Umebadilisha manenoNingeacha kushabikia mpira kama hili Genge la upate Lingen funga Sheffield
Umebadilisha manenoNingeacha kushabikia mpira kama hili Genge la upate Lingen funga Sheffield
Hahahahahahakuna mtu anagundu jaman akiweka tu msima.o tunapoteza.aisee jitqhid iwe unaweka mpira ukiisha.
Sisi ni mashabiki wa michezo hivyo lazima tuchekane team pinzan zinapofanya vibayaMkuu kusema kweli sijakutukana ndugu yangu ... Labda utakuwa umeelewa vibaya.
Samahani sana ndugu yangu Kama nimekukosea.
Kwa jinsi navoona hii game hatuwezi pata matokeo tuna wachezaji dhaifu sana haeana nguvu
Kwahiyo wewe furaha yako ni kufunga magoli matatu na sio kupata point tatu.Lile Genge la wahuni wa Tottenham lililokuwa linapiga kelele kuwa uwanja wa Sheffield United haufungiki magoal matatu waje Tena.
GGMU.
Angekuwepo yeye hii game tungepoteza maana angeleta ubishoo wake pengo mactony ndio limeonekanaAlafu kuna mijitu inasema Pogba aondoke
Hapa ndo utajua ukomavu wa kocha.. Haya mabadiliko hayakuwa ya lazima maana tulikuwa na dakika tano tuu.. Kocha amefanya makosa pamoja na washauri wake.Sub ya Martial imetuua maana imefanya tuwaruhusu watushambulie
Sasa ashangilie nn?Kwahiyo wewe furaha yako ni kufunga magoli matatu na sio kupata point tatu.
I can't believe Manchester United Fans are happy for a draw

Acheni zenu nyie Lalana alivowasawazishia goli siku ile mbona mlishangilia kwani haikua draw? Au mkishangilia nyie ni sawa ila sisi sio sawa, kuna scenario za mechi zinakufanya ufurahie hata ile alama 1 uliyoipata than kupata nothingKwahiyo wewe furaha yako ni kufunga magoli matatu na sio kupata point tatu.
I can't believe Manchester United Fans are happy for a draw
Acheni zenu nyie Lalana alivowasawazishia goli siku ile mbona mlishangilia kwani haikua draw? Au mkishangilia nyie ni sawa ila sisi sio sawa, kuna scenario za mechi zinakufanya ufurahie hata ile alama 1 uliyoipata than kupata nothing
wakata Martial yupo timu yako ilipelekewa chuma moja first half wakati huo timu yako shot on target ni mojaSub ya Martial imetuua maana imefanya tuwaruhusu watushambulie
DuhMechi 3 zijazo za Man Utd kwenye EPL
Man Utd Vs Aston Villa
Man Utd Vs Spurs ya Mourinho
Man City Vs Man Utd