Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo mnafungwa Sheffield united wako vizuri sana wakiwa nyumbani.

Naona mnaamini mtashinda leo,hizo ni ndoto za alinacha. Kumfunga Sheffield United nyumbani kwake.

Sheffield United wako vizuri sana kwenye kuzuia ndio timu iliyoruhusu goli chache Baada ya leicester, ijawahi kufungwa goli zaidi ya mbili Na timu yoyote ile mpaka sasa.

Kwa kifupi tunaofatilia mpira na kuujua ,mechi ya leo iko wazi kabisa mnafungwa na Sheffield United.
 
It's Matchday..

GGMU..

Leo ushindi ni muhimu..tukifungwa leo au draw,top four itakuwa ngumu kuisolegelea achilia mbali tu kuifikia.

Mkuu me sijaona dalili yoyote ya man United kushinda leo,labda wewe uiseme.

labda mngekuwa mko nyumbani ila nyumbani kwa Sheffield United hata droo hampati hapo.

Man u hana kikosi cha kufunga hata goli moja pale nyumbani kwa Sheffield United.

Timu zilizocheza na Sheffield United pale nyumbani kwake ndio zinaelewa wale jamaa wako vipi,naona mnajofariji mtawafunga nyumbani Sheffield United 🤣.
 
Mkuu me sijaona dalili yoyote ya man United kushinda leo,labda wewe uiseme.

labda mngekuwa mko nyumbani ila nyumbani kwa Sheffield United hata droo hampati hapo.

Man u hana kikosi cha kufunga hata goli moja pale nyumbani kwa Sheffield United.

Timu zilizocheza na Sheffield United pale nyumbani kwake ndio zinaelewa wale jamaa wako vipi,naona mnajofariji mtawafunga nyumbani Sheffield United .
Wagumu sisi ndio huwa tunapiga...kina Leicester tunapiga kisawasawa
 
Habari ndio hii leo
Screenshot_20191124-183240_All%20Goals.jpeg
 
Leo mnafungwa Sheffield united wako vizuri sana wakiwa nyumbani.

Naona mnaamini mtashinda leo,hizo ni ndoto za alinacha. Kumfunga Sheffield United nyumbani kwake.

Sheffield United wako vizuri sana kwenye kuzuia ndio timu iliyoruhusu goli chache Baada ya leicester, ijawahi kufungwa goli zaidi ya mbili Na timu yoyote ile mpaka sasa.

Kwa kifupi tunaofatilia mpira na kuujua ,mechi ya leo iko wazi kabisa mnafungwa na Sheffield United.
Sasa Kama unaamini mechi iko wazi kwa nini huo uwazi uwe kwa Sheffield tu na sio Manchester United Pia ???

Hivi tukiwaita mashabiki wa arsenal mnapaswa kugawiwa vyumba pale mirembe tutakuwa tunakosea ???

GGMU
 
Leo ni msiba mwingine baada ya kupiga trip wiki 2 zikizopita leo man u watakuwa gereji wakitengenezwa.
 
Back
Top Bottom