OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hawa moja inawatoshaDah point 3 zimeota mbawa
Hawa moja inawatoshaDah point 3 zimeota mbawa
Hahaha uyu ni ARV jina lenyewe tu matatizokuna mtu anagundu jaman akiweka tu msima. tunapoteza.aisee jitahid uwe unaweka mpira ukiisha.




Muda mwingine Maguire anafanya vitu vya kijinga hadi unashindwa kuona tofauti yake dhidi ya SmallingVAR haichezi mpira uwanjani.
Kwani Phil Jones hakuwa na option yoyote ya kucheza ule mpira mpaka adondoke kwa simple push kama ile ?
Goli la Pili Maguire alizembea kuucheza ule mpira matukio kadhaa niliyoyafuatilia yanMaguire he is not good on one vs one situation.
Rashid amefunga mangapi?Lile Genge la wahuni wa Tottenham lililokuwa linapiga kelele kuwa uwanja wa Sheffield United haufungiki magoal matatu waje Tena.
GGMU.


Apa anatobolewa zote na hakuna wa kupingaMechi 3 zijazo za Man Utd kwenye EPL
Man Utd Vs Aston Villa
Man Utd Vs Spurs ya Mourinho
Man City Vs Man Utd
Mbona iyo ya mboga tu ..mimi nimsamehe solskjaer? mtu aliefanya nipoteze mil 3 laki 779 kweli nimsamehe? nmeumia sana fvck him.....
Hahahahahahahahah Manchester United hii unailinganisha na Tottenham Serious kabisa,Manchester United imefikisha mwisho muda sio mrefu utaona kumlinganisha na Bolton.Imagine leo mashabiki wa timu nyingine wanaamini Man Utd kaishapigwa halafu baadae wanaona hata draw inatosha
Nikumbushe tu, hawa Sheffield walimpiga Arsenane, wakampiga Spurs, wakapigwa na Liverpool goli moja ambapo na kipa alitoa zawadi
Muda mwingine Maguire anafanya vitu vya kijinga hadi unashindwa kuona tofauti yake dhidi ya Smalling
Jones alikuwa na option kibao kutoa mpira nje iwe kona au wa kurushwa. Sasa yeye anarembaremba mpira huku anamtingishia adui wowowo
Mkuu umesoma vizuri nilichoandika hapo? Nimesema Jones partly amesababisha tufungwe. Nifafanue, Kwanza amesababisha forward awe on side, wakati back line yake ilikuwa mbele kabisa, pili ame guard mpira kiboya, tatu alikuwa ana option ya kutoa mpira nje lakini akaamua ku guard
VAR sio mtu, inajulikana. Ni mfumo mzima. VAR ni kuanzia kuamua kurejea matukio (maana kwa utashi wa Refa na wale wa vyumbani wanaweza kuacha kurejea video), VAR ni video zenyewe, VAR ni Refa kuamua kutumia maamuzi ya kutoka vyumbani au la (rejea mechi ya Spurs na Watford, Goli la Dele Alli VAR ilisema No Goal, Refa akaamua kuwa goli. Zote hizo kwa ujumla wake tunaita VAR. Kwangu mimi VAR is Rubbish.
VAR ingekuwa genuine, wangeweza kuangalia mazingira ya Jones kuanguka, ni kweli Jones alilegea lakini alisukumwa kutoka nyuma na yule striker
Jamani Man u kwa aina ya wachezaji mlio nao hata akija Klopp au Pep hawataweza kuipeleka top 4, hebu linganisha mchezaji mmoja mmoja wa Man u na Liverpool au Man city uone tofauti ilivyo kubwa kiuwezo.Hata kwa Leicester bado sana.
Aina ya wachezaji waliopo Man u ni wale wa timu za katikati ya msimamo, nafasi ya 7 hadi 13 ukimtoa De gea,Pogba na angalau Rashford.
Rashid amefunga mangapi?
£80m down the drain
It is true lakin mchezaji anayejielewa anapaswa acheze kuilinda timu yake na siyo kutaka VAR imlinde kwa faulo ya namna ile.
Angeucheza ule mpira Phil Jones angeweza kuupeleka popote kwa De Gea, nje ikatoka kona au kuutoa wa kurusha sasa kafanya kosa la kipuuzi likatucost.
The same mistake aliyoifanya Phil ya kutegemea Referee aliifanya Maguire kwenye goli la tatu wakati jamaa anareceive mpira Maguire badala ya kuucheza alinyoosha mkono kuonyesha handball refer akamute amekuja kutaka kucheza tayari jamaa alishapiga Volley.
Haya ni makosa yanayoweza kufanywa na average defenders, January ikiwezekana turudi tena sokoni kumchukua Lewis Dunk.
Duh.... Dunk tena
Dunk wa BHA ni mzuri lakini ni mid table teams' players
No pace
Poor anticipation
Very vulnerable on one against one
Kibaya zaidi nae haongei na wenzake kama Young tu.