Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuongezea tena

Marcus Rashford has been directly involved in more league goals in 19/20 (8) than: Aubameyang (7), Griezmann (7), Benzema (7), Mbappé (7), Kane (7), Werner (6), Depay (6), Firmino (6), Mané (6), Ronaldo (5), Suárez (5)
Duh...bwana Makame Rashid
 
Radika, Huhitaji kuwa na kiungo kizito sana ili uwe na timu nzuri asikudanganye mtu kinachoamua sana mechi ni defence na stricking force yako katikati unapaswa kuwa na watu wasiofanya makosa makosa tu basi mfano mzuri angalia kosa moja tu alilofanya Scott jana likawapa Norwich goli. Nimefuatilia michango yako kuna kitu muhimu sana unashindwa kuona upungufu wa timu yetu mpaka sasa timu iko sawa kabisa tuna uwiano mzuri sana kiufundi. Mapungufu makubwa timu haina mshambuliaji wa uhakika pale mbele ambaye anaweza kuamua mechi sio kati ya Marcus au Anthony au Daniel wote hawa kusema ukweli ni wachezaji wa kawaida sana ukitaka kujua hili waangalie vizuri hawana movements za kishambuliaji hutegemea zaidi mabeki wa timu pinzani wafanye makosa na hata wakipata nafasi wanatumia chache kulinganisha na walizopoteza. Kuna mtu aliweka hoja kuwa mipira inawafikia michache kitu ambacho si kweli muda mwingi utaona mipira mingi inakua blocked na mabeki kabla hata haijawafikia muda mwingi wanaji-position nyuma ya mabeki wakisubiri wakosee.

Pendekezo langu kuelekea dirisha dogo la usajili ni kheri tumlete kati ya Mario Mazundkic au Edin Dzeko au Ibra Cadabra ili waje wamalize msimu na hawa machalii kufix tatizo kwa muda mfupi pale mbele la si hivyo hatuendi popote na hawa madogo hawana uwezo wa kuipeleka timu big 4. Kutatua tatizo kwa muda mrefu tutahitaji mshambulizi ambaye umri haujasogea sana kama Harry Kane.

Pendekezo langu la mwisho tunahitaji beki wa kushoto Luke hafai kabisa ni injury prone hawezi kucheza mechi 10 mfululizo bila kuumia ni muda sahihi sasa kuziba nafasi yake nimeshtuka tokea amefika 2014 kati ya mechi 200 za ligi kuu mpaka jana amecheza mechi 75 tu. Hapa kama Ole anataka mtu mzito kweli amchukue Benjamin Chilwell kutoka Leicester.
Kwa shaw naungana na wewe dawa yake ipo jikoni na imechemka ni kinda toka kwenye academy william blandon shaw na young watafute shughuli ya kufanya huyo bwana mdogo ni noma naweza sema toka evra asepe walau tunaweza kupata mtu sasa
 
For scoring the 2000th goal and victory in Carrow Road, Solskjær’s men didn’t need penalty spot!
IMG_20191029_003642.jpeg
 
What about Tammy?
Kuongezea tena

Marcus Rashford has been directly involved in more league goals in 19/20 (8) than: Aubameyang (7), Griezmann (7), Benzema (7), Mbappé (7), Kane (7), Werner (6), Depay (6), Firmino (6), Mané (6), Ronaldo (5), Suárez (5)
 
Uliwaona walivyoua midfield ya liverpool ?
Mimi naona wakicheza pamoja mara nyingi wanaperform ndiyo maana nikasema midfield yao inaanza kuwa na muunganiko mzuri kiuchezaji.

Siku utakayokanyaga Nyasi za Anfield nakuomba uje urudie maneno hayahaya
 
Kuongezea tena

Marcus Rashford has been directly involved in more league goals in 19/20 (8) than: Aubameyang (7), Griezmann (7), Benzema (7), Mbappé (7), Kane (7), Werner (6), Depay (6), Firmino (6), Mané (6), Ronaldo (5), Suárez (5)

Musije kumkataa tu
 
Ungeniambia Yussuf Sabally aje kucheza defence ya kushoto ningekuelewa sana.
Ismaila Sarr ni mzuri sema passing accuracy na game fitness huwa ni ndogo game nyingi hamalizi dakika 90
Ismaila Sarr je anafaa kuja kucheza winga moja wapo Manchester United

 
Mechi zote za Man united huwa siachi kuangalia haijalishi timu inacheza vipi.

Siku ile tactically 75% tuliwazidi nasubiri game ya Anfield itakuwaje

Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!

FT:
Man UniteLiverpool
32Possession68
7Shots10
2Shots On Target4
509Touches842



299Passes complete652
Screenshot_20191029-120936.png
 
Muda mwingine mtu huamua tu kujitoa ufahamu,
Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!

FT:
Man UniteLiverpool
32Possession68
7Shots10
2Shots On Target4
509Touches842


299Passes complete652
View attachment 1247844
Hawa skysport wanaumwa pia haiwezekani wawarate wachezaji wa liverpool 5 na 6 na wawape man u 6 7 na 8 wakati king ngwaba anajitapa walicheza vizuri na wana possesion kubwa.


Kubali kataa liverpool vs man u tactically Ole alimzidi klop.
 
Hawa skysport wanaumwa pia haiwezekani wawarate wachezaji wa liverpool 5 na 6 na wawape man u 6 7 na 8 wakati king ngwaba anajitapa walicheza vizuri na wana possesion kubwa.


Kubali kataa liverpool vs man u tactically Ole alimzidi klop.
Naona shida ya hao jamaa dully jr na mwenzake King Ngwaba wanashindwa kutofautisha ball possession na neno tactically . Wanafikiri kila anayeongoza ball possession ndiyo huibuka mshindi. Wajifunze kwa Diego Simeon, Mourinho na hata Alex Ferguson, mpira hawaposses sana, Ila kwenye matokeo sasa.
 
Game plan ya man united hawakwenda kupishana uwanjani na Liverpool na game plan yao ilifanikiwa 75%

Hivi unajua ni kwanini Klopp alibadilika second half kutoka 4 3 3 na kucheza 4 2 4 ?

Hivi unajua kwani Klopp aliamua kumtoa Winajdulm na kuingia Chamberlin kisha nakamtoa Henderson akaingia Lalana?
Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!

FT:
Man UniteLiverpool
32Possession68
7Shots10
2Shots On Target4
509Touches842



299Passes complete652
View attachment 1247844
 
Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!

FT:
Man UniteLiverpool
32Possession68
7Shots10
2Shots On Target4
509Touches842



299Passes complete652
View attachment 1247844
Tactically ile game mlichemka..klop alibaki kulialia tu ka mwendawazimu

Possession na mambo mengine hayo hayana umuhimu na nitofauti kabisa na tactics
 
Mkuu, kuna watu huwa wanaenda kuangalia mpira, Ila ninahisi huwa hawajui hata wanafanya nini muda huo. Ni sawa na wale wakifungwa wanasusa hata kuangalia mechi.
Nimewashangaa sana..yaani jamaa tumewakamata kinoma kwenye ile mechi na kama Ole angezidisha mtu mmoja kwenye midfield tulikuwa tunachukua point zetu tatu
 
Back
Top Bottom