Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Scott McTominay has completed 15 take-ons in the league this season, more than: Mohamed Salah (14); Serge Gnabry (14); Sadio Mané (13); Leon Bailey (12); Sergej Milinkovic-Savic (11); Riyad Mahrez (10)
 
Kwamba wewe ndio utuambie mwisho wa kujadili jambo flani kwenye uzi wetu?

Nenda kwenye Uzi wenu ukawapangie akina Malafyale sijui nani

Hata chengesha bwege ina possession kubwa, lakini hoja ya Chief, PTER et. AL ni ufundi, mipango, game plan, mbinu (kulingana na wachezaji waliokuwepo, matazamio ya mechi n.k) OGS alimfunika Klop
Mind the gap....
 
Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!

FT:
Man UniteLiverpool
32Possession68
7Shots10
2Shots On Target4
509Touches842



299Passes complete652
View attachment 1247844
Umeambiwa tactically. United aliwahi kumwondosha Barcelona Uefa kwa kumtandika 0: 1nyumbani kwake wakati Barca akipossess 81% against 19% za United.
 
Unatafuta nini humu, wenzio wana furahi wewe unaona nongwa? Roho za kichawi hizo. Kwaiyo unataka watu wakishinda walie au wasononeke? Starehe ya mpira ipo hivyo na hauwezi kuibadili. Timu hata ikifunga goli dk ya kwanza bado mashabiki watashangilia ingawaje bado dk 89
Hawa jamaa wangekuwa wanaongoza ligi tungehama mitaa kushinda kamechi kamoja wanajiona wana timu nzuri sana.
 
Hivi watu uwa awamzungumzii huyu mchezaji au mie nina jicho lingine ninapoangalia mpira huyu
Thomas Partey

 
Hivi watu uwa awamzungumzii huyu mchezaji au mie nina jicho lingine ninapoangalia mpira huyu
Thomas Partey

Stats zake ziko hivyo
Screenshot_20191030-125554_Opera%20Mini.jpeg
Screenshot_20191030-125628_Opera%20Mini.jpeg
Screenshot_20191030-125520_Opera%20Mini.jpeg
Screenshot_20191030-125542_Opera%20Mini.jpeg
Screenshot_20191030-125520_Opera%20Mini.jpeg
Screenshot_20191030-125601_Opera%20Mini.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20191030-125628_Opera%20Mini.jpeg
    Screenshot_20191030-125628_Opera%20Mini.jpeg
    34.2 KB · Views: 4
Achana na huyo dully hajui mpira. Babu sari wakati akiwa chelsea kila match alikuwa anaongoza ball position still chelsea ikawa inafungwa au ushindi kwa mbinde.

Kushinda match ni mbinu. Kama ulivyo sema Morinyo, conte, simion ushindi kwao ni mbinu sio ball position.

Aiseeehhh wewe unaejua cha ajabu hata timu ya mtaani hujawahi fundisha
 
Kwa mawazo yangu siamini sana kwenye stats za mchezaji. Kwa sababu zifuatazo:-

Aina ya ligi anayocheza:- Mchezaji anaweza kuwa na stats nzuri kwenye ligi ambayo haina upinzani mkali, akahamia kwenye ligi ngumu akawa wa hovyo.

Mfumo wa timu:- Mchezaji chini ya kocha flani na mfumo wake akawa moto stats za kuridhisha akahamia timu nyingine mfumo tofauti akawa chini ya kiwango mfano Alex sanchez.

Mdau anayesema kumtazama mchezaji kwa jicho la tatu namuunga mkono, sio kubase sana kwenye stats.

Nadhani ndio wanachokifanya mascout wanaangalia zaidi ya stats za mchezaji haswa kwenye mashindano tofauti tofauti mfano club bingwa anapokutana na timu nje ya league yake.
Ungejua tu ametamka jicho la 3 kupiga watu vijembe wala usingemsifia.
 
Hivi leo wakuu Ole ataingiaje??

Nimepita kwenye Forum za mabeberu,wengi wanataka baadhi wachezaji wapumzishwe..kama James,Martial,Rashford,Scott

Si tuingize full mziki tu??..au shida iko wapi??
 
Hivi leo wakuu Ole ataingiaje??

Nimepita kwenye Forum za mabeberu,wengi wanataka baadhi wachezaji wapumzishwe..kama James,Martial,Rashford,Scott

Si tuingize full mziki tu??..au shida iko wapi??
Majeruhi, na kwenye press conference amedokezea leo tunapanga watoto,

Kama ya leo inataka uwe na uvumilivu kuiangalia.
 
Hivi leo wakuu Ole ataingiaje??

Nimepita kwenye Forum za mabeberu,wengi wanataka baadhi wachezaji wapumzishwe..kama James,Martial,Rashford,Scott

Si tuingize full mziki tu??..au shida iko wapi??
hawa wote wanaweza wakakaa bench na tukashinda.
 
Back
Top Bottom