Ushindi mmoja na timu tuliyocheza nayo si vitu vya kufurahi sana wengi tunajisahau hapa unakutana na timu inayoziba nafasi kama wolves na crystal palace story inakuwa tofaut hawa norwich tumewafunga wanafunguka sana
Tukikutana nao kipa wetu hataruhusiwa kucheza itabidi acheze mwengine, defence yao haitakuwa nzuri bila Dean.Timu ambayo wanaongoza kwa kuziba nafasi 100% kwa sasa ni Sheffield United wako vizuri sana ,ukiondoa liverpool timu iliyoruhusu magoli machache kwenye epl mpaka sasa wanafata hao Sheffield United, hao ni shida nyingine mjini kwenye kuzuia. Kuwafunga hao hizo timu kubwa kazi sana na wakikubahatisha kimoja ndio biashara imeisha hapo.
Mechi hii mkuu ilirushwa na channel gani Jana niliboreka Sana.Good Perfomance,3 goals 3 points
√McTominay my MOTM,sema kafanya kutuchoma kiboya sana dakika za mwishoni
√James alikuwa poa,Rashford alikuwa poa,Martial alikuwa poa
√Bissaka anafanya kazi yake vizuri kabisa..japo contribution yake inahitajika zaidi wakati timu ikiwa inapanda..
√Young kazeeka hadi akili,pia anapitwa kizembe kabisa
√Fred akipasiwa mpira ninapata hofu kwekweli..maana ninakuwa sijui kama atapiga basi nzuri au atatoa boko..though amepambana kiasi chake leo
√Garner kacheza poa dakika alizopewa..kocha inabidi aendelea kumtafutia dakika za kucheza hata kama ni kidogo
Next stop Darajani..Chelsea atakufa??
SS4Mechi hii mkuu ilirushwa na channel gani Jana niliboreka Sana.
Hutaweza kuwaona hao madogo mech na city au liverpool walipobadili mbinu kipindi cha pili bado tunahitaj watu wa kazi
Angalia timu kama
Buyern munich
Juventus
Atletico madrid
Real madrid
Barcelona
Angalia sehem ya kiungo kisha njoo kwetu hizi mech za wakina norwich sio kipimo sahihi sema vile tunashangilia ushindi tu lakin ukija uhalisia sisi bado sana ktk eneo la kiungo hizo timu kama tunapambana nazo basi had wakina rashford watakuwa mabek
King Ngwaba tuendelee kumwamini ,?Pia nafikir hukuelewa post yangu ipo wazi sana kwa sasa siwez kumuweka scott kwenye level ya viungo makin bado sana nimetoa na muda hapo angalau miaka 25 mtu anaanza kuwa mkomavu huwez hiyo sehem ya kiungo ikaenda pambana na top 5 teams in europe utegemee tutapona kwa jina la timu na wachezaj tulionao ni vitu viwili tofaut class of 92 ilikuwa na wacheza kama 7 wazoefu unaweza kuona namna gan wakina giggs na scholes walikaa muda mrefu kwenys game
Scholes kaja kuwa top kwenye level yake miaka 26 leo uniambie scott na pereira ni kiungo unaweza mtegemea mpambane na top teams lazima mnyanyasike tu
Na tangu Roy Kean alipoondoka hatukuwahi kupata mbadala japo wakina scholes walikuwepo lakin hawakupiga kazi kama ya Roy Kean sehem anayocheza scott ni ngumu sana mkuu yaani hadi muda huu pengo lipo unaweza kuona namna gan sir alex alihangaika kupata mbadala kasajili sana lile eneo lakin wap had wakina veron wamepita pale
Na ndio maana tunaweza kuona walau kanajitahidi tuone akikomaa atakuwa bora? Nasema hivyo wakina lingard,cleverly,welbeck na januzaj walianza na moto huo wanapokaomaa wanarudi nyuma Huenda akaja kuziba pengo la mud mrefu sumbufu
Sasa zile kelele kule kwangu zilikuwa za nini kama unaelewa hili?????Ushindi mmoja na timu tuliyocheza nayo si vitu vya kufurahi sana wengi tunajisahau hapa unakutana na timu inayoziba nafasi kama wolves na crystal palace story inakuwa tofaut hawa norwich tumewafunga wanafunguka sana
Zile goli zetu zimebaki 9 sio.
Dstv SuperSport 4 waliionyesha mkuuMechi hii mkuu ilirushwa na channel gani Jana niliboreka Sana.
Ss10 pia mi nikichekia home tuuDstv SuperSport 4 waliionyesha mkuu








Sasa huyo ni mchezaji mpira wa miguu au Mkimbia riadha....Wale tunaoamini kipaji cha Mchezaji asipokuwa na mpira Nyoosha kidole juu![]()
Lengo nataka tushirikiane tupeleke Petition FIFA nasisi watuandalia tunzo yetu ya Best Man Player of the Year Kwa Mchezaji mwenye kipaji bila ya kuwa na Mpira.
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?Midfield hiyo hiyo ndiyo ilimkalisha PSG pale park de princess ni midfield hiyo hiyo ndiyo iliyomsimamisha Liverpool unahitaji wafanye kitu gani ndiyo ueledwe kuwa wanaweza ?
Wewe kukutania kupo palepale haijalishi nimeshinda kwa timu ipi sema ukweli wa mambo naujua tukikutana na top team yenye viungo makini tunakimbia humuSasa zile kelele kule kwangu zilikuwa za nini kama unaelewa hili?????
Nyie subirini huu upepo wa vipenatipenati unakata muda si mrefu maana Eddo boy anasambaza mlungula kule kwenye kamati ili awadanganye na viushindi viwili vitatu.....
Jamaa anakula kandarasi nyingine na msoto utaendelea kama kawiz.....
Midfield hiyo hiyo ndiyo ilimkalisha PSG pale park de princess ni midfield hiyo hiyo ndiyo iliyomsimamisha Liverpool unahitaji wafanye kitu gani ndiyo ueledwe kuwa wanaweza ?
Tumia akili yako vizuri penati zimetolewa baada ya mapitio ya Var refa kama refa alishaamua vingineWazee wa kukosa penalty marefa sasa watakua hawawapi tena matuta,
Karibuni darajani jumatano tunawasubiri
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?
Kuna kushinda kwa bahat halafu kushinda kwa mipango ule ushindi wa psg hamna goli la assist yote ni mapuuza ya psg kila kitu walitutawala ndio maana tulipocheza na barcelona walikuwa wanafanya majukum yao sahihi je tulipumua?