Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wan bissaka ameendelea kuwa useless kwenye kupandisha mashambulizi kama kawaida yake, siku tutakayopata mwalimu mwenye fikra za guardiola au klopp basi tutaingia tena sokoni kwa lengo la kutafuta mlinzi mwengine wa kulia, ina maana tutakuwa tunaendeleza tabia ile ile ya kusajili wachezaji kwa kuangalia zaidi mzuka wa mwalimu.
ndio maana tetesi zake za usajili sikuzifurahia kwa kiwango kikubwa sana.​

bora ashley young kuliko wan bissaka kimchango kwenye kupandisha mashambulizi, timu inasumbuliwa na tatizo la kukosa wachezaji viungo walio creative jambo linalopelekea utatu wetu wa mbele uonekane butu lakini cha kusikitisha jamaa pia na yeye wala haleti faida kutokea pembeni, waangalie liverpool wanavyofaidika na walinzi wao wa pembeni muda wote wa mchezo.
wan bissaka benchi, brandon williams on ili ashley young arudi upande wa kulia

hivi timu yetu inafanya mazoezi ya kumiliki mpira pindi wachezaji wanapokuwa kwenye presha, mbona tunabutua mipira ovyo kama vichaa?​
Ole ni Oldfashioned manager anapenda defenders wanaoweza kukaba tu inasikitisha sana Man united ilishindwa kumsajili Trieppier au Thomas Munier wakaamua kutupa pesa kwa huyu AWILO LONGOMBA.

Hana msaada timu inapokuwa na mpira na anapokaba lazima autoe nje au abutue tu.
Last week nilitaka kuandika humu kuwa kwa Wana Bissaka Crystal Palace walituibia.
 
Kesho sisi Spurs tukijaliwa ushindi mnono dhid ya Everton ...sisi Man united tutashuka hadi nafasi ya kumi na moja. .
 
Kama anapenda kujilinda acheze chrismass tree ya Ancelloti
3 4 2 1 au 4 3 2 1 kuliko hiyo 4 2 3 1 almost more than half of the squad inakuwa deep kujilinda ndiyo maana anafungwa na hatengenezi nafasi nyingi.
Inabidi amauige conte na mfumo wake pendwa wa beki watatu nyuma, habadili mfumo hata iweje!! hii 4 2 3 1 inatu cost!!
 
Tukiwa tunaivunja na tusisahau kuiuza kwa waarabu wanaojua kutumia pesa, sio akina gleza sjui gloza na Woodward rubbish they dont feel pain at all, viletwe vifaa sio hii mikaa ya ovyo, mwarabu haweza kuvumilia kuona timu yake aliyoinunua inafanya upumbavu, tena itakua man u tishio
Hao magarasa wapelekwe wapi sasa?
 
Maradona in 2019 = No goal
Lingard in 2019= no goal
ndio mpira huu
 
Watolewe kwa mkopo huko ...wote yani .. peleka huko kwenye mamikopo teams

Wewe glazer family na Woodward wanajua nini kuhusu mpira ...wana feel pain wanayofeel fans?? Kama sio kujaza matumbo yao na kwenda chooni tu, wanachoangalia ni faida tu, yani mshenzi Woodward anajigamba eti kapata faida kwa kua anamuuza smalling, kama sio uduwanzi ni nini, faida unaangalia baada ya kupata vikombe vikubwa kama premier league na champions league kama mara tatu hivi back to back , ndio uanze kuangalia mambo ya faida ya kuuza wachezaji, na zaidi kama huna PESA unaponunua mchezaji mmoja mahiri una uhakika wa kurudisha hela yote na faida kutokana na mauzo ya jezi tu na endorsement za kwenye klabu
Hao magarasa wapelekwe wapi sasa?
 
eti awilo longomba
Ole ni Oldfashioned manager anapenda defenders wanaoweza kukaba tu inasikitisha sana Man united ilishindwa kumsajili Trieppier au Thomas Munier wakaamua kutupa pesa kwa huyu AWILO LONGOMBA.

Hana msaada timu inapokuwa na mpira na anapokaba lazima autoe nje au abutue tu.
Last week nilitaka kuandika humu kuwa kwa Wana Bissaka Crystal Palace walituibia.
 
Ole sendeka ameishiwa mbinu, wachezaji wenu uwezo wao ndio umeishia hapo.... Msitarajie maajabu yoyote Kwa aina ya kikosi na kocha mliye naye.
 
Screenshot_2019-11-02-23-37-58.png
 
Back
Top Bottom