Sijui sheria zikoje lakini ishu ikiwa kubwa na kutishia kufa ama kuvinjwa kwa timu na mmiliki basi huenda bunge la UK likaingilia kati mchakato huoSheria zinasemaje kwa mmiliki wa timu. Kwa mfano mmiliki wa club akiamua kuua biashara ya mpira, uwanja na majengo ya man u yakabaki kama makumbusho atashtakiwa? Wakati mali ni yake? Biashara ni yake? Na pesa alizonunua timu zilikuwa zake?
Tumpe mdaSolskjaer has now lost more PL games as a manager than Jurgen Klopp, despite taking charge of 104 fewer games.


Bayern wamefukuza kocha baada ya kipigo cha jana kutoka cha goli 5 kwa 1,sisi bado tung'ang'aa macho tu.Solskjaer has now lost more PL games as a manager than Jurgen Klopp, despite taking charge of 104 fewer games.
Bayern wamefukuza kocha baada ya kipigo cha jana kutoka cha goli 5 kwa 1,sisi bado tung'ang'aa macho tu.
Big club mentality.Bayern wamefukuza kocha baada ya kipigo cha jana kutoka cha goli 5 kwa 1,sisi bado tung'ang'aa macho tu.
Tunajenga timu mkuu mtu kamalizia msimu, kaenda pre season,kaanza ligi bado timu inacheza chandimu acha tuendelee kujenga timu.Bado naifikiria timu yangu Man Utd.View attachment 1253522
Vip khali Bornamouth na yeye ni kibonde![]()
Huyu Bournamouth ni kibonde wenu wote maana Cheltako aligongwa 4 - 0 last season ,,,hukumbuki?Safi kibonde wangu
Bournmouth ni mbabe wangu
Nachukia Kila nikifungua huu uzi labda ntakuta habari hiyo njema Ila wapi.....Ole will be sacked in four games to come.
Wewe ni mwanamke?Huyu Bournamouth ni kibonde wenu wote maana Cheltako aligongwa 4 - 0 last season ,,,hukumbuki?
Na Lingard vipi mkuu