radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wewe huwa unasubir unakujaga hapa na mikwara kabla ya mechi mwisho wa siku unalala mbeleMuwe mnasubiri dakika 90 na penalty zake ndiyo muongee
Mmejifunza sasa kitu?
Wewe huwa unasubir unakujaga hapa na mikwara kabla ya mechi mwisho wa siku unalala mbeleMuwe mnasubiri dakika 90 na penalty zake ndiyo muongee
Mmejifunza sasa kitu?
Wachezaji waliofunga magoli mengi ya klabu za England wakiwa na umri wa miaka 22
.
Harry Kane (52)
Marcus Rashford (52)
Anthony Martial (48)
Cristiano Ronaldo (47)
Bado mkuu mazungumzo yanaendeleaHizi taarifa za kuwa jana Man Utd imenunuliwa rasmi na Saudis ni kweli Wakuu ?
Wachezaji waliofunga magoli mengi ya klabu za England wakiwa na umri wa miaka 22
.
Harry Kane (52)
Marcus Rashford (52)
Anthony Martial (48)
Cristiano Ronaldo (47)


Tulia bwana mdogo daraja lenu tumewapa wanajeshi wanalikarabati huko handeni Tanga



acheni mbwe mbwe.Wao wanafocus na Carabao ..halafu hawa ni wetu tu ..hawana pa kutokea, pale geto watarudi tenaaaaaaaaaaaOllachuga Oc kumbe zile 4 ulizopigwa OT ulistahili kweli.



Izo mbona zinarudi tu Soton alilazwa Tisa sembuse uyu Man u?!Kwenye game 2 umefungwa 6-1
Bado unatamani tu uongezwe tena.?
Wakampiga finger mwenye geto




acha mbwe mbwe ..utakuja tenaaaaaaaa


Mkuu mimi nilikubali kuweka ushabiki pembeni nilifuata ushaur wako
Dah! Wa Maziwa /wa nyamaWaliocheza wote basi ni mbuzi
Mkumbuke Mkazinyooshe make inaonesha zilikuwa chini ya magodoroKwa wale tuliovaa jezi leo asubuh tunanyooshe mikono juu.
Hizo ni mbwembwe sasa, hata liver kashinda bila money,sarah so nao wasirudiNaombea Pogba asirudi mapema yule kirusi.
It's Matchday
GGMU
Ningependa kuona kitu kama hiki
DeGea
Tuanzebe Maguire Lindelof
Bissaka Fred Williams
James McTominay Rashford
Martial
Naomba iwe kweli yule mwarabu kanunua timu