interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
mimi nimsamehe solskjaer? mtu aliefanya nipoteze mil 3 laki 779 kweli nimsamehe? nmeumia sana fvck him.....
Tutakutana ANFIELD SOOOOOON.Ungenifunga ningekuona wa maana, kwangu haya maneno yote ni worth..less
Lingardinho kaja kubadili matokeo sio?
Jones is rubbish..yupo out of position na kutoa mpira nje pia anashindwa..F.uck him
Kwanini pamoja na ubishoo wake akiwa mzima lazima acheze?Angekuwepo yeye hii game tungepoteza maana angeleta ubishoo wake pengo mactony ndio limeonekana
Umeona sasaTulia kijana
Jones bana ukitafakari afanyacho uwanjani, ni burudani tosha!![]()
View attachment 1271646View attachment 1271647View attachment 1271648
Huyu mzee sioni anakotupeleka wamtoe haraka.Ole anasema second half imeonyesha kuwa kuna progress hahahaaa tupo kwenye raiti traki. Kweli dunia haiwezi kuisha maajabu.
Upo wap we?Tulia wewe leo ushindi nje nje![]()
![]()
Washachanganyikiwa hawaKwahiyo wewe furaha yako ni kufunga magoli matatu na sio kupata point tatu.
I can't believe Manchester United Fans are happy for a draw
Naona wakiukaribia mstar wa kushuka darajaMechi 3 zijazo za Man Utd kwenye EPL
Man Utd Vs Aston Villa
Man Utd Vs Spurs ya Mourinho
Man City Vs Man Utd
Smalling anapiga pasi za mwisho tu huko, Ole akaamua kubaki na Jones.