kurejea matukio (maana kwa utashi wa Refa na wale wa vyumbani wanaweza kuacha kurejea video), VAR ni video zenyewe, VAR ni Refa kuamua kutumia maamuzi ya kutoka vyumbani au la (rejea mechi ya Spurs na Watford, Goli la Dele Alli VAR ilisema No Goal, Refa akaamua kuwa goli. Zote hizo kwa ujumla wake tunaita VAR. Kwangu mimi VAR is Rubbish.

VAR ingekuwa genuine, wangeweza kuangalia mazingira ya Jones kuanguka, ni kweli Jones alilegea lakini alisukumwa kutoka nyuma na yule striker
VAR haichezi mpira uwanjani.

Kwani Phil Jones hakuwa na option yoyote ya kucheza ule mpira mpaka adondoke kwa simple push kama ile ?

Goli la Pili Maguire alizembea kuucheza ule mpira matukio kadhaa niliyoyafuatilia yanMaguire he is not good on one vs one situation.
 
Hatupaswi kujilinganisha na Arsenal na Tottenham their dreams are different from ours.

They are London babies and we are Man United.

They are used to defeats from low profile teams.

Tunapaswa kupata ushindi kwenye hivi vitimu vidogo vidogo ili tunapokutana na title contenders tuwe na confidence na motivation to fight hata ikitokea you loose points hauachwi mbali sana.

The technical bench should know this unless they want to be sacked before chrismass.

I bet the next three games will kick them out from their job.
Mkuu nilikuwa naimani na ole ila mwisho wake unakaribia
 
Jicho langu mechi ya jana

Team selection ya OGS especially kwa Phil Jones ilikuwa ya kiboya. Why not Axel, why Jones?

Kucheza na timu inayo defend sana, tena timu mbovu (underdog) kwa mfumo wa 3 - 4 - 3 ni uoga

Maguire na Lindelof kati bado hawajawa solid kama watu wengi tulivyotegemea wakati msimu ulipokuwa unaanza. Tukiimarisha kwa kusajili defensive midfielder na ukabaji ukawa huo huo, tutakuwa na haki zaidi ya kuwalaumu, kwa sasa tuwe wapole

Brandon Williams is a real deal, mwanzo ali panic kidogo kutokana na kelele za mashabiki wa the Blades, lakini baadae akatulia, naamini hata angecheza Shaw hali ingekuwa hiyo hiyo au mbaya zaidi. After all amefunga goli muhimu sana, goli la kwanza

Pengo la Tominay limeonekana, Pereira akiendelea hivi msimu huu utakuwa wa mwisho kwake, Martial kama kawaida yake, anacheza vizuri timu nzima inapocheza vizuri, timu ikiwa haina mpira muda mrefu anapotea. DJ ni Mr. Reliable kwetu, he is the signing of the season kwa EPL yote, Mason in two years atakuwa juu ya Rashy na Martial wakati kocha anapanga kikosi chake

Positives.

Tukiwa na midfielders wote ambao msimu ilipoanza hawakuwa first teamer, tumeweza kucheza vizuri especially second half.

Tukitajwa kuwa tuna forward mbovu kabisa katika timu za top six, tumeweza kuitoboa mara tatu timu inayotajwa kuwa haijawahi kufungwa goli zaidi ya 2 kwa muda mrefu sana (hakukuwa na goli la penati safari hii)

Come back spirit ni Positivity nyingine.
 
Mkuu nilikuwa naimani na ole ila mwisho wake unakaribia
unazi uliopitiliza ndio utakaomuangusha ole gunnar solskjaer hata kama atadumu klabuni kwa miaka mitatu kama ulivyo mkataba wake itamuwia vigumu kupata mafanikio

tabia za kisenge senge za kuwapa nafasi wasiojielewa amuachie mzee wenger wa miaka ya mwishoni.
 
Back
Top Bottom