Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ishu ya Msingi ni kusajili wachezaji sahihi, labda kwa kiingereza itaeleweka vizuri... Kusajili right players

Usiogope, hata Chelsea ilipoanza kusajili right players (post Abromovich Era) ndio na nyie mkahamia huko
Hii timu kila dirisha inasajili, halafu outcomes ni kushika nafasi ya 6 na 7 mwisho wa msimu.

Ishu ni kusajili wachezaji? Ishu ni kocha? Ishu ni mgt? Hamueleweki.
 
Huyu bwana mdogo hakawii kuleta vigezo vipya, atakwambia hayo magoli mengine amefunga akiwa national team, mara hayo mengine ya penati, mara magoli mengine ya faulo.... Ngoja tumsubiri

Huyu kijana huwa ni kigeugeu sana
Rashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.

Ollachuga Oc
 
Sema mwezi September na October haukuwa mzuri Kwake ila naona anaanza kurudi katika form.

Hope next games atafunga pia tuombe Mungu na Pogba arejee mapema pamoja na midfielders wetu waendelee kuwa form.
Kabisa mkuu but na kocha wetu nae anatakiwa acheze vizur na selection maana Scott na Fred wanafanya kile ambacho binafsi nakifurahia

Ningekuwa na nafasi ya kumshauri sosha ningemwambia aweke nje Pereira alafu 10 awekwe pogba
 
Yawezekana yeah sasa hatuwezi jua kama Pogba atafit kwenye hiyo role maana yule Mshenzi haeleweki sometimes
Kabisa mkuu but na kocha wetu nae anatakiwa acheze vizur na selection maana Scott na Fred wanafanya kile ambacho binafsi nakifurahia

Ningekuwa na nafasi ya kumshauri sosha ningemwambia aweke nje Pereira alafu 10 awekwe pogba
 
Kabisa mkuu but na kocha wetu nae anatakiwa acheze vizur na selection maana Scott na Fred wanafanya kile ambacho binafsi nakifurahia

Ningekuwa na nafasi ya kumshauri sosha ningemwambia aweke nje Pereira alafu 10 awekwe pogba
Mi mwenyewe nafikir hivyo hivyo pereira ampishe pogba kidogo fred na scott wabak palepale pogba apewe 10
 
Kirusi kuna muda anaboa hadi mtu unatamani uingie kwenye TV umpe vitasa

Yaan kwa mambo anyofanya dyabala sa hivi pale Turin mpaka kuna wakati huwa nataman watupe pesa kidogo na yule kijana lkn pia upande wa pili wa moyo wangu unagoma maana EPL nayo ina mengi

N
Anhaa ndio maana Man U hatuelewiki tutashinda lini na tutafungwa lini hasa pogba akiwaga fit coz muhuni hueleweki .🙄🙄🙄🙄
 
Dyabala alikuwa atue man dirisha kubwa la juzi, tatizo alitaka mshahara mkubwa 650 kwa wiki.
Tatizo haikuwa mshahara, Walikubaliana mshahara. Tatizo ni Agent fee aka mkataba wa biashara wa Dybala ambao akiondoka Juve inabidi awalipe wahusika. Hata Spurs walikubaliana Na dybala na wao wakashindwa hapo hapo tuliposhidwa sisi.
 
Pogba anahitaji uwanjani wote wawe serious ili wawe wanasahihisha makosa yake mara kwa mara.

Pereira anacheza kwa tahadhari sana kuliko Pogba lakini naye wakati mwingine maamuzi yake ya mwisho mengi siyo sahihi.

Mara nyingi anafanya maamuzi kwa haraka sana au kwa kuchelewa sana hivyo kupoteza nafasi za timu kufunga.
Hahaha kirusi kweli naye sometimes ana bwembwe
 
Back
Top Bottom