Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole ni Oldfashioned manager anapenda defenders wanaoweza kukaba tu inasikitisha sana Man united ilishindwa kumsajili Trieppier au Thomas Munier wakaamua kutupa pesa kwa huyu AWILO LONGOMBA.

Hana msaada timu inapokuwa na mpira na anapokaba lazima autoe nje au abutue tu.
Last week nilitaka kuandika humu kuwa kwa Wana Bissaka Crystal Palace walituibia.
Kweli mkuu, Bissaka si mbaya kwenye kukaba, ila hana mentality ya kupandisha timu, kupressurize opponents, kutoa assists wala crosses. Yani yeye alipo ndo alipo. Haoni wenzake kina Robertson na TAA wanavyoibeba Liverpool, wanapandisha na kutoa maasists na majalo ya kumwaga. Rojo naye walewale tu. Nguvu nyiiiingi
 
Man u is back to its default settings
Eti?
tapatalk_1569480155205.jpeg
 
Juzi umekuja geto kwangu umenipiga mzinga na mzigo ujanipa ...umeenda mpa bwana mdogo Bornamouth ..uliona ukinipa mimi nitafaidi sana? ?
Kwa hyo wewe ulimwita mwanaume aje akukamulie kwako siyo? Daaa ama kweli unapenda vibaya na ni mgawaji mzuri sana.
 
Ole ni Oldfashioned manager anapenda defenders wanaoweza kukaba tu inasikitisha sana Man united ilishindwa kumsajili Trieppier au Thomas Munier wakaamua kutupa pesa kwa huyu AWILO LONGOMBA.

Hana msaada timu inapokuwa na mpira na anapokaba lazima autoe nje au abutue tu.
Last week nilitaka kuandika humu kuwa kwa Wana Bissaka Crystal Palace walituibia.
Ha ha ha Awilo
 
Back
Top Bottom