Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe mlidungwa kasindano kamoja jana.

Nimeleta rambi rambi. Rafiki Radika nimefika hapa msibani sijui imekaa upande gani mwa hizi tenti ?🤪🤪🤪
 
So since Ole took over as permanent manager:

17th place - 19 Played; Won 5; Drawn 6; Lost 8; Scored 20; Conceded 25; GD -5.

Teams below us: Southampton, Brighton and Watford

Teams who have scored fewer than us: Watford and Brighton
 
Watolewe kwa mkopo huko ...wote yani .. peleka huko kwenye mamikopo teams

Wewe glazer family na Woodward wanajua nini kuhusu mpira ...wana feel pain wanayofeel fans?? Kama sio kujaza matumbo yao na kwenda chooni tu, wanachoangalia ni faida tu, yani mshenzi Woodward anajigamba eti kapata faida kwa kua anamuuza smalling, kama sio uduwanzi ni nini, faida unaangalia baada ya kupata vikombe vikubwa kama premier league na champions league kama mara tatu hivi back to back , ndio uanze kuangalia mambo ya faida ya kuuza wachezaji, na zaidi kama huna PESA unaponunua mchezaji mmoja mahiri una uhakika wa kurudisha hela yote na faida kutokana na mauzo ya jezi tu na endorsement za kwenye klabu
Sometimes, tunalaumu watu wasiostahili kulaumiwa. Tunaweza kumlaumu Eddy wakati wa Mourinho kushindwa kumpa wachezaji anaowataka. Kumbukeni, tumechukua champions league under glazers. Why? tulikuwa tuna kocha anaejua ni nini anafanya.

Tangu kuondoka Fergie, Kosa la Eddy ni kumteua Moyes, kukosa subira na Van Gaal, kutompa wachezaji Mourinho wale aliowataka. Katika mara zote, Eddy mara hii kafanya kile walichotaka mashabiki, lakini bado munamlaumu!

Mashabiki walikuwa wakiimba nyimbo OLEEEE AT THE WHEEL, na wengi kama sio wote walitaka Ole awe kocha permanent. Akampa mkataba. Sio Eddy alotaka akina Sanchez, Lukaku na wengine waondoke, ni OLE mwenyewe (Except Herrera labda).

Ole hakunyimwa pesa, Eddy amekuwa anatumia mahela kama mwendawazimu. The Money was always there for Ole, lakini Ole anataka kujenga timu ya wachezaji ambao ni from MUFC academy sasa Eddy afanye nini tena hapo? itabidi amsapoti tu hamna namna nyengine.

Tatizo la MUFC sasa ivi ni Kocha. Lets face it, Ole sio kocha wa kufundishia timu ambayo ina ma Rivals kila kona na ni title contenders, Ole ni wa kubaki Cardiff city. Mimi sioni tofauti timu inavyocheza saiv na enzi za Moyes, wachezaji hawajui wafanye nini wanazunguka tu.

Wachezaji wale wale tuliokuwa nao ukimpa Fergie, timu itaishia top 4 au umpe Pep au Klopp utaona mwenyewe. Ole hajui kufua wachezaji, anajua kuwapa game time tu.

Timu inafungwa yeye anakwambia anaona ni positive results..... mlaini sana yule.
 
√Ed woordward anapewa lawama ambazo hastahili kupewa

Katoa £80m kwa Maguire

Katoa £50m kwa Bissaka

Katoa £15m kwa James

√Ole kaona Lukaku hamfai,kampiga bei..hakufanya replacement...Yeye aliona Martial na Greenwood wanamtosha

Timu inachemsha,Lawama zote kwa Ed woordward..Kocha kwa nini hausiki??

Fedha zimetumika kibao tu lakini hakuna improvement ya kueleweka..
 
Yaani sikufichi, huyu Eddy kweli hajui mpira, lakini ni mtu ambae amekuwa akifanya vile "wanaojua mpira" wakitaka afanye, lakini bado anaangushiwa lawama.

Timu imefika pabaya, tunapigania tusiingie kwenye relegation zone! The rise of Liverfools signaled the fall of MUFC.....
 
Nashukuru kwa kunichallenge kwa facts mkuu, but mwisho wa siku tu naona ili tusiendelee kuaibika na hatimaye kushika mkia au kushuka daraja, ni lazima mapinduzi makubwa yafanyike, kweli eddy ametoa pesa lakini je wachezaji hao wana uwezo wa thamani hio ya pesa?? Mbona tena kuna wachezaji mashuhuri kabisa madili yao yalikwama, kwanini na pesa ilikuepo, dyabala, mandzuic, na sasa hivi Sancho lakini zitaishia kua tetesi tu, ila ukweli ni kua wa kwanza kuondoka anatakiwa awe ole, then wafatie glazer family, na baadhi ya wachezaji ambao kwakweli mimi sjui wanacheza mpira wa aina gani...kama mzee mzima Rio kasema man utd haitazamiki kwa sasa ni dhahiri shahiri kwamba tunaelekea shimoni
Sometimes, tunalaumu watu wasiostahili kulaumiwa. Tunaweza kumlaumu Eddy wakati wa Mourinho kushindwa kumpa wachezaji anaowataka. Kumbukeni, tumechukua champions league under glazers. Why? tulikuwa tuna kocha anaejua ni nini anafanya.

Tangu kuondoka Fergie, Kosa la Eddy ni kumteua Moyes, kukosa subira na Van Gaal, kutompa wachezaji Mourinho wale aliowataka. Katika mara zote, Eddy mara hii kafanya kile walichotaka mashabiki, lakini bado munamlaumu!

Mashabiki walikuwa wakiimba nyimbo OLEEEE AT THE WHEEL, na wengi kama sio wote walitaka Ole awe kocha permanent. Akampa mkataba. Sio Eddy alotaka akina Sanchez, Lukaku na wengine waondoke, ni OLE mwenyewe (Except Herrera labda).

Ole hakunyimwa pesa, Eddy amekuwa anatumia mahela kama mwendawazimu. The Money was always there for Ole, lakini Ole anataka kujenga timu ya wachezaji ambao ni from MUFC academy sasa Eddy afanye nini tena hapo? itabidi amsapoti tu hamna namna nyengine.

Tatizo la MUFC sasa ivi ni Kocha. Lets face it, Ole sio kocha wa kufundishia timu ambayo ina ma Rivals kila kona na ni title contenders, Ole ni wa kubaki Cardiff city. Mimi sioni tofauti timu inavyocheza saiv na enzi za Moyes, wachezaji hawajui wafanye nini wanazunguka tu.

Wachezaji wale wale tuliokuwa nao ukimpa Fergie, timu itaishia top 4 au umpe Pep au Klopp utaona mwenyewe. Ole hajui kufua wachezaji, anajua kuwapa game time tu.

Timu inafungwa yeye anakwambia anaona ni positive results..... mlaini sana yule.
 
Nashukuru kwa kunichallenge kwa facts mkuu, but mwisho wa siku tu naona ili tusiendelee kuaibika na hatimaye kushika mkia au kushuka daraja, ni lazima mapinduzi makubwa yafanyike, kweli eddy ametoa pesa lakini je wachezaji hao wana uwezo wa thamani hio ya pesa?? Mbona tena kuna wachezaji mashuhuri kabisa madili yao yalikwama, kwanini na pesa ilikuepo, dyabala, mandzuic, na sasa hivi Sancho lakini zitaishia kua tetesi tu, ila ukweli ni kua wa kwanza kuondoka anatakiwa awe ole, then wafatie glazer family, na baadhi ya wachezaji ambao kwakweli mimi sjui wanacheza mpira wa aina gani...kama mzee mzima Rio kasema man utd haitazamiki kwa sasa ni dhahiri shahiri kwamba tunaelekea shimoni
Mapinduzi makubwa lazima yafanyike, Glazers waondoke kwa sababu MUFC imekuwa inawatajirisha wao binafsi. Hawa watu walitaka kuweka rehani uwanja wa Old Trafford!!!! Kwa jinsi ulimwengu wa mpira ulivobadilika, bora tu iuzwe kwa watu wenye kutaka kuekeza kwenye timu na kuona mafanikio.

Wachezaji mashuhuri kuja MUFC ni ngumu sana saivi. Timu haina muelekeo na kila mmoja anataka mafanikio, hilo simlaumu eddy mana ukiliona jahazi linazama hutojipeleka ukae ndani 😀

Ole arauke, Glazer wauze timu. Nimesikia tetesi kama wamepeleka wawakilishi Saudia. Mimi binafsi naona hii bad perfomance ndio itaangusha revenues za MUFC na kusababisha hawa watu waachie timu.
 
Ni kweli mkuu, zile zama za wachezaji wanacheza kama enzi za kina giggs hamna tena, mpira ni pesa na unawekeza upate mafanikio na makombe makubwa, na hio inawashawishi hata wachezaji wakubwa kuja kwako na mwisho wa siku watapambana na kujituma sana na hapo una management ya uhakika na kocha mkali na anayejua tactics za mpira na mikikimikiki ambaye haogopi staa kwenye klabu
Mapinduzi makubwa lazima yafanyike, Glazers waondoke kwa sababu MUFC imekuwa inawatajirisha wao binafsi. Hawa watu walitaka kuweka rehani uwanja wa Old Trafford!!!! Kwa jinsi ulimwengu wa mpira ulivobadilika, bora tu iuzwe kwa watu wenye kutaka kuekeza kwenye timu na kuona mafanikio.

Wachezaji mashuhuri kuja MUFC ni ngumu sana saivi. Timu haina muelekeo na kila mmoja anataka mafanikio, hilo simlaumu eddy mana ukiliona jahazi linazama hutojipeleka ukae ndani 😀

Ole arauke, Glazer wauze timu. Nimesikia tetesi kama wamepeleka wawakilishi Saudia. Mimi binafsi naona hii bad perfomance ndio itaangusha revenues za MUFC na kusababisha hawa watu waachie timu.
 
Sheria zinasemaje kwa mmiliki wa timu. Kwa mfano mmiliki wa club akiamua kuua biashara ya mpira, uwanja na majengo ya man u yakabaki kama makumbusho atashtakiwa? Wakati mali ni yake? Biashara ni yake? Na pesa alizonunua timu zilikuwa zake?
Waingereza sio wajinga wale..
 
IMG_2175.JPG
 
Sheria zinasemaje kwa mmiliki wa timu. Kwa mfano mmiliki wa club akiamua kuua biashara ya mpira, uwanja na majengo ya man u yakabaki kama makumbusho atashtakiwa? Wakati mali ni yake? Biashara ni yake? Na pesa alizonunua timu zilikuwa zake?
Nadhani hamiliki kwa 100% lazima community inahusika pia kwenye maamuzi hasa ya namna hiyo. pia sidhani kama inawezekana kitu kama hicho
 
Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3
Tumefunga magoli 9 tumefungwa magoli 8
Liverpool wametuacha point 15 ,Man City ametuacha point 7,Arsenal ametuacha point 6
Update :Tumecheza mechi 11 kati ya 38 tumeshinda mechi 3 draw mechi 4 tumefungwa mechi 4
Tumefunga magoli 13 tumefungwa magoli 11 tuna point 13 tuko nafasi ya 10
Liverpool wametuacha point 18 ,Man City ametuacha point 12,Chelsea ametuacha point 10 Arsenal ametuacha point 4
 
Back
Top Bottom