21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Tunawashukuru sana Bournemouth kwa ushindi mwembamba, nyumbu poleni kwa kipigo mna timu mbovu
Jamaa mbishi sana ngoja tuone.
Matokeo ya ubishi wake yameonekana. |
Wanabahatisha na kukamia mechi kubwa badala ya kutengeneza timu ya ushindaniTunawashukuru sana Bournemouth kwa ushindi mwembamba, nyumbu poleni kwa kipigo mna timu mbovu
Hakuna tofauti kati ya man utd na mwaduiPoleni sana mashabiki wa ibilisi fc,Hawa Bournemouth wamewalaza mapema,muache kukamia mechi kubwa na kidondosha points kwa timu za kawaida.


Nyumbu shangazi yako.Tunawashukuru sana Bournemouth kwa ushindi mwembamba, nyumbu poleni kwa kipigo mna timu mbovu
Kweli kabisa saizi wanakamia sana big timu,na fans wao wanakuwa na kelele sanaHakuna tofauti kati ya man utd na mwadui![]()
Ndio maana nikakwambia huna akili.Huu ni kweli, Pobga ni tatizo. Ana nata saaana.
Wacha wanaotaka kutupa heshima kama club wacheze mpira.
Joshua king yupo ulaya uingereza anakula kipupwe, wewe komaa na jua la bongoJamani mimi ni JOSHUA KING napita kwa kunesa nesa nyumbuzzzz![]()